Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ukiingia Duka la nguo ukakuta mazingira haya, ujue ndio hapo hapo kwa Caryn, sema ni nadra kumkuta Caryn mwenyewe ila Picha imepigwa Leo nikiwa nae

NB: Caryn sio jina halisi, na hajui kama Kuna drama inaendelea humu, Sasa jichanganyeni
IMG_20230122_125315_302.jpg
 
Ukiingia Duka la nguo ukakuta mazingira haya, ujue ndio hapo hapo kwa Caryn, sema ni nadra kumkuta Caryn mwenyewe ila Picha imepigwa Leo nikiwa nae

NB: Kumbuka Caryn sio jina halisi, na hajui kama Kuna drama inaendelea humu, Sasa jichanganyeniView attachment 2596613
Kuna slay kwin mmoja twitter anajiita Caryn Khan, ana duka la nguo sinza. Nadhani ndio huyu. Ila sio pisi kali[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sio huyo, zingatia paragraph ya 2

Caryn sio jina halisi huyu wa Twitter nadhani hilo litakuwa jina lake la Passport
 
Ukiingia Duka la nguo ukakuta mazingira haya, ujue ndio hapo hapo kwa Caryn, sema ni nadra kumkuta Caryn mwenyewe ila Picha imepigwa Leo nikiwa nae

NB: Caryn sio jina halisi, na hajui kama Kuna drama inaendelea humu, Sasa jichanganyeniView attachment 2596613
Kuishi na Caryn unatakiwa ujishushe sana na umchukulie kama boss ule urafiki wenu punguza nadhani hata yeye ataona umekuwa mtiifu kwake na utaweza kujua vitu vingi kutoka kwake.
 
Ukiingia Duka la nguo ukakuta mazingira haya, ujue ndio hapo hapo kwa Caryn, sema ni nadra kumkuta Caryn mwenyewe ila Picha imepigwa Leo nikiwa nae

NB: Caryn sio jina halisi, na hajui kama Kuna drama inaendelea humu, Sasa jichanganyeniView attachment 2596613
Hii funguo ya X3 nmewahi kuiona mahali.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom