Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Aya mzee wa Yanga babayaga au baba Caryn haka katoto katakutoa jasho sana aisee hakaeleweki Kabisa kama mvua za dar vile Leo mvua kubwa kesho imekata Kabisa,,aaaah aaah lete mwendelezo kosea uje ukaoe utajuta japo utai enjoy pia chungutamu iyo inaitwa.
 
Caryn anakukubali Ila basi tu mashauzi mengi [emoji28][emoji28]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
[emoji28] Marhaba...

Tatizo la Càryn hataki masikhara
 
so ulivyokojoa mwana hukuflash? afu ukavimba [emoji16][emoji91]
 
Story inabamba mbaaayaa..
Usimuliaji wako ni moja ya vitu vinavyoipa upekee na kiu ya kuendelea kuifuatilia wakati wote.

Speaking of Caryn, namfananisha na binti mmoja niliwahi kum-date. Yule nae alikuwa ni pasua kichwa ingawaje huyu wako ni next level. Ni ngumu kumsoma na kuona kama unammudu
 
Ni kawaida ukiwa nje ya Pitch kuusoma mchezo na kuuona ni rahisi sana
Daah mkuu, Caryn amekuchokoza vya kutosha, kwanza mwite mlale wote lkn usilazimishe zile za kitoto kutumia fursa, jambo muhimu usiku ajikute umemkumbatia tu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…