Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

BMX6: Umetukatiri sana mkuu, ulipaswa utoe jibu la swali la mwisho la Mzee alafu ndio iishie hapo mkuu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Nafkiri hiyo "A day to remember" msingi wake umeanzia hapo kwenye maswali mawili ya mzee na quotes zake, kitu kizuri ni kwamba mzee kanyooka kwenye maswali ya mtego na wewe umenyooka kwenye majibu.
Nasubiri kwa hamu jibu lako la swali la mwisho la Mzee [emoji23][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] hapo ndipo ilipo "siku ya kukumbukwa" [emoji41][emoji276]
 
Mkuu wino ndio uliishia hapo[emoji3] Tunywe tu mtori nyama tutazikuta chini
 
"..... Kwani wewe na Caryn mna mpango gani?"

BM , tunaomba utujibie hili swali, kwasababu ukujibu kwa mzee wala kwa sisi wasomaji.
 
Mkuu Mafian cartel Picha zimekubali kufunguka ndio nimeziona Leo,

Bila kupepesa macho yule Agent namjua (ila sio Mimi), Ma-Agent na Ma logistic Manager tunafahamiana kwasababu tunatumia wote ndege moja, Air Tanzania na Ethiopian Airway kwahiyo mara nyingi ratiba huwa zinafanana.

Huyo Agent najua hadi Kampuni anayofanyia kazi, actually ndio hiyo hiyo uliyoiona Insta na Mimi ananijua ila kwa Nickname lakini sio nickname hii BM X6

Hizo Air Cargo zipo nyingi sana japokuwa wengine wanapiga miguu yote yote yani Air Cargo na Cargo Ship

Baadhi ni kama

Kaluu Express Air Cargo

Ngoka Express Air Cargo

Huru Express Air Cargo

Sifex Air Cargo

Tan Air Cargo

Rapid Express Air Cargo

Takes Express Air Cargo

Barhi Express Air Cargo

African Express Cargo

Target Express Air Cargo

Epic Express Air Cargo

SSI Air Cargo

NB: Katika hizo nilizozitaja kuna Kampuni ya Mzee pia
Rapid express air cargo
 
Mnahangaika sana kumjua BM pamoja na codes zote alizotoa mbona mi namjua kitambo sana kwa kupitia hizo codes ila sio busara kuja kumu expose mtu humu. Kwanza anasimulia story iliyobeba watu wanao exist alafu sio mjivuni wala hajakosa kitu. So kama na wewe umemjua BM basi usije kumtaja utamuharibia.
 
Hamna aliyekuwa serious mkuu tunachangamsha genge tu...huoni hata Bm na yeye hajasema kuhusu kumuharibia mpaka kataja na list ya Kampuni na ya kwao ikiwemo kazi ni kwako kuotea it's like a challenge tu nothing serious
 
Hili jina la BM huwa linanikumbusha nilipokuwa nafanya kazi bank flan,vijana wa sales tukawa tunaitana BM meaning Branch Manager, basi yule dingi branch manager alikuwa anamaind sana, ila mpaka Leo tunaitana BM 🤓🤓🤓
anyway hongera kwa simulizi mujarab!
 
Back
Top Bottom