Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Subconsciously Caren alitaka kucheki upepo kuwa Kuna Nini Kati ya bm and Michele. So angeweza kusoma Ile inner voice or intuition Kama sio reaction akilianzisha alilolianzisha.
Ingawa in conscious level of understanding unamuona Kama Ni utani fulani Ila in deep her amygdala brain wanted to feed up with certain information intuitively or automaticall ,kabla ya kwenda kwa bm asubuhi na kujifunika shuka moja akiwa naked ama amfuate bafuni waoge wote tayari mchezo umeisha.
Ameanza kufanya usafi ndani mwake unategemea Kuna Nini.
Mkuu uko sawa hundred percent naomba niishie hapo coz nikisema nikujibu ulicho-comment itakuwa haina maana tena ya kusubiri muendelezo Mei mosi
 
Ayaah! sasa ww ukija kupata pesa ndio utakuwa Balaah! Kama huna tu ndio upo hivyo I can't imagine ukizishika

Na kama Pesa huna basi utakuwa Pisi Kali sana, maana ukikosa hivyo vyote huwezi kuwa Overconfident
Hapo kwenye pisi kali [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] labda nimuulize mwansheria wangu
 
Hapo kwenye pisi kali [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] labda nimuulize mwansheria wangu
Naomba mawasiliano ya Mwanasheria wako tafadhali ni muhimu sana
 
Mkuu uko sawa hundred percent naomba niishie hapo coz nikisema nikujibu ulicho-comment itakuwa haina maana tena ya kusubiri muendelezo Mei mosi
I have to re- read my previous predictions for this thread. Still thinking what was the Mzee's expectations to hand a lamb to a wolf.
Je wewe na Caryn mmeingia ktk mfumo wa Mzee au Mzee had it all coming from day one...if not kwanini amwambie Caryn akapange na anajua mko karibu kama hii haikuwa plan yake angemlinda zaidi na wewe.

Au mawazo ya Mzee yame change baada ya kuona Michelle anazingua kwa Oppo akaona ni heri shetani unayemfahamu kuliko usiyemjua?

Anyway, ngoja tuone makubaliano yako na bosslady yatatupa picture.

Ila mei mosi si mbali kiasi
 
Duh...hiyo comment yako unaweza kujua ipo namba ngapi? Kama inawezekana nitajie nirudi nikaisome
 
BM X6, najua unapenda sana BMW X6, ninayo moja ya siku nyingi kidogo, iko kwenye hali nzuri sana, namba C, mashine ya diesel.

I promise you, hadithi ikiisha ,ile chuma ni mali yako.
Mkuu kama upo serious na unachokisema utafanya hii story iishe kabla ya Eid

Kuendesha Gari unayoiota kila siku sio mchezo
 
Ninamaanisha. Pia akitaka tuoweke kwenye video format, nita finance.
Duuh! BM X6 ebu njoo kwanza huku...

Kama itakuwa kweli kwa niaba ya Members wa Jf tunaomba picha ya makabidhia ipigwe then iwekwe kwenye Uzi huu huu, hata kama hamtataka sura zenu zionekane ila Chuma BMW X6 tuione na muhusika a confirm kama ameipokea
 
Back
Top Bottom