cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Mara hii?? Mbona ghafla sana, LolMwamnyeto hakuna beki pale. Hata mara elfu ikiwezekana nitarudia kusema hivyo.
Mara hii?? Mbona ghafla sana, LolMwamnyeto hakuna beki pale. Hata mara elfu ikiwezekana nitarudia kusema hivyo.
Dickson Job ndiye beki wa kati aliyerekebisha makosa mengi ya Mwamnyeto na Baka. Kuumia kwake kumeacha pengo kubwa pale nyuma. Halafu tangu hapo sijawahi kumfagilia beki inayovuja muda wote wa mchezo (Mwamnyeto)Mara hii?? Mbona ghafla sana, Lol