Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

BMX6: Umetukatiri sana mkuu, ulipaswa utoe jibu la swali la mwisho la Mzee alafu ndio iishie hapo mkuu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Nafkiri hiyo "A day to remember" msingi wake umeanzia hapo kwenye maswali mawili ya mzee na quotes zake, kitu kizuri ni kwamba mzee kanyooka kwenye maswali ya mtego na wewe umenyooka kwenye majibu.
Nasubiri kwa hamu jibu lako la swali la mwisho la Mzee [emoji23][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] hapo ndipo ilipo "siku ya kukumbukwa" [emoji41][emoji276]
 
Mkuu wino ndio uliishia hapo[emoji3] Tunywe tu mtori nyama tutazikuta chini
 
"..... Kwani wewe na Caryn mna mpango gani?"

BM , tunaomba utujibie hili swali, kwasababu ukujibu kwa mzee wala kwa sisi wasomaji.
 
Rapid express air cargo
 
Mnahangaika sana kumjua BM pamoja na codes zote alizotoa mbona mi namjua kitambo sana kwa kupitia hizo codes ila sio busara kuja kumu expose mtu humu. Kwanza anasimulia story iliyobeba watu wanao exist alafu sio mjivuni wala hajakosa kitu. So kama na wewe umemjua BM basi usije kumtaja utamuharibia.
 
Hamna aliyekuwa serious mkuu tunachangamsha genge tu...huoni hata Bm na yeye hajasema kuhusu kumuharibia mpaka kataja na list ya Kampuni na ya kwao ikiwemo kazi ni kwako kuotea it's like a challenge tu nothing serious
 
Hili jina la BM huwa linanikumbusha nilipokuwa nafanya kazi bank flan,vijana wa sales tukawa tunaitana BM meaning Branch Manager, basi yule dingi branch manager alikuwa anamaind sana, ila mpaka Leo tunaitana BM 🤓🤓🤓
anyway hongera kwa simulizi mujarab!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…