Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ukiingia Duka la nguo ukakuta mazingira haya, ujue ndio hapo hapo kwa Caryn, sema ni nadra kumkuta Caryn mwenyewe ila Picha imepigwa Leo nikiwa nae


NB: Caryn sio jina halisi, na hajui kama Kuna drama inaendelea humu, Sasa jichanganyeni
 
Kuna slay kwin mmoja twitter anajiita Caryn Khan, ana duka la nguo sinza. Nadhani ndio huyu. Ila sio pisi kali[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna slay kwin mmoja twitter anajiita Caryn Khan, ana duka la nguo sinza. Nadhani ndio huyu. Ila sio pisi kali[emoji3][emoji3][emoji3]
Sio huyo, zingatia paragraph ya 2

Caryn sio jina halisi huyu wa Twitter nadhani hilo litakuwa jina lake la Passport
 
Kuishi na Caryn unatakiwa ujishushe sana na umchukulie kama boss ule urafiki wenu punguza nadhani hata yeye ataona umekuwa mtiifu kwake na utaweza kujua vitu vingi kutoka kwake.
 
Hilo dundo hapo kwenye funguo kaweka yeye au wewe
 
Hii funguo ya X3 nmewahi kuiona mahali.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…