Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ni mimi peke yange siioni Season 2 Episode ya 13 na 14 au hazipo kabisa??
Duh, nilivyoona Comment yako nimerudi nyuma kujaribu kukutafutia na mm nimezikosa

Zitakuwa zimejifuta au shida nini? Kwasababu Episode ya 13 na 14 nilizipost
 
Duh, nilivyoona Comment yako nimerudi nyuma kujaribu kukutafutia na mm nimezikosa

Zitakuwa zimejifuta au shida nini? Kwasababu Episode ya 13 na 14 nilizipost
Toka juzi nimetenga muda nikapitia uzi mzima sikuziona kabisa, daah sasa sijui tunazipataje mkuu.
 
Ingependeza sana kama ungezitupia hapa, maana nimekwamia kwenye episode ya 12 nashindwa kuendelea na stori.
Nikizitupia tena sio kama nitaharibu mtiririko wa story

Halafu kitu kingine ni kwamba sijajua zilifutwa kwasababu gani? Ninaweza nikaweka zikafutwa tena
 
Hahahaha huyu Careen mbona tunafanana tabia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Good story [emoji122] ila jamaa una asili ya upole na ustarabu ndyo maana despite ya manyanyaso yote ya Caryn wala haukasiriki na kuzira...ustarabu wako ni wa hali ya juu maana angekuwa mwingine angeshamla Careen kitambo sana
 
Yeah hujakosea kabisa, mm ni mpole flani

Anyways, so na wewe una pigo kama za Caryn sio?
 
Subconsciously Caren alitaka kucheki upepo kuwa Kuna Nini Kati ya bm and Michele. So angeweza kusoma Ile inner voice or intuition Kama sio reaction akilianzisha alilolianzisha.
Ingawa in conscious level of understanding unamuona Kama Ni utani fulani Ila in deep her amygdala brain wanted to feed up with certain information intuitively or automaticall ,kabla ya kwenda kwa bm asubuhi na kujifunika shuka moja akiwa naked ama amfuate bafuni waoge wote tayari mchezo umeisha.
Ameanza kufanya usafi ndani mwake unategemea Kuna Nini.
 
Yaani pigo zake kabisa ni hela tu sina halafu sio wa kishua [emoji1787][emoji1787]
Ayaah! sasa ww ukija kupata pesa ndio utakuwa Balaah! Kama huna tu ndio upo hivyo I can't imagine ukizishika

Na kama Pesa huna basi utakuwa Pisi Kali sana, maana ukikosa hivyo vyote huwezi kuwa Overconfident
 
Back
Top Bottom