Nadhani director pekee anayepaswa kuongoza hii series kama utaamua kuifanyia filamu kama wadau waliopendekeza na ninaunga mkono hoja ni Leah Mwendamseke-LAMATA wa JUA KALI.Mzee na Caryn, sana sana Caryn ndio hakupenda Bwana ake Michelle afanye kazi kule ofisini kwa Michelle, so kwa busara za Mzee akaona ni Bora kijana aendelee na kazi Lakini Ofisi nyingine
Kwa kifupi walitaka kuua ukaribu wa Michelle na Bwana ake
Asante pia kwa pongezi nimeziona na kuziookea[emoji1545]
Annie yupo sawa Mkuu, Hajambo kabisa
Shukrani Mkuu[emoji1545]Mw /Mungu akubaliki piaNadhani director pekee anayepaswa kuongoza hii series kama utaamua kuifanyia filamu kama wadau waliopendekeza na ninaunga mkono hoja ni Leah Mwendamseke-LAMATA wa JUA KALI.
Naamini ataiweka vizuri sana,na atawachagua casts wa uhakika kabisa.
Asante sana kwa Uzi mzuri wenye mafunzo mengi ya msingi. Mwenyezi Mungu akubariki sana kaka.
Mkuu huko kwa Michelle ndio kuna madili sio kitoto japokuwa sio ya uhakika ila ikitiki imetiki kweli, na Udereva naenda kuufanya nikitumika kama COO nikiwa na Gari ya Kampuni ili kurahisisha kutembelea miradiMkuu, kwenye kampuni hukuajiliwa km Driver kwahiyo km ni mm lazima ningechomoa, your doing a proffesional job ww sio kiraka, kwenye udereva huwezi pata hata mia ya deal, kaa kwa Caryn ili umfyatue utengengeneze nae life
Mkuu tutegemee lini kupata mwendelezo wake!!?Mkuu huko kwa Michelle ndio kuna madili sio kitoto japokuwa sio ya uhakika ila ikitiki imetiki kweli, na Udereva naenda kuufanya nikitumika kama COO nikiwa na Gari ya Kampuni ili kurahisisha kutembelea miradi
Kuwa Dereva haikuwa na maana ya kumuendesha Michelle kwenye misele yake Binafsi
Daaah mpaka naona wivu mamaae kwanza ningepitia wote alaf ningepickKuna kipande nimekihadithia hapo juu, alivyonipigia simu na kunambia "It's Monday BM na ndio kwanza unaamka sasa hivi tutafika kweli?"
Unajua hiyo part Caryn aliongea kwa tone ya huruma sana na unyenyekevu mto, sijawahi kumsikia akiniongelesha vile, na ndio maana hata nilivyofika ofisini nilifeel guilty na kuanza kumuomba msamaha
Wa wapi hawa? Hawa wa bongo movie?. Simtaki hata mmoja kwenye hii series. Hii itakuwa ya kipekee sana haitakuwa na haraka. Kwa hiyo hatutaki wapaka powder za kupigia pichaNadhani director pekee anayepaswa kuongoza hii series kama utaamua kuifanyia filamu kama wadau waliopendekeza na ninaunga mkono hoja ni Leah Mwendamseke-LAMATA wa JUA KALI.
Naamini ataiweka vizuri sana,na atawachagua casts wa uhakika kabisa.
Asante sana kwa Uzi mzuri wenye mafunzo mengi ya msingi. Mwenyezi Mungu akubariki sana kaka.
Huyu paka nishamsave kwa matumizi ya baadae[emoji3][emoji3][emoji3]Daaah mpaka naona wivu mamaae kwanza ningepitia wote alaf ningepick
side ..
Daamn God when[emoji2969]..
Alaf huu Uzi naupitia sabb ya huyo unayemuita caryn dizain ashawah kuwa client wangu natafuta point moja tu ninpitishe niyeyeee Niko makini nipire naye shwaa
View attachment 2575082
Na Mzee wa hao mabinti awe Mzee Chilo huwa anaflow mombo(yai) kinoma huyo Mzee na mkewe awe Mamake na MonalisaWa wapi hawa? Hawa wa bongo movie?. Simtaki hata mmoja kwenye hii series. Hii itakuwa ya kipekee sana haitakuwa na haraka. Kwa hiyo hatutaki wapaka powder za kupigia picha
Code uliyotoa ni direction ya ofisi you said ipo opposite na johari rotanaCodes ni muhimu mkuu, hizo sehemu nilizozitaja ni sehemu za miradi ya Kampuni so haina shida sana kwasababu hata Kampuni nyingine zina miradi huko
CODES MUHIMU AMBAZO ZIPO HIDDEN
Majina ya Kampuni
Majina ya wahusuka wote nikiwemo mm,
(Hayo mnayoyaona hapo ni feki ila vyeo/nafasi za wahusika ni halisi, wahusika wengine badala ya kuwapa majina feki nimeamua kutumia positions zao katika kampuni au katika Jamii, mf Accountant & Secretary, Mzee, Bi Mkubwa nk)
Makazi ya Mzee na makazi yangu codes zimezingatiwa pia
Mshiriki mmoja tu ndio nimetaja jina lake halisi