Hatimisho: Nimefika salama Marekani

Ahsante kwa ushauri, nitafanyia kazi Mkuu, ahsante sana.
 
Kila la kheri kaka. Huku bongo uje kutembea tu baki huko huko
 
Kupaa kwenda USA tu umeanzisha uzi!

Vipi ukipaa kwenda mbinguni utaanzisha nini?
Ni vizuri kushukuru neema za Mwenyezi Mungu na kuhadithia ni Moja Kati ya njia za kushukuru ilimradi wengi nao wasikate tamaa kama mimi nimepata nilijiwekea maisha yangu niishie kulima korosho chitoholi lakini sasa nimehamasika kuingia USA kupitia uzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…