wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Sawa tu mzee wa povu mwenzangu [emoji16][emoji16]Povu hilo, povu hilo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tu mzee wa povu mwenzangu [emoji16][emoji16]Povu hilo, povu hilo!
Wanachama Yanga wamkabidhi Yusuf Manji aiendeshe Yanga kama klabu binafsi, mikataba ya kumkabidhi nembo kusimamiwa na Baraza la Wadhamini.
Katika mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kipindi hiki, Manji amesema amepeleka ombi la kuikodisha Yanga kwa miaka 10.
“Nitaikodisha kwa asilimia 75 na 25 inabaki kwa wanachama. Nataka kuikodisha timu na nembo, majengo ya klabu yanabaki kuwa mali ya wanachama.
“Katika miaka 10, ikipatikana faida 25 inakwenda kwa wanachama na klabu na 75 kwangu. Kama itakuwa ni hasara basi inakuwa hasara yangu, hakuna hasara upande wa wanachama au klabu,” alisema.
Manji amesema masuala ya timu kuhusu usajili, mishahara, uendeshaji kama safari na gharama nyingine zitakuwa chini yake
Wakati huo huo, Wajumbe watatu wa Kamati Utendaji ya Yanga Ayoub Nyenzi, Hashim Abdallah na Salum Mkemi wavuliwa uanachama wa klabu hiyo.
Kandambili ovyo sana.. yaani klabu inakodishwa.!?
Sheria zote za kimataifa zinasema mita 40 kutoka bahari inakoishia ni mali ya umma lakini huyu mtu from kusikojulikana alimilikishwa coco beach sembuse kumilikishwa Yanga isiyo na sheria wala mwenyewe!kiukweli hizi club mbili za simba na yanga zimekuwa zikiendeshwa kwa kukodishwa sema haikuwa rasmi. Club hazikuwa na mfumo mzuri wa uendeshaji na upatikanaji wa pesa, zinategemea watu binafsi watoe pesa za kusajili wachezaji, watoe pesa za kupeleka timu kambini n.k. Ni wazi hao watu waliokuwa wakisaidia timu walikuwa wanajuwa ni namna gani pesa yao itarudi. Je hiyo 25% wanachama wananufaika nayo vipi? Ni wazi club sasa ni lazima zitoke katika club kuwa chini ya wanachama bali wanachama wabadilishwe na kuwa wanahisa. Hii itasaidia wanachama kuichangia timu na kuchangia uendeshaji na maendeleo ya timu na faida ikipatikana kla mwanachama apate kutokana na alivochangia, kwa mtindo huo upo wa uwezekano wa timu kuendeshwa kisasa na kibiashara. Tatizo ambalo naliona hapa ni Manji anapewa 75% ya hisa za club kwa miaka 10, je kwanini apendelewe peke yake tu? kwanini haikutangazwa ili kama kuna mwanachama mwingine pia mwenye uwezo kama wa Manji naye awekeze kwenye uendeshaji wa timu?
Kwahiyo wewe huwezi kuanzisha kitu wenzako watumie kama kielelezo. Unataka kila jambo tuangalie kwanza kwa wengine.Wakuu,hebu nisaidieni mfano wa timu moja ya mpira iliyowahi kukodishwa ili tuseme yanga wameitumia kama kiolezo katika kufanya maamuzi yao..
Nashukuru kijana wangu. Ila wote ni njia moja. Siku mifupa yako ikichoka ndipo utatamani kuungama kwa kauli zako...orodha ya nini sasa.,stick kwenye mada!
..yani pamoja na uzee unaojinasibu nao umeshindwa kujenga hoja kuonesha hiyo TIJA uliyoitaja!...
...aisee bora ujifie tu!
.nenda mwalimu!
Hasa inapohama kutoka tumboni na kuingia kichwaninimegundua hakuna kitu kibaya humu duniani kama njaa NJAA NI MBAYA SANA ni hayo tu kwa leo
....dah.,umenijibu kwa hek'ma hadi nimeona aibu!Nashukuru kijana wangu. Ila wote ni njia moja. Siku mifupa yako ikichoka ndipo utatamani kuungama kwa kauli zako.
Ulivyoandika kwa herufi kubwa mi nikajua nakutana na mkataba mubashara....... kumbeeee.......Mimi ni yanga damu ila nasema kuwa Ni hasara tupu miaka yote 10 na gawiwo la 25% TUSAHAU Wana yanga.
Ila ushindi Unaweza kuwepo ndo nafuu yetu wapenzi. Miundombinu na maboresho ya klabu TUSAHAU.
Asante MANJI.
Sheria zote za kimataifa zinasema mita 40 kutoka bahari inakoishia ni mali ya umma lakini huyu mtu from kusikojulikana alimilikishwa coco beach sembuse kumilikishwa Yanga isiyo na sheria wala mwenyewe!
Hebu tuwekee huo mkataba hapa, na uache blah blah.Mimi ni yanga damu ila nasema kuwa Ni hasara tupu miaka yote 10 na gawiwo la 25% TUSAHAU Wana yanga.
Ila ushindi Unaweza kuwepo ndo nafuu yetu wapenzi. Miundombinu na maboresho ya klabu TUSAHAU.
Asante MANJI.
Kwani kwa MO hakutakuwa na mgt mkuu? Kumbuka 49% zilizobaki inawezekana wanachama wachovu wasipate zitakuwa za kina dewji na Poppe etc wewe mwanachama wa kawaida subiria timu ishinde ufurahi.Actually jamaa akija kusema amepata hasara kwa miaka yote 10 hakuna mtu atakayekuwa na ushahidi wa kupinga, maana management ameichukua yeye hivyo wahasibu na mameneja ni watu wake yeye na wana uwezo wa kuficha mahesabu ya faida iwapo itatokea, halafu akawaonyesha mahesabu ya hasara.
Kabla ya Manji kuchukua team, miaka yote hiyo Yanga walipata faida gani? Mimi ni yanga 100%,ila kiukweli cc huwa tunachoangalia ni ushindi wa vikombe na mechi za watani... Laiti tungekuwa na faida inayopatikana, tungelishaujenga uwanja.... Acha aichukue tu... Ukodishaji ni lugha tu, lakini ni yale yale ya kampun kuingia ubia.Actually jamaa akija kusema amepata hasara kwa miaka yote 10 hakuna mtu atakayekuwa na ushahidi wa kupinga, maana management ameichukua yeye hivyo wahasibu na mameneja ni watu wake yeye na wana uwezo wa kuficha mahesabu ya faida iwapo itatokea, halafu akawaonyesha mahesabu ya hasara.
Hao akina Pope ndio wanachama wenyewe, uwepo wao unahakikisha kinachovunwa na klabu kinabaki klabuni, tofauti na YM ambapo mkataba unasema atachukua management klabu ibaki na majengo na viwanjaKwani kwa MO hakutakuwa na mgt mkuu? Kumbuka 49% zilizobaki inawezekana wanachama wachovu wasipate zitakuwa za kina dewji na Poppe etc wewe mwanachama wa kawaida subiria timu ishinde ufurahi.