Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hahahaha huyu Careen mbona tunafanana tabia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Good story [emoji122] ila jamaa una asili ya upole na ustarabu ndyo maana despite ya manyanyaso yote ya Caryn wala haukasiriki na kuzira...ustarabu wako ni wa hali ya juu maana angekuwa mwingine angeshamla Careen kitambo sana
Yeye ameweka nadhiri ya kukukula wewe tu
 
Duuh! BM X6 ebu njoo kwanza huku...

Kama itakuwa kweli kwa niaba ya Members wa Jf tunaomba picha ya makabidhia ipigwe then iwekwe kwenye Uzi huu huu, hata kama hamtataka sura zenu zionekane ila Chuma BMW X6 tuione na muhusika a confirm kama ameipokea
Slow down Mkuu, upo race sana, relax.... ngoja niwasiliane na Bhadhuu mwenyewe kwanza, mrejesho nitaleta
 
Kama ndio hivyo basi tuishi na Bunge la Budget kwanza, likishaisha ndio tuendelee na tulipoishia...au unasemaje Mkuu?
Mei mosi shusha mkuu ili tunapopigwa porojo za Increment tuna punguza maumivu hapa
 
BM X6
Ulishawahi kumwuliza caryn kama ana boyfriend/mchumba? Au ushamuona naye?
Kama bado fanya kumwuliza huku umemkazia macho, ile ya u-serious kabisa. Akisema hana mwulize kama ashawahi kuwa naye.
Yeah, nilimuuliza mkuu lakini hiyo part sijaielezea, jibu lake kwa hicho kipindi namuuliza aliniambia alishawahi kuwa nae
 
Back
Top Bottom