Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2

Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kwa mara ya kwanza timu ya Yanga imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2025/26 mbele ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Airtel, Singida, leo Mei 13, 2026.

#########

Yanga yupo uwanjani tena kuzisaka alama 3 dhidi ya Dodoma Jiji. Je ni Dodoma Jiji au Yanga kuondoka na alama 3 ?

Hadi sasa Okello amechatupia goli moja

Dakika 11, Yanga bado wapo kwenye umiliki wa hali ya juu

Dakika 13, Max Mpia anakosa goli la wazi kabisa

Dakika 23, Dodoma wanakosa goli

Dakika 29, Dodoma wanasawazisha goli, goli la kujifunga Nondo Mwamnyeto

Dakika 42, Alan Okello anaweka goli la pili
 
Back
Top Bottom