Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ilipoishia

Akatoa simu yake kwenye charge na kuanza process za kunitumia alichotaka kunitumia na hadi muda huo sijaelewa ni kitu gani ananitumia ila nikahisi kitakuwa ni kitu serious kiasi kwamba hataki niangalizie hicho kitu kwenye simu yake, baada ya sekunde kadhaa akawa ameshatuma

Kufungua WhatsApp si nikakutana na picha niliyopiga na Michelle Ile siku kule Serena Hotel, Tatizo sio picha tatizo ni Pose lililopigwa kwenye hiyo picha, Wakati naendelea kuiangalia Ile picha huku nikitafakari na kujiuliza Caryn ameipataje Ile picha kabla sijapata majibu Caryn akaniongezea swali

Caryn: "You guys are dating?"

Muendelezo

(Episode 22, SEASON 2)

BM: "Caryn bhana, sasa hii si ni picha tu"

Caryn: "Wewe na Michelle hamjazoeana kiasi Cha kupiga picha ya namna hii unless mna date"

BM: "Siwezi ku date na mke wa mtu, siunajua kabisa Dada yako yupo na Opportunist sasa mm naingiaje hapo!"

Caryn: "Yule bado hajapitishwa na familia, ila kama wewe ndio ungekuwa Mr Michelle ningekupitisha kwa asilimia zote"

BM: "Una maanisha nini?"

Caryn: "I mean now we're friends, ukija kuwa Shemeji yangu bond itaongezeka zaidi"

BM: "We huoni kama urafiki ndio utakufia hapo, ni Mwanamke gani atakubali aina ya urafiki wetu wa kulala chumba kimoja?"

Caryn: "Kwa Michelle namjua hawezi mind, ana wivu kwa watu wengine lakini sio kwangu"

BM: "Nimemiss halafu, hii inaenda wiki ya pili sijamuona"

Nilivyosema nimem-miss Michelle, Caryn akatoa wazo la kwenda kumtembelea kwake kesho coz siku inayofuata ilikuwa ni Jumapili, hii siku (Jumamosi usiku) tulipiga sana story ni vile tu siwezi kukumbuka vitu vyote na hata nikikumbuka vyote siwezi kuviandika kwa kuzingatia umuhimu wa matukio

Muda ambao tunakubaliana kesho tunaenda kwa Michelle ilikuwa saa saba kasoro, Kila mtu akaingia kwake kulala, kawaida ya Caryn muda wake wa kuamka ni ule ule, iwe ni siku za kazi au day off, Mimi Binafsi nikijua kesho sina mahali pa kwenda huwa naingia Mkataba na kitanda, na mashuka naingia nayo Ubia na simu naweka kindege (flight mode)

Siku za mwanzoni zile Caryn akitaka kuniamsha alikuwa ananigongea tu mlangoni, sasa hivi anafungua mlango anakuja hadi kitandani, so hii siku alivyoingia chumbani, akakikuta chumba kiko zigzaga, nguo zipo kila mahali zile zilizopo kabatini zimewekwa tu ilimradi, kitandani alikuta nimelala na makaratasi, zingine zilikuwa Documents za Bandari

Alichokifanya kabla hajaniamsha akasafisha chumbani na kila kitu aliweka mahala pake, alivyoniamsha nikakuta Kila Kitu kipo organized kasoro pale kitandani, akaniuliza

Caryn: "Kwani bro hii nyumba ulikuwa unaishi na nani! hasa humu chumbani?"

BM: "Mwenyewe vipi kwani?"

Caryn: "Naona miswaki ni mingi, mingine nimeikuta dirishani huko, mtu mmoja una miswaki zaidi ya 10?"

BM: "Miswaki ya Zanzibar hiyo kila nikienda narudi nayo"

Caryn: "BM hiki kitanda ukiamka ukitandike, unaishije chumba kipo rafu hivi?"

BM: "Tunaamshana asubuhi asubuhi utadhani leo jumatatu"

Caryn: "Saa nne kasoro hii, jiandae tuondoke mm naenda kuoga"

Nikaingia Bafuni kupiga maji chap, bafu nalo nikakuta limeoshwa bwana, mm hata sikumbuki mara ya mwisho kulisafisha ni lini, nilivyomaliza kuoga kimbembe kilikuja kuipata nguo niliyokuwa naitaka, unajua kabla Caryn hajafanya usafi nguo zangu nilikuwa nimezirundika tu so mwenyewe nilikuwa najua kwamba nikiingiza mkono upande huu nachomoa t-shirt flani, nikipitisha mkono chini natoka na Ile favorite jeans yangu,

Sasa kupangwa kwa nguo ilinichukua muda mrefu kujua ninachokita kilipo, hii siku nilitia aibu kwa kusubiriwa na Mwanamke akiwa tayari kashajiandaa na wakati siku zote Mwanamke huwa ndio anapoteza muda kwenye kujiandaa.

Natoka nje namuona Caryn anatingisha kichwa kama ishara ya kusikitika na hakuacha hili lipite hivi hivi

Caryn: "BM you have to change"

BM: "Aah, we nguo umezipanga rafiki angu yani Bora ungeziacha vile vile...nichange kwani hizi nilizozivaa zina nini?"

Caryn: "Mimi siongelei nguo hapa, muda wote huo ulikuwa unajiremba nini"

BM: "Nilikuwa sijirembi, nilikuwa natafuta nguo"

Tukapiga breakfast safari ikaanza kuelekea kwa Michelle, kama kilometers 20+ kutoka tunapokaa sisi na hatimaye tukafika destination, Apartments flani hivi decent sana tumefika ndani Tukamkuta Michelle alikuwa anaangalia movie, tukam-join [emoji897]

Baada ya kuangalia movie watu njaa zikaanza kuwauma, kama kawaida Càryn msee wa kutoa oda

Caryn: "Michelle tupikie wageni, si upo na food stuff"

Michelle: "Aahwe! hunipikishi leo, Jumapili sitakagi kuingia jikoni kabisa"

Caryn: "Kwahiyo hata Mr Michelle akija sasa hivi huingii jikoni?"

Michelle: "Kwani yeye ndio nani?"

BM: "Oya mbona unaongea kama vile mmegombana!?"

Caryn: "Obviously, there's trouble in paradise"

Nikaona haya maongezi yanapoelekea Sasa sipo, nikajaribu ku switch mada Caryn akanishtukia

Caryn: "Mimi sijaja kwa Michelle for nothing, kuna kitu nilikuwa nataka ku confirm"

Michelle akadakia "Kitu gani?"

Sasa bwana kumbe Ile picha Caryn alijitumia kutoka kwenye simu ya Michelle bila Michelle mwenyewe kujua, wakati Caryn anahoji kutaka kujua kinachoendelea Michelle akahisi kwamba mimi ndio nilimuonesha ile picha Caryn huku na mimi nikijua yeye ndiye aliyemtumia Caryn

Michelle: "Mimi siwezi kuwa na BM wakati najua kabisa ni mtu wako"

Caryn: "Nop! What i have with BM is amazing wonderful professional relationship, we work so well together and I would not want to jeopardize that for anything, so I want us to keep our relationship such as it is, nyie kama kuna mambo yanaendelea mimi nawabariki[emoji1545]"

(Ndugu msomaji zingatia neno Jeopardize nimelikoleza intentionally)

Michelle: "Wait...Yani mm niwe na BM! halafu wewe ukiwa wapi? watu mshafika stage ya pika pakua"

Caryn: "We are just friends sis... halafu wewe (BM) mbona upo kimya"

BM: "Sasa unataka mm niongee nini"

Michelle: "Halafu mm siaminigi urafiki wa Mwanaume kwa mwanamke

Caryn: "What are you trying to say?"

Michelle: "What I'm trying to say is Friendship between a Man and a woman doesn't not exist, one of them must fall ([emoji3531]) especially man"

Sasa ikawa kama vile ni debate kila mtu anatetea point yake, mimi nikawa sieleweki nipo upande gani, Caryn akafuata kujibu point ya Michelle

Caryn: "Yeah, I agree with you most friendships with men end in disappointments. You think it is purely friendship but in the end most men who are 'friends' with you will ask for sex eventually. but kwa BM ni case tofauti kidogo"

Michelle: "Mimi kama ningekuwa BM nisingekubali"

BM: "Usingekubali nini?"

Michelle: "I mean as a man better rejection than being friendzoned by a girl"

Nikaona sasa Michelle anafika mbali, nikawaambia story ziendelee tukishashiba maana watu wanaanza kuongea Pointless kwasababu ya njaa

Kiukweli Ile kauli ya Michelle Kwamba mwanaume ni Bora kukataliwa na Mwanamke kuliko kufanywa rafiki iliniingia na iliniuma sana kiasi Cha kujiona bwege, unajua sometimes naona Green light kutoka kwa Caryn hadi nawazaga kumtongoza lakini roho inanikataza, sijui ni Malaika wa Annie ndio anafanya kazi yake hata sielewi

Kweli watu walisimami misimamo yao hakukupikwa, tukaagiza msosi tukala, tulivyomaliza mambo yakaanza upyaaa

Michelle: "BM tutambulishe wifi yetu basi, maana nilijua wifi ni Caryn"

Caryn: "Yani mimi niwe wifi yako tena sio mdogo wako"

Michelle: "We nae nilikuwa natafuta vina"

BM: "Kwahiyo Opportunist kaamua kuondoka baada ya kusikia Boss wake Caryn anakuja"

Nikajaribu kuwapoteza maboya lakini wapi! sijafanikiwa

Caryn: "Huyo (Opportunist) tutamtafutia siku yake, Leo tuna wewe"

BM: "Yupo sema siunajua Caryn yupo mjengoni"

Caryn: "Sasa mimi namzuia nini jamani? we mlete tu kama utataka nihame mimi nitahama"

Asee hiyo sentensi Caryn aliiongea kwa unyonge, Yani kwa unyonge sana, hadi Michelle akasema "BM, kweli Mdogo wangu anakupenda anashindwa tu ku admit"

Caryn: "BM twenzetu, usimsikilize huyo"

Tukajikataa, Jumatatu yake nimefika Ofisi nikamcheki Michelle akaniambia yupo ofisini kwake, nikamuaga Caryn Lakini sikumuambia kama naenda kwa Michelle

Kufika ofisini kwa Michelle si nikamkuta yule Secretary wetu aliyefurumushwa na Caryn bhana, Nilivyoingia ofisini kwa Michelle nikamuuliza "Haya mwenzetu mbona umetuibia mfanyakazi wetu?"

Michelle: "Si mmemfukuza nyie, hata wewe ukifukuzwa vile vile nakuchukua"

BM: "Au sio, kumbe ulituletea informer, ujue nilikuwa naumiza kichwa wewe taarifa zetu unazipataje? kumbe ki Secretary ndio kimbea"

Michelle: "Mmekuja kujua too late kama ni nchi mshavamiwa"

BM: "Ah mm nilimshtukia mapema sana, ila nilijua nikimuambia Càryn angefanya kama hiki alichokifanya, na sitakagi mm kuwa chanzo Cha mtu kupoteza kazi yake"

Michelle: "Sawa Mtakatifu Petro"

BM: Haya we imekuaje Ile picha imefika kwenye simu ya Caryn?"

Michelle: "Nilimpa simu yangu ajirushie picha zake, sasa nahisi alipekua hadi akakutana nayo"

BM: "Dah! Umezingua kinoma rafiki angu"

Michelle: "Nimezingua nini sasa! hata akiiona kwani mkeo yule?"

Ilivyofika mida ya saa tano tano nikarudi ofisini kwangu, siku ikaisha tukarudi home, nyumbani sasa tulivyomaliza kula mtiti ukaanza, Hakupoi hakuboi, Ofisini Ntiti Nyumbani Ntinti yani titi for tati

Caryn: "BM, the dishes pls, ww kesho nenda Zanzibar ukirudi Wednesday utavikuta"

BM: "Caryn, ivi nikuulize ukija kuolewa utamuoshesha mume wako vyombo?"

Caryn: "You're my Friend not my husband don't mix things up"

BM: "That was just an innocent question"

Caryn: "Okay! Yes, ataosha vizuri tu, and why do men think that anything that concerns the kitchen is a woman's responsibility?"

Caryn: "Jana asubuhi nimefanya General cleaning peke yangu wewe ulikuwa umelala, I cleaned the house, I swept, I mopped, I cleaned the bathroom, 2 bathrooms actually and today I cooked, unashindwa kunisaidia na kuosha vyombo tu, that's not fair BM, be gentleman for once"

Nyie!!! Muda ule ule nilienda kuosha vile vyomba, hii ni experience mpya naipata kwenye maisha yangu, Muda wote nilioishi na Annie hakuwahi kuniambia nioshe vyombo kwanza anajua hakuna kazi siipendi kama hii ya kuosha vyombo, huko alipo akijua muda huu nimesimama kwende sink nasugua masufuri hatoamini

Hata hivyo kingine kilichonifanya nivioshe vile vyombo ni kwamba kesho Caryn anaenda kulala kwa Michelle coz mm naenda Zanzibar so kama ningeviacha ningekutana navyo mtondogoo

Ilivyofika Weekend, Jumapili asubuhi Caryn akanitaka niongozane nae kwenda kwao, nilimkatalia sababu nilikuwa na misele yangu mingine, japokuwa sikwenda kwa Mzee karibia wiki tatu sasa inakaribia

Mimi nikaenda kwenye misele yangu na Caryn akaenda kwao, ilivyofika jioni tukakutana Nyumbani, namuuliza "vipi Mzee na Bi Mkubwa hawajambo?"

Caryn: "Yani bora hata hatukwenda wote"

BM: "Kwanini?"

Caryn: "Nisikilize kwa makini, siku yoyote kuanzia leo Dad atakupigia simu uende nyumbani, sasa kabla hujaongea na Dad nataka tukubaliane kitu kimoja"

BM: "Kitu Gani?"

Itaendelea
BM UNAENDA KUPEWA MKE
 
Ohooooo Michelle kapeleka umbea kuwa caren anaishi na BM[emoji28][emoji28]
 
Mtoto anaingiaje chumbani asubuhi....! Akikutana na morning glory ataweza kuhimili?
 
Ubaya ni kwamba huwezi kutabiri nini kitajiri kwenye episode inayofuata hata iweje. Hongera sana kaka BM [emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91] Tusaidie tu kupatapo hizi episodes walau mara moja kwa wiki au wiki 2. Pia episodes walau ziwe 3 mkuu, hii arosto itatuua kwakweli.
 
BM X6...kwa mazingira haya Annie hawez kuwa mpnz wako tenaaa..Kuna vitu Ana sense.… Na ikiwezekana anatongozwa sna sana huko alipo na isitoshe a
Kacheat Kimasihara...caz huna attention nae na anajua..kwa maamuz yyte utakayo fanya kwa hao watatu ur gone..Anza kujitafuta kimtaji.,.save sana sana..tofaut na hapo unaenda angukia pabaya sana.,.
 
Noted mkuu, nitalifanyia kazi hili pendekezo
 
BM X6...kwa mazingira haya Annie hawez kuwa mpnz wako tenaaa..Kuna vitu Ana sense.… Na ikiwezekana anatongozwa sna sana huko alipo na isitoshe a
Kacheat Kimasihara...caz huna attention nae na anajua..kwa maamuz yyte utakayo fanya kwa hao watatu ur gone..Anza kujitafuta kimtaji.,.save sana sana..tofaut na hapo unaenda angukia pabaya sana.,.
Hapo kwenye kujitafuta najitafuta sana ila nitajipata tu
 
Back
Top Bottom