Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

KOment kama hii ni ya mtu muungwana sana na inatia moyo.
Nimekuheshimu sana
BM X6 pokea
 
Thank you, Thank you & Thank you tena

Comment yako ni kubwa mno, I appreciate bro[emoji1545]
 
KOment kama hii ni ya mtu muungwana sana na inatia moyo.
Nimekuheshimu sana
Shukrani Sana Kaka Glenn..

Bro BM X6 anafanya Kazi nzuri nimewiwa Kusema kitu Leo kwa ajili yake,Nimefuatilia Thread since anaanza nimeona sitatenda haki nikiendelea kukaa kimya angali anatuburudisha na Kutufundisha pia

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Ake sasa amekusimamisha, haoni huruma? Au huruma yake hapo haiusiki
 
Huu Uzi Kwa sisi wa shifti za uck ni kama dawa ya mbu,story nzuri Hadi unaenjoy unakuta tu asubuhi imefika, kazi ni nzuri,inafundisha,inabirudisha pia Asante BM
Timchangie basi kama vip tuma na kutolea
 
Bravo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Amini Mungu bro, Kuna kitu kikubwa mzee anaplan juu yako kupitia Hawa binti zake, na pia namuona Carryn akivutiwa kimapenzi nawe, wakati sister ake anataka uchomoke pale kwa Carryn ili bwana ake apate nafasi unayoihudumu wewe. Happy Mambo yatakaua magumu kwa Hawa ndugu. Swali ni je, kwanini asimfanye bwana ake awe dereva wake. Ila hii Vita ya ndugu itakua ngumu kidoho
 
Mzee na Caryn, sana sana Caryn ndio hakupenda Bwana ake Michelle afanye kazi kule ofisini kwa Michelle, so kwa busara za Mzee akaona ni Bora kijana aendelee na kazi Lakini Ofisi nyingine

Kwa kifupi walitaka kuua ukaribu wa Michelle na Bwana ake


Asante pia kwa pongezi nimeziona na kuzipokea[emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…