Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Dah! Hata kama mm ndio Mzee siwezi kukubali, coz nafasi ilikuja mikononi mwangu halafu mm mwenyewe nikaigawa Leo hii niende kuiomba?

Swala la kubadilishana position pia halijakaa sawa, Mchina ishakuwa ridhiki yake kurudi tena nyuma na kuitolea macho itakuwa sio poa
 
"Mwisho wa siku Kampuni ikataka mtu mwingine wa kutoa mizigo yao, nisiwe mimi tena au kama haiwezekani watafute Kampuni nyingine ya kufanya nao kazi"

Kwani si mtu mwingine ateuliwe awe anashughulika na mizigo ya hiyo kampuni? Alafu wewe ushughulike na mizigo ya kampuni nyingine zilizobaki? Kwani huyo mteja ndo ametaka wewe uachishwe kazi kwamba ndo wataridhika au? Sijaelewa hapo.
 
Episodes zote zilizopita nilikuwa nasoma kwa excitement ila episode hii nimeisoma halafu nikaishia kuhuzunika like damn kama ni mimi vile ndo nimeachishwa kazi...pole sana man

How are you gonna pay back pesa ulizokopa na haupo kazini duh it's a puzzle
 
Tangu mwanzo hukuonyesha kuvitaka vyote iwe utajiri iwe ajira na hata mapenzi (kwa carlyin) kwa leo naweza kusema kumbe ule msemo mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote si kweli wahenga walichemka hakika,,nakupa pole japo dhahabu ili iwe na thamani na ing' ae lazima ipitishwe kwenye tanuru la moto mkali jipe moyo najua ipo nafasi nzuri utashinda mungu awe pamoja nawe
 
Haitawezeka... kwasababu kwa wiki huwa tunatoa mizigo mara mbili, trip ya kwanza huwa inakuja mizigo jumla, nikisema jumla namaanisha mizigo ya ofisini na mizigo yä hiyo Kampuni

Trip nyingine huwa ni mizigo ya hiyo Kampuni pekee

Sasa mizigo ya trip ya kwanza ikija huwa inawekwa pamoja, nikisema pamoja namaanisha ki documents

So itakuwa ngumu, natafuta Mfano rahisi wa kukuelewesha lakini nakosa
 
Bro mm nna waswas na mzee kua amecheza kama yy hapo ili kukutema kiaina.
 
Mkuu sitakosa chenchi, nina wateja wangu kadhaa kwenye Kampuni ya Mzee na njee ya Kampuni ya Mzee,

So kila mwezi nina uhakika wa kupokea Commission kutoka kwenye hizo Kampuni though Pesa yake haitalingana na Ile niliyokuwa naipata kwenye trip za Zenji
 
hivi kweli kosa moja du hapa kuna namna wanakuchezea possible ofisi yako na kampuni ya huo mzigo lao moja kama umelipa kwa nini kampuni ishinikize ,na huenda huu ni mchezo wa mzée mwenye huenda kathibitisha kwa binti yake caylin kuwa pamoja na kulala eoom moja zanziba na bado kaja mwenyewe kuishi kwako bado bila bila mzee kaona huenda wewe kuna shida sehemu, mzee anahitaji wajukuu nawe unazuga please yaaani kifuoi napata kuwaza sana
 
BM X6 kwa hili naomba uwe mkweli kama ndivyo kwa nn ulilia kuomba 75... elfu?
 
Anhaa hapo sawa mkuu

Na ile Kampuni uliwalipa 10m ambayo ni thamani ya mzigo

Vipi kuhusu transportation fees hawakudai fidia pia? Au ilijumuishwa humo humo kwenye hela uliyolipa
 
BM X6 kwa hili naomba uwe mkweli kama ndivyo kwa nn ulilia kuomba 75... elfu?
Kampuni zinatoa Commission mwisho wa mwezi, na Lile swala lilikuwa ni urgent.

Mkuu kwani hujawapi pata shida katikati ya mwezi na ukakopa ilihali unajua mwisho wa mwezi una uhakika na mshahara

We unadhani hata Mimi nguvu ya kukopa nimeitoa wapi?

Kwasababu hata hiyo pesa niliyoiomba humu haikufika, Bado nikakopa tena
 
mungu atakusaidia utashinda kuwa na moyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…