Sidhani kama hilo lingeleta matokeo hayo unayoyafikiria, yani mtu aibe kitu halafu akiuze eneo hilo hilo aliloibia? Au sijakuelewa unachomaanishaBm kwa upande wangu nawaza hivi kipindi umeibiwa huo mzigo ungejipenyeza bandarani kwa mtoto mmoja wa mjini umpe kaka tenda /oda unahitaji mzigo kama huo na utamtoa vizuri fasta ungeupata mzigo wako
Caryn siku hizi yupo kwao huku kwangu anakuja mara moja moja sana, mara ya mwisho kuwa nae ilikuwa juzi jumapiliHili suala ni zito Sana bwana BM, Mzee kugundua unaishi na mwanae, ni kosa kubwa mno Kwa uaminifu wake kwako.
Ulifanya kosa kubwa Sana kumkalibisha huyo msichana kwako, hakukuwepo na ulazima wa yeye kuja kuishi na haimake sence kabisa.
Kwa Mzee uaminifu umeshuka kwasasa, japokuwa ana matumaini makubwa na wewe kwakujua kuwa umekengeuka tu labda tuseme ujana ndio umekutawala, lakini hii isikuvunje moyo.
Nikushauri, kitu mtoe hapo kwako huyo binti na hakikisha unaanza rasmi kutafuta kibarua kingine.
Wewe ni Bora sana, Mzee atakuita siku moja.
BM wala usijal mpendwa naamini kwa muda ulokaa kwenye iyo industry naamini umepata experience kubwa sana,,,naomba utumie experience yako umake money usitegemee sana iyo familia kwa embu jitafute tafadhali,,pesa zinakuwepo zinapotea na pia zinapatikan tena ,,,usiwe na stresss sana naomba now ujisimamie mwenyew ili ata km hiyo familia ikikupotezea usiwe dissapointed sana nomba ufunguke uishi maisha yako km Mungu amekupangia kupata hamna wa kuzuia huwenda ata Caryn anafahamu mchongo mzima sema amekaa kimya tu wanakuzuga dont trust anybody kwa hii duniaCaryn siku hizi yupo kwao huku kwangu anakuja mara moja moja sana, mara ya mwisho kuwa nae ilikuwa juzi jumapili
We love u and we wish you the best dearCaryn siku hizi yupo kwao huku kwangu anakuja mara moja moja sana, mara ya mwisho kuwa nae ilikuwa juzi jumapili
Kuhakiki nilishahakiki, ila mzigo baada ya kuutoa kwenye meli Nadhani hapo ndio Kuna mtu akipita nao, coz ukitoa mzigo kwenye meli Kuna sehemu inawekwa kwaajili ya ukaguzi, na kwenye huo ukaguzi Box huwa zinachanwa kabisa ili kuhakiki kilichobebwa ndani na kilichoandikwa kwenye Documents ni the sameKuna Jambo maybe sijaelewa HV ukipakiza mzigo bandarini na wewe ukichukua si kuna kuhakiki Kwa maana kama haupo wenye meli wakulipe na mzigo mkubwa hivyo umepotea wap
Asante sana Dada Beatrice, maneno yako yamenipa faraja [emoji1545]BM wala usijal mpendwa naamini kwa muda ulokaa kwenye iyo industry naamini umepata experience kubwa sana,,,naomba utumie experience yako umake money usitegemee sana iyo familia kwa embu jitafute tafadhali,,pesa zinakuwepo zinapotea na pia zinapatikan tena ,,,usiwe na stresss sana naomba now ujisimamie mwenyew ili ata km hiyo familia ikikupotezea usiwe dissapointed sana nomba ufunguke uishi maisha yako km Mungu amekupangia kupata hamna wa kuzuia huwenda ata Caryn anafahamu mchongo mzima sema amekaa kimya tu wanakuzuga dont trust anybody kwa hii dunia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh! Sijaelewa hapo, kwamba nimemlawiti Caryn?
Kwakweli labda itokee miujiza otherwise story ndio itakuwa imeishia hapaKila nikiwaza kwamba tayari umefutwa kazi naishiwa nguvu kabisa aisee, maana hakutakua na muendelezo wowote kwa hivi karibuni, sijui itokee muujiza gani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji119][emoji119][emoji119] BM X6.
Ungekuwa katika nafasi yangu wewe ungefaanya nini? Na usingefanya kitu Gani ambacho mimi nimekifanya? Labda tuanzie hapo naweza kujifunza mawili matatu kutoka kwako na kwa wengine piaNmepitia huu uzi kimya kimya nmegundua kuw bro.BMX6 hutazami mbali kwa sababu unaamin mzee atakusaidia hapo baaday na umejiwek katik nafasi ya kuw mwanafamilia ya huyo mzee ila itakugharimu baaay bro usipozichanga karata zako pindi unapopata nafasi.
Pia mkuu u have no choice coz nafikir siku itafika careen atashindw kuzuia hisia zake kwako ila kuna risk ukiingia nae kweny relationship kwa sabab nadhan atakuwek under pressure ili uwez kusurvive pia atakupoteza kam utakataa kuwa nae kwenye mahusiano...kumbuka madem aina ya careen huwa wabinafsi pindi linapokuja jambo lao..
#Opinions.
Ningelikuw ww ningemganda michelle au careen anipe connection nyngne ya kaz ili nijihakikishie flow ya pesa kpindi nasubir kam nitarudishwa kazn.Ungekuwa katika nafasi yangu wewe ungefaanya nini? Na usingefanya kitu Gani ambacho mimi nimekifanya? Labda tuanzie hapo naweza kujifunza mawili matatu kutoka kwako na kwa wengine pia
Hayo makubaliano vp bado yanaishi ama yana hali gani kwa sasaMkuu sijafanya kumridhisha mtu, bali kuna makubaliano tuliafikiana ndio maana nikakataa kwenda hiyo safari ya China, ni vile tu sijasimulia ndio maana umejaji hivyo
Hakuna Soko lisilokuwa na Mwendawazimu.BM X6 post: 46353068 said:Aysee! hebu niache kwanza tafadhali...niache tu na upuuzi wangu
Huyu jamaa atakuwa anaishi ndani ya "Boom Gate"[/QUOTE]Nyamongo sehemu gani?
Kwinogo, Magena, Nyangoto, Kerende, Nyabichune, mjini kati, Boom Gate, Nyamikoma, Nyabirama, Kiribo, Komasebe, Gesegereri, Nyabuchichibhu?
Wapi mkuu?
Me nakaa kwinogo Kitongoji Kemambo.