Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Yeye ameweka nadhiri ya kukukula wewe tuHahahaha huyu Careen mbona tunafanana tabia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Good story [emoji122] ila jamaa una asili ya upole na ustarabu ndyo maana despite ya manyanyaso yote ya Caryn wala haukasiriki na kuzira...ustarabu wako ni wa hali ya juu maana angekuwa mwingine angeshamla Careen kitambo sana