Kwa sababu huu mgogoro au meaning wza siasa za kimataifa umeanzq kufatilia mwaka huu mwez huu hujui nani kamsaliti mwenzake na kwa lipi na jee huko nyuma hali kama hii ilijitokeaza wapi na iliamuliwaje kwa hyo endelea kushangaa taa za tanzqnite bridge usiku ukifika asbh hazitotoa tena mwanga hapa sio jukwaa lakosijawai pata sababu kwann watu wanamchukia Zele kisha wanampenda muuaji mtekaji mkandamizaji wa siasa za ndani ya Urusi , mvamizi kwa nchi zaid ya 5 , hapo utagundua kuna shetani anaiendesha dunia
Amechelewa sana.View attachment 3182408
mbinu za kivita tu mkuu leo kitu icho kimeingia katikati russia, apo kabla ilikuwa haiwezekani kushambulia ndani ya urusi sasa mjengo unawaka moto huo
Najua sindano imegusa mfupa. Pole sana.Weka link Acha habar za kwenye vijiwe vya kahawa msikitini kenge wahed
AFU Kitu wanachoweza ni kufanya mashambulizi yanayolenga raia wasio na hatia na mali zao( in other words wanafanya ugaidi)View attachment 3182408
mbinu za kivita tu mkuu leo kitu icho kimeingia katikati russia, apo kabla ilikuwa haiwezekani kushambulia ndani ya urusi sasa mjengo unawaka moto huo
mbona wakiongelewa taifa lako teule hua unajikomentisha na kukaza fuvu.TAFUTA HELA.... MDOGO WANGU
UKIFIKISHA MIAKA 40....UTAELEWA KWANINI KAKA ZAKO HATUJIISHISHI NA SIASA ZA WALIMWENGU AU MPIRA.
TUNATAFUTA HELA TU 24HRS
Nimemuelewa aisee.. It seems Habari hii imemuumiza mno.mbona wakiongelewa taifa lako teule hua unajikomentisha na kukaza fuvu.
kwaiyo ukifatilia siasa za kimataifa hupati hela au hutokuja kutajirika boss wangu
mnafiki tu huyoNimemuelewa aisee.. It seems Habari hii imemuumiza mno.