BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
- Thread starter
- #2,481
Mkuu uko sawa hundred percent naomba niishie hapo coz nikisema nikujibu ulicho-comment itakuwa haina maana tena ya kusubiri muendelezo Mei mosiSubconsciously Caren alitaka kucheki upepo kuwa Kuna Nini Kati ya bm and Michele. So angeweza kusoma Ile inner voice or intuition Kama sio reaction akilianzisha alilolianzisha.
Ingawa in conscious level of understanding unamuona Kama Ni utani fulani Ila in deep her amygdala brain wanted to feed up with certain information intuitively or automaticall ,kabla ya kwenda kwa bm asubuhi na kujifunika shuka moja akiwa naked ama amfuate bafuni waoge wote tayari mchezo umeisha.
Ameanza kufanya usafi ndani mwake unategemea Kuna Nini.