Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Toka hapa na utapeli wako. Najua unapoelekea. Haya tuma namba tujiunge na group lako kwa 5,000 kwa mwezi. Ujinga tu. Wenzako kibao washakuja na waliishia hivyo hivyo. Nashangaa mods wanaachia upuuzi huu. Acha ushamba
Wewe ni mzima kichwani?
 
Mambo yakutusimulia bado unayo brother, tueleze kuhusu hayo makubaliano uliyoingia na careen mpaka ukakataa kwenda China, pia ulisema dogo wa buguruni kazingua, kazinguaje tusimulie ndo stori yenyewe hiyo
Okay nitakuja na Bonus Episode
 
Ubaya wa Connection (sijui ni kwangu tu au na wengine pia inawatokea) ni kwamba ukiwa na kazi ndio kazi zingine zinajileta, Sasa hivi nipo juu ya mawe sizioni tena zile Offer zilizokuwa zinakuja mbele yangu
 
Okay guys itabidi nije na Bonus Episode ili nisimulie mambo yote ambayo sikuyasimulia

Ila kuna baadhi ya mambo sikuyasimulia kwa makusudi kwasababu ya unyeti wake, kwa niliyoyasimulia iwe kwa upande wa Kampuni au familia ya Mzee niliyachuja kwanza kabla ya kuyaleta hapa

So kama ikitokea kwa bahati mbaya yeyote aliyetajwa kwenye hii hadithi akipitia huu Uzi kwangu haitaniletea shida, kwasababu pamoja na kutumia codes lakini hii story ikikatiza kwa Mzee, Caryn, Michelle bila shaka wataona matukio yana relate na wao, na Accountant pia

Kwenye Bonus Episode nitaelezea namna kijana wa Buguruni alivyozingua

Bonus Episode pia nitaeleza Mpango wa Caryn ulionifanya nikatae safari ya China, kwakifupi Mzee alivyoleta Offer mezani na Caryn nae alileta Offer yake bila ya Mzee kujua...ila katika hizi offers zote mbili nilishindwa kufanya calculation ya haraka haraka, (lakini pia siwezi kusema kwamba nilifanya maamuzi mabaya)
Offer ya Mzee ilikuwa ni ya uhakika zaidi na ndani ya muda mfupi Deal lingekuwa Done kama mlivyoona ilivyofanyika kwa mchina

Kwa upande wa Offer ya Caryn, ninaweza kusema ni ya uhakika lakini ni kama kamari vile vile, kwa kifupi huku kwa Caryn nimebet hadi leo sijajua kama deal litakuwa Dili kweli au ni Dirisha, ndio maana kwa upande mwingine sikuumia sana nilivyopoteza kazi ila iliniuma tu namna nilivyo struggle kuzichanga Pesa (10 milioni within 2 days) na kulipa deni ili kutoitia doa Kampuni lakini mwisho wa siku ikawa ni kazi bure

But I know maumivu ya kupoteza kazi nitakuja kuyafeel badae endapo Mpango wa Caryn usipokamilika, hapa itabidi nitafute plan B mapema ili kupunguza maumivu hapo badae endapo mambo yataenda mrama

Mwisho kabisa lakini sio mwisho kwa umuhimu, kwenye Bonus Episode nitasimulia siku ambayo nilimtongoza Caryn na majibu yake aliyonipa, unajua mwanzo nilikuwa nasita kufanya hivyo coz niliona kumu-approach Caryn in any way romantic is a really selfish move kwasababu nyuma yangu kuna Annie, lakini mwisho wa siku..... anyway guys stay tune
 
Umeongea point.
 
👊
 
Opportunity alitolewa wa Michelle na Mzee ili work an love visiwe na alipogundua Caryn uko nae akaona Nop akacheza picha la kichina unajua kama Zanzibar walikutrace Michelle akajua ulilala na Caryn the sameway Mzee hatak kbsa love and work,ila mwisho wasiku utazi control Hz company Kwa mgongo wa Caryn
 
Sawa mkuu tunasubiria

Na vipi kuhusu mzee ushawahi kukutana nae au kuongea nae kwenye simu baada ya kuachishwa kazi
 
unanifundisha mengi sana kuna maeneo nayapitia ,lakini navyosoma comments za members napata ufumbuzi wa mambo fulani fulani nawashukuru nyote sana sana mnanipa mafunzo
 
Wewe ndio mkaguzi wa I'd?. Hii forum ni ya kitambo sana. Kwamba wewe unazijua I'd zote humu?
 
Sasa wewe kushambulia mtu kwa namna hiyo kunakusaidia nini?. Huyu anaesimulia humu wapi alipomtaperi au kuonyesha dalili za kutaperi mtu?. Kama hujapendezwa na story zake kwa nini usikae pembeni?. Kwa nini mtu uishi kama wanyama zamani?. Kushambulia shambulia wengine?. Jaribu kuiga hata ustaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…