Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Uliliwa kimasihara eehHumu pana kitu kibaya nilijifunza lkn narekebisha hili jambo.
Mm napenda sana wine za kimazabe wenyewe wakaka mnavoita. Sasa majuzi nikiwa na ngombe mmoja pub moja nikaona niagize Martel, nikanywa. Niliipatapata.
Siku ingine nikiwa watoto wa masaki wakiwa wamejaa mapesa. Nikaagiza jagamasta. Sihitaji kisema kilitokea nini.
Niseme tu mengine si ya kuiga humu
Si kosa lako BM X6 ni juu yangu mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakubaliana sana
Nami namchukua aisee😂Huyu paka nishamsave kwa matumizi ya baadae[emoji3][emoji3][emoji3]
Umeongea kimamlaka zaidi. KibabeHuyu paka nishamsave kwa matumizi ya baadae[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawezi kusema[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
BM achana nae ana watoto wa kishua utapata shida njoo nikupe kimasiharaNi BM X6 sio wewe feisal firdaus
Kwan we Ni ME au Ni KE au Ni UPINDEBM achana nae ana watoto wa kishua utapata shida njoo nikupe kimasihara
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
ItaendeleaYes Mkuu
Mkuu tunaomba ulete muendelezo tunasubiri sana [emoji120] raia tuna alosto ya muendelezo broYes Mkuu
FuhMuendelezo ni hadi Pasaka Mkuu
Sawa mkuuMuendelezo ni hadi Pasaka Mkuu