Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Kwahiyo hizi kazi inabidi uwe umezisomea?
Wakati siku hizi wabeba boksi ndiyo kimbilio la watu kuwapiga mizinga, upepo umegeuka sasa hiv, yaani mfanyakaz wa cheo Cha juu serikalini pia anamuomba mbeba boksi amkopeshe kiasi fulani.Pambana mkuu mpaka kieleweke,siku hizi sioni thd hapa JF za kutuponda wabeba box.
Umekata tamaa na maisha daaMbona povu kama la foma?
Ina maana hujui kuwa mwenye level ya chuo kikuu na yule wa ngumbalu level wote ni mavumbi?
Ubatili mtupu, jitafakari kijana
Hata wale ako na kila kitu wako najua hii kitu "wao ni mavumbi tu kama alivyo hako na kitu"
Thanks BossMwenye Enzi Mungu akubariki ulilo lifuata huko ulikamilishe kwa flying colors!
Kuhusu kurudi au kubaki, una three years za ku make up your mind!
Remain blessed [emoji56]
Ahsante sana kiongoziHongera sana mkuu.......
Hahaha watu kama hao ni kukaa kimya tu mkuu,usiwajibu unawapa airtime zaidi.
Yaani vichwa chini,aibu tupu!Hongera kwa kua na moyo wa kusamehe!Hahaha nakwambia walikuwa wananitukana wewe acha, Mungu awalipe mema tu.
Ahsante sanaUsisahau Kuja Tanzania
Kila La Heri Huko US
Ahsante Mkuu, Mungu ni mkuu kabisaYaani vichwa chini,aibu tupu!Hongera kwa kua na moyo wa kusamehe!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Shukran sana MkuuHongera sana
Hi Aluta continua Ina maana gani??Mkuu Invigilator I couldn't be happier for you. Hongera sana na karibu kwenye nchi ya maziwa na asali. Land of the free and home of the brave. Sasa umevua gamba na umekua brave [emoji1787]
Michongo ipo mingi na kubaki inawezekana kabisa hata sisi tulikuja kama wewe ila hadi leo tunadunda hapa bongo tunaenda tukimiss kupigwa vumbi tu.
Aluta Continua.
Hi Aluta continua Ina maana gani??