Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2

Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2

IMG_9156.jpeg
 
Siku mbaya kwa wachezaji wa Yanga, ila kocha game management ilimshinda, kitendo cha kumtoa Max, Mdathiri na kumuingiza Buba timu ikakosa balance
 
Kwa mara ya kwanza timu ya Yanga imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2025/26 mbele ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Airtel, Singida, leo Mei 13, 2026.

#########

Yanga yupo uwanjani tena kuzisaka alama 3 dhidi ya Dodoma Jiji. Je ni Dodoma Jiji au Yanga kuondoka na alama 3 ?

Hadi sasa Okello amechatupia goli moja

Dakika 11, Yanga bado wapo kwenye umiliki wa hali ya juu

Dakika 13, Max Mpia anakosa goli la wazi kabisa

Dakika 23, Dodoma wanakosa goli

Dakika 29, Dodoma wanasawazisha goli, goli la kujifunga Nondo Mwamnyeto

Dakika 42, Alan Okello anaweka goli la pili
Kwa hiyo mtoa thread huko uliko bado mchezo unaendelea? Kwa nini umekimbia au Mwamnyeto kakuchanganya?
 
Laana ya Pedro hiyo mtu kasimamia timu haijapoteza mechi hata moja mnamtimua bikra inatatuliwa kwa kichane cha zabibu kudadadadeq
 
Back
Top Bottom