realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
We ni mwanachama simba?Kwa mtu mwenye akili akili timamu hawezi asilali kukubali mkataba huo...
" eti ikipatikana hasara inabaki juu yangu ila faida club inapata 25% yeye 75% " seriously,? Wanachama wa Yanga wana akili timamu kweli ama walikua "intoxicated"??
Wacha upotoshaji wewe,tena jamaa anawaingiza chaka kwa akili kweli,faida ya wote hasara yake,waswahili tusivyopenda hasara na kupenda njia ya mkato hapo lazima tuingie tu kingi kiulainii
I'm not even a football fan sembuse kua mwanachama....We ni mwanachama simba?
Basi usipende kujadili kitu usicho kijua.Kusoma na kupitia post inakutoshaI'm not even a football fan sembuse kua mwanachama....
It's just a matter of common sense!
Are your senses reasonably common? Mayb I should askBasi usipende kujadili kitu usicho kijua.Kusoma na kupitia post inakutosha
Acha kununa bhana, sposi na kununa wapi na wapi? 'Taahira' ni kasoro tu. Kwa mfano, taahira ya macho (makengeza), taahira ya mguu (kilema) taahira ya mawazo (kudhani Yanga inaweza kushuka daraja), taahira ya siasa (kunyima wapinzani kufanya mikutano) na kadhalika.mkuu asnte kwa kuntukana, japo nlitoa maoni kama mtu huru, nisamehe kama umekwazika na mchango wangu mkuu
Habari za mwanzo ni ilikua nae atoe bilioni 25 kisha achukue 50% lakini mpango huo ukavurugwa na kigogo mmoja alietaka kutoa bilioni 65 kwa asilimia hzo hzo ndo ili kumvua huyo mshindani akaamua kujikodisha, swali linakuja hivi ndani ya miaka kumi akiishusha daraja je, akiamua kuitumia yanga kukopea hela benki je, tujiulize maswali kabla ya kumkubalia
Nani kakwambia azam ni mhindi? Azam ni mpemba bhanaWahindi kwenye biashara ni noma huku Azam kule Manji kule Mo
Povu hilo, Mama Chiku na Family Detergent.Ubingwa wenyewe tunanunua wachezaji wanasajiliwa kwa pesa chafu wanalipwa pesa ndefu halafu tunawahonga wachezaji wa timu pinzani ili tushinde kirahisi halafu tunajisifu ujinga kuwa sisi wakimataifa
Timu tunakodisha kwa uoga wakupambana kama wanaume bora niendelee kushabikia ARSENAL
Acha ubwege wewe nikutajie nimetoa ngapi ili ufanyaje, au nyie ndo mashabiki maandazi akat hata sumni hutoi yanga sio ya kuikodi ila kama hujui history yake waeza sema hivyo sio kosa lako.Acha upuuzi wewe ni nani alitaka kutoa bilioni 65? Mtaje hapa...Wewe umeshaichangia Yanga sh.ngapi?
Simba ni mradi wa nani? NisaidieYanga ni mradi binafsi wa manji .
Hahahahaha jangwani fm na pale dimbwini jangwani sea breezeNimemuelewa MANJI ana nia nzuri kitu cha muhimu ni uwazi naota kuanza kuona vitu vifuatavyo
1:YANGA FC TV
2:JEZI ZIKIUZWA KWA MPANGILIO MZURI NA WA FAIDA
3:bidhaa mbali mbali zenye logo ya YANGA FC
TIMU YETU ITATUMIKa kibiashara zaidi tuache wanao sema tuna kodisha timu ila baadaye wata tuonea wivu 25% ya faida sio mbaya kwani sasa ivi atuitumie club yetu ki biashara ila ni vema tukawekeana mkataba pia napenda tuiboreshe katika
1:mitandao website na social network page ziendeshwe na wataalamu
2:Magazeti yaongezeke
3:tuwe na kituo cha radio Jangwani fm
4:tuwekeze kwenye usafiri
5:kituo cha kulelea vipaji mbali mbali
Nimefurahishwa na wanachama wa Yanga kumkubalia Manji kujikopesha Klabu ya Yanga kwa asilimia 75% huku wanachama wakibaki kuhudhuria mechi tu ambazo klabu yao itakuwa inacheza na kushangilia ikishinda au kuzomea ila hawatakuwa na sauti hata kidogo ya mwenendo wa klabu yao. Manji akiamua Yanga ipate matokeo mabaya hakuna wa kumpinga, kwani wanachama hawatakuwa na sauti.
Nilitegemea wanachama wa Yanga wangekubaliana kuwa Manji auziwe hisa tena asilimia 50% na zilizobaki ziwe za wanachama ili pande zote mbili zishiriki kwenye maamuzi ya Klabu, lakini kwa utaratibu wa kumkopesha Manji kwa asilimia 75% wanayanga make mkao wa kulia tu hamtakuwa na maamuzi kwa miaka 10 bora mngempa hata miaka 5 kwanza ya majaribio.
Simba walinunuliwa lini?NI KAMA SIMBA WALIVYONUNULIWA KWA KUPANGIWA BEI...../ YA KUKUBALI KUUZWA BILA HIYARI YAO.