BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
- Thread starter
-
- #3,201
Chakufia nn, Bora niweke tu wazi maana mlinikalia kooniFinally vote yangu kwa Carryn, yaani nilitia mgomo baridi wa kupiga kura mpaka season 3 kama ulivyosema majibu nitapata huko.
Mkuu mapenzi hayana dhamana, mapenzi sio kumhurumia mtu ukiwa na mtu sababu unamhurumia mmetoka mbali trust me utamtesa.
Nimempa kura yangu Carryn sababu maisha yenu mnaendana sana Annie masikini ni mpole sana. Ingawa she is good ila maisha yake atakuwa sad as long as Carryn and accountant are there to stay.
So ni bora uwe na carryn kimoja Annie aendelee na maisha yake outside thw picture.
Unaweza kuta nae huko yupo na lembebez wa kazini anakulia timing tuu ukosee kidogo ahamie mazima[emoji3][emoji3]
Na hii kura yako kama sio itifaki ingekuwa triple counted cos maelezo yamenyooka
Eniwei, Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]