Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

Shukrani nyingi zimwendee Mr...Mo.....

amewatoa usingizi vyura....

SIMBA NGUVU....MOJA
[emoji2] [emoji2]. Naamini ndani miaka 15 ijayo kama mwendo ni huu huu, kutakua na mabadiliko katika soka la nchi hii. Hawa wazee wa na makomandoo wa hizi timu kongwe ndio kikwazo cha maendeleo ya soka.
 
Hadi leo nimekuwa mzee sijawahi kuona mswahili akipokea mabadiliko yoyote kwa fikra chanya. Yaani nikukosoa na kuwa na mashaka tu. Hata kama jambo lina tija. Mfano
1. Hoja ya vyama vingi au kimoja
2. Muungano
3. Ujio wa Rais Bush nakukaa siku 4
4. Ujio wa Rais Obama
5. Safari za Rais Kikwete nje ya nchi
6. Kutofanya safari nje ya nchi Rais JPM
7. EAC
8. Kuhamia Dodoma
9. Mo kuwekeza hisa club ya Simba
10. Manji kuikodisha Yanga kwa 75%
11. Hoja ya Yanga kuwa Kampuni
12. Mabasi ya mwendo kasi
13. Wafanyakazi hewa.
14. Wanafunzi wasio na sifa kujiunga vyuo viku
15. Vita ya kagera
16. Vijiji vya ujamaa
17. Siasa ni kilimo
18. Kilimo kwanza
19. Operation majangili
20. Matumizi ya EFD

Kila jambo mbogo ni kukosoa tu na kuwa na mashaka.

Simba na Yanga nusu karne yote wamefanya lipi la maana. Tuache uoga wa kufanya mabadiliko.

Nina imani waliokuwa wanakosoa uanzishwaji wa mabasi ya mwendo kasi, leo hii hawaishi kuyagombania kupanda tena wakali hao ukijaribu kuwahi kuingia kabla yao.

Acheni mazoea na akili mgando
..orodha ya nini sasa.,stick kwenye mada!
..yani pamoja na uzee unaojinasibu nao umeshindwa kujenga hoja kuonesha hiyo TIJA uliyoitaja!...
...aisee bora ujifie tu!
.nenda mwalimu!
 
Am Young Dar African Sports Club,

Ila hapa naona tumeliwa mchana kweupeee, Unajua nini....?

Tunamkabidhi timu mtu for nothing..!!!, Hatujui anataka kuwekeza nini? Hatujui anataka kufanya biashara gani? Hakuna mkataba unaomfunga kwamba anatakiwa kujenga Uwanja wa Timu labda ndani ya kipindi hicho...!!!! Mkataba kwamba anatakiwa kununua angalau wachezaji wa kiwango fulani ndani ya kipindi husika hakuna...!!! Kwamba anatakiwa kuwekeza kiasi fulami kila mwaka ndani ya kipindi hicho hakuna....!!!!!!

Yaani mtu akienda huko kishumundu kutununulia kina Kibwanguso kama wachezaji wa Yanga, ni sawa tu....!!!! Hakuna cha kumbana..!!! Hapana.

Hapa tumeliwa kweupe hata jogoo hajawika!

Hii ni nafuu sana kwa watani zetu hapo ambao Mo amewaambia atawapa Bl 20. Na hata igusa hiyo wala faida yake ambayo itapatikana baada ya kukopeshwa hela hizo. Hii maana yake nini? Siku huyu mtu akiamua kuondoka Simba itakuwa imepata Bl20 na faida iliyopatikana baada ya kukopeshwa fedha hizo.

Huyu bwana ni mtu mjanja sana, Aliwekeza bure kabisa kwenye Club kwa kipindi cha karibu miaka sita sasa akilenga kupata hiki anachoomba leo, Ambacho binafsi ninaamini ni kikubwa kulinganisha na kile tutachopata kwa miaka hiyo kumi. Nembo tu ya Club inazaidi ya thamani ya trilioni moja...!!!!

Unajua nini......
Akimua kuuza maji tu yenye nembo ya club ya yanga angalau kwenye mechi moja tu ya club ya Yanga huku akifungia maji mengine kuuzwa kwenye mechi husika unajua fedha itakayopatikana? Achia mbali hilo akiamua kuuza tu Opener za soda zenye nembo ya club ya Yanga kwa miaka hiyo kumi unajua itapatikana bei gani?

Hapa sijazungumzia Jezi, Skafu, Soksi, Kofia, Miruza, Laba, Six........ Oooopssss

Ngoja niishie hapa mimi........!!!!!

BACK TANGANYIKA

Miaka 70 ya uhai wa Yanga hayajafanyika hayo unayo sema, club imezidiwa na Mbeya City kuuza jezi
 
1470499338008.jpg
 
Hadi leo nimekuwa mzee sijawahi kuona mswahili akipokea mabadiliko yoyote kwa fikra chanya. Yaani nikukosoa na kuwa na mashaka tu. Hata kama jambo lina tija. Mfano
1. Hoja ya vyama vingi au kimoja
2. Muungano
3. Ujio wa Rais Bush nakukaa siku 4
4. Ujio wa Rais Obama
5. Safari za Rais Kikwete nje ya nchi
6. Kutofanya safari nje ya nchi Rais JPM
7. EAC
8. Kuhamia Dodoma
9. Mo kuwekeza hisa club ya Simba
10. Manji kuikodisha Yanga kwa 75%
11. Hoja ya Yanga kuwa Kampuni
12. Mabasi ya mwendo kasi
13. Wafanyakazi hewa.
14. Wanafunzi wasio na sifa kujiunga vyuo viku
15. Vita ya kagera
16. Vijiji vya ujamaa
17. Siasa ni kilimo
18. Kilimo kwanza
19. Operation majangili
20. Matumizi ya EFD

Kila jambo mbogo ni kukosoa tu na kuwa na mashaka.

Simba na Yanga nusu karne yote wamefanya lipi la maana. Tuache uoga wa kufanya mabadiliko.

Nina imani waliokuwa wanakosoa uanzishwaji wa mabasi ya mwendo kasi, leo hii hawaishi kuyagombania kupanda tena wakali hao ukijaribu kuwahi kuingia kabla yao.

Acheni mazoea na akili mgando

Uzumbukuku ni kuhofu kohoji, Lakini Kushindwa kuhoji ni uzoba uliotukuka...!!!

Na hapa sishangai, maana mtu kaorodhesha ujio wa Bushi kama Mabadiriko au Mafanikio... akkkkkkk!!!

Ni akili mgando peke yake ambazo zitashindwa kuhoji hiki kinachoitwa uwekezaji na wa huyu mtu kwenye club yetu. Yaani hizi ni akili zilizolala kama boga linalosubiri kugeuzwa upade huu ili upande huu nao upate jua....!!!

Na hili sishangai maana Iq ya Mtanzania ilishabainishwa kuwa ni mbovu sana, unahitaji uthibitisho gani kama siyo huu???

BACK TANGANYIKA
 
Unaambiwa hivi bora uwe shoga kuliko kuwe mjinga, kutokana na Ally mayai anakwambia mkutano umeanza bila kujua agenda za mkutano, manji anaingia ukumbini agenda ya kwanza ni kumiliki timu.
 
Bora hayo matimu yauzwe kabisa mrudi mkashangilie timu zenu za mikoani muwaachie wahindi timu zao
 
Aheri ya Chifu Mangungo wa Msovero maana alikuwa si msomi, hichi kinachotokea leo kizazi ni zaidi ya ile kauli ya Mwalimu anakuja mtu smart unabadilishana naye kipande cha ALMASI kwa kipande cha CHUPA!
 
Aki ya Mungu wa kimataifa mmekua ma mbumbu namna ii khaaaaaa jamani jamani
 
Sasa subiri Simba achukue ubingwa au Azam Yanga wawe wa 3 ndo Kanjibai atajua ni miaka 10 au miezi 10. Wanachama wote watahamia nyumbani kwake kutaka team yao.
Mkuu nimecheka hadi chozi!huu mpira wetu ni majanga tupu!you made my day!!!
 
Habari za hisa/kampuni zilianzishwa na akina Tarimba miaka kumi iliyopita .
Wamatopeni wamedesa bila kujua undani wenyewe. Mpeni Mo hiyo timu mje mlie vizuri baadaye. Mnadandia train kwa mbele.
Yaah enzi za george (fidel castrol )mpondela ndo yalikuwa mambo hayo lakini tulikwamishwa na kina yusuph mzimba na wenzie.
Hizi timu zingeweza kujiendesha zenyewe kwa kuwa zina fanbase kubwa sana hata kwa kuuza gazeti wanachama na mashabiki wahamasishwe kweli japo wauze nakala laki mbili Tanzania nzima kwa wiki achilia mbali watu wanunue hisa na kalipia kadi za uanachama.
Lakini ujanja ujanja tunapiga mark time miaka yote binafsi naona ikodishwe tu.
 
Back
Top Bottom