Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mkuu wazo lako kwa upande wangu sio baya pia, ila wazo lako linawahusu members zaidi sio Mimi kwasababu wao ndio wakuafiki au wa kutoafiki, Nadhani wazo hili ungeliandika kule kwenye Uzi ingefaa zaidi ili kupata maoni tofauti tofauti but anyways nitakujibu kama ifuatavyo

Original Idea ya kuanzisha Uzi nilikuwa nataka kupata maoni katika jambo fulani na maoni niliyapata na nikafanikiwa katika hilo, ila baadhi ya waliochangia maoni yako walitaka kupata feedback ya kile kilichoendelea so na Mimi nikaja na SEASON 2 ya Story hii ambayo inaendelea hadi sasa

So hadi hapo utagundua kabisa Mimi sio mtunzi wa Story kusema kwamba natafuta soko la Story zangu ili nijipatie kipato (hapana) ila ikitokea kama ulivyo suggest sitokataa pia, hamna mtu anakataa pesa kama huyo anayekupa anakupa hiari yake

***********

Halafu pia kwa aina ya story yangu ni ngumu sana kuitoza tozo kwasababu ni story inayoendelea Yani unasikilizia matukio ndio uandike, Mfano sasa hivi episode inayofuata matukio yamejitosheleza naweza nikaandika nikapost hata kesho ila episode inayofuata itabidi Nisikilize matukio ndio nipate Cha kuandika, halafu bado mtu atakuja kuku pressurize kutaka muendelezo na hapo ni free what if angekuwa kalipia?

Hata hivyo sijaona story ya kumlipisha mtu hapo kwasababu visa vyake havisisimui sijui ni kwa vile sija tia tia chumvi maana kuna watu wana true story zao unaweza sema wametunga kumbe ni uhalisia

Kuhusu jamaa wa BMW bwana nimecheck, kwa haraka haraka unaweza kuona kama yule jamaa anatania na ukweli ni kwamba anaweza akawa hayupo serious na alichokisema, huwenda kafanya vile ili kuchangamsha Genge ila jamaa nimemtafuta kwasababu Binafsi Mimi sio aina ya watu wale wanaodharau vitu au mtu

Maisha yamenifundisha kwamba nisimdharau mtu yeyote au kitu chochote ninachoambiwa kwa kuhisi kwamba haiwezekani,

Jamaa katoa ahadi BMW X6, na mimi naamini atatoa kwasababu nilimuuliza kwa mara ya pili akasema "ana maanisha alichokisema" sasa mm ni nani nipinge kwasababu siwezi jua anayetoa hiyo ahadi ni nani? huwenda ndio level za kina Baba yake Caryn au na zaidi, humu Jamii forum mnapishana na ma Sonko sema tu hamjui mnaishia kuwatukana

Conclusions: "Ukipewa Ahadi yeyote ipokee kama ilivyo hata kama unahisi haiwezekani, lakini kamwe usigeuze Ahadi kuwa deni. acha deni libaki kwa muhusika aliyeahidi
Screenshot_20230421-190114.jpg
 
View attachment 2595396
Hayo yalikuwa ni majibu ya mtu aliyenifata PM, nimemjibu jamaa hadi Paragraph ya 3, kuanzia paragraph ya 4 nimeendeleza kuandika hapa

Kwa wale mnaotaka kuchangia just to show Appreciations nipo paleeee nimekaa, mtanishtua[emoji1732]
 
Nmekuja mbio nikijua mwendelezo [emoji1786]
 
Mkuu wazo lako kwa upande wangu sio baya pia, ila wazo lako linawahusu members zaidi sio Mimi kwasababu wao ndio wakuafiki au wa kutoafiki, Nadhani wazo hili ungeliandika kule kwenye Uzi ingefaa zaidi ili kupata maoni tofauti tofauti but anyways nitakujibu kama ifuatavyo

Original Idea ya kuanzisha Uzi nilikuwa nataka kupata maoni katika jambo fulani na maoni niliyapata na nikafanikiwa katika hilo, ila baadhi ya waliochangia maoni yako walitaka kupata feedback ya kile kilichoendelea so na Mimi nikaja na SEASON 2 ya Story hii ambayo inaendelea hadi sasa

So hadi hapo utagundua kabisa Mimi sio mtunzi wa Story kusema kwamba natafuta soko la Story zangu ili nijipatie kipato (hapana) ila ikitokea kama ulivyo suggest sitokataa pia, hamna mtu anakataa pesa kama huyo anayekupa anakupa hiari yake

***********

Halafu pia kwa aina ya story yangu ni ngumu sana kuitoza tozo kwasababu ni story inayoendelea Yani unasikilizia matukio ndio uandike, Mfano sasa hivi episode inayofuata matukio yamejitosheleza naweza nikaandika nikapost hata kesho ila episode inayofuata itabidi Nisikilize matukio ndio nipate Cha kuandika, halafu bado mtu atakuja kuku pressurize kutaka muendelezo na hapo ni free what if angekuwa kalipia?

Hata hivyo sijaona story ya kumlipisha mtu hapo kwasababu visa vyake havisisimui sijui ni kwa vile sija tia tia chumvi maana kuna watu wana true story zao unaweza sema wametunga kumbe ni uhalisia

Kuhusu jamaa wa BMW bwana nimecheck, kwa haraka haraka unaweza kuona kama yule jamaa anatania na ukweli ni kwamba anaweza akawa hayupo serious na alichokisema, huwenda kafanya vile ili kuchangamsha Genge ila jamaa nimemtafuta kwasababu Binafsi Mimi sio aina ya watu wale wanaodharau vitu au mtu

Maisha yamenifundisha kwamba nisimdharau mtu yeyote au kitu chochote ninachoambiwa kwa kuhisi kwamba haiwezekani,

Jamaa katoa ahadi BMW X6, na mimi naamini atatoa kwasababu nilimuuliza kwa mara ya pili akasema "ana maanisha alichokisema" sasa mm ni nani nipinge kwasababu siwezi jua anayetoa hiyo ahadi ni nani? huwenda ndio level za kina Baba yake Caryn au na zaidi, humu Jamii forum mnapishana na ma Sonko sema tu hamjui mnaishia kuwatukana

Conclusions: "Ukipewa Ahadi yeyote ipokee kama ilivyo hata kama unahisi haiwezekani, lakini kamwe usigeuze Ahadi kuwa deni. acha deni libaki kwa muhusika aliyeahidi
View attachment 2595396
Ukipewa huo mpira utanipa lifti mwanangu
 
Umeandika yooote kesho utunyime zawadi ya iddi tutaandamana . Mwendelezo
 
Mi moja ya mchango wangu ntahudhuria harusi yenu iwapo itafanyika dar au Kilimanjaro.
 
Uko sahihi BM X6 kamwe usimdharau mtu yeyote yule hata kama yu-mahututi hospitali mradi bado pumnzi ipo huenda oneday yes...
Mtu pekee ambaye unaweza mdharau ni "maiti" tu ....japo hata hivyo haina haja ya kumdharau mfu.
 
Back
Top Bottom