Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mbona makosa ni mengi tu ya wazi. Soma hapo juu mkuu
Bm bado hakumbuki mzigo umepotea vip hadi anafika kwa wenye mzigo ndio anashtuka mzigo haupo anatakiwa atulie avute kumbukumbu wapi makosa yalifanyika kupelekea mzigo ukapotea kuna mdau hapo juu kasema ana mashaka na opportunist.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Nimekuelewa vizuri, ngoja nikitulia vizuri kichwa kikipoa nije kuleta hiyo Bonus Episode ili kama kuna sehemu nilikosea kufanya maamuzi ndio mnikosoe vizuri, coz Kwasasa unaweza kumlaumu Caryn kumbe nae hakuwa na nia mbaya
 
Human creature is great at playing sex or dating game but fail to play other games.
But you can use the same principle of dating to accomplish another shit in your life field
 
Nimekupata kiongozi but kwenye stori yako kuna sehemu unaleta mazoea kwenye kazi,pia kuna sehemu unajisahau kwenye job yako.
Mi sijaelewa kabisa iyo mizigo kapoteza sehemu gani.maaana ukienda bandarini kuna camera.ukienda Azam marine kuna camera. Ukifika dar azam marine kuna camera.
Ebu nieleweshe mkuu umeipotezea wapi?.
 
Mi sijaelewa kabisa iyo mizigo kapoteza sehemu gani.maaana ukienda bandarini kuna camera.ukienda Azam marine kuna camera. Ukifika dar azam marine kuna camera.
Ebu nieleweshe mkuu umeipotezea wapi?.
Unajua siku Ile Kuna mchezo pia tuliufanya, ambapo nahisi labda ule mzigo ndio utakuwa umepotea katika mazingira yale, ni mchezo ambao unafanyika sana pale Bandari, unakuta mtu anamzigo wake ambao sio mwingi sana,

Sasa kuna mazingira yanachezeshwa pale ili mtu asilipe Kodi basi anakuomba mzigo wake aupakie kwenye Gari lako ili umpitishie Getini, mkishavuka Geti mbele huko unaenda kumshushia mzigo wake, so nahisi hapa ndipo blanda ilipofanyika japo wale majamaa walikataa
 
jamaa nilichokiona hadi saizi ni kama umepumbazwa na Michelle kuhusu caryn ndio maana kila kitu unamkubalia

pili unajiona kama wewe ni sehemu ya familia ya mzee (hapa umepumbazwa na mazingira)

tatu nasikitika kukwambia mzee wangu unachelewa sana kushtuka afu unadili na watu wamoja ni kama umewekwa kwene duara' kwene mpira tunaitaga "zugaisha bwege"

mwisho wadau punguzeni komenti ndefu, koment inakua ndefu kuliko uzi
 
Nimesoma comments nyingi hapa kila mtu anamlaumu BM eti anazingua, na sehem alizozingua zikijaribu kuainishwa.

Kitu nilicho na uhakika nacho ni kuwa; majority ndo wangekuwa akina BM humu, wangezingua zaidi kuliko hata huyu BM mleta story. Nasema hivi kutokana na aina ya uchangiaji ninayoiona.

Mimi nikushauri BM, uko kwenye right track. Just fix some loose ends, your future's bright.
 
Sawa Mkuu maoni yako nimeyachukua nimeyahifadhi
 
Kwakweli ukiwa nje ya Pitch unakuwa na nafasi nzuri ya kukosoa na kuona makosa.

All in All nimepitia maoni yote na kuyasoma, baadhi yana make sense, Yale ambayo ni senseless (nadhani wametumia hisia katika kuwasilisha maoni yao) pia na appreciate kwa michango yenu
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…