Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Finally vote yangu kwa Carryn, yaani nilitia mgomo baridi wa kupiga kura mpaka season 3 kama ulivyosema majibu nitapata huko.
Mkuu mapenzi hayana dhamana, mapenzi sio kumhurumia mtu ukiwa na mtu sababu unamhurumia mmetoka mbali trust me utamtesa.
Nimempa kura yangu Carryn sababu maisha yenu mnaendana sana Annie masikini ni mpole sana. Ingawa she is good ila maisha yake atakuwa sad as long as Carryn and accountant are there to stay.
So ni bora uwe na carryn kimoja Annie aendelee na maisha yake outside thw picture.
Unaweza kuta nae huko yupo na lembebez wa kazini anakulia timing tuu ukosee kidogo ahamie mazima[emoji3][emoji3]
Chakufia nn, Bora niweke tu wazi maana mlinikalia kooni

Na hii kura yako kama sio itifaki ingekuwa triple counted cos maelezo yamenyooka

Eniwei, Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]
 
Bmx6 ktk lost kubwa utakalofanya kumuacha annie na kubwa na Caryn napa Mzee hatapenda na kama anajambo kubwa juu yako trust me Atalicancel why anajua kbsa kichwani make mapenz na kazi mwisho kazi itaharibika tu kubwa zaid hata mwenye Mungu naamini atasikia zaidi kilio chan Annie maana alipokutoa bila yeye Honda leo usingefika hapo karisk pakubwa Anna hyo ni True Love ya Annie so choice is urs but please don't disappoint Annie she is wife material..
Okay, hii comment imebeba hisia hadi zinamwagika, Nimekuelewa sana Mkuu


This vote automatically imeenda kwa Annie [emoji294][emoji294]
 
Go for Caryn sababu
1. Anna yuko mbali, obviously lazima anasaumbuliwa na mabosi huko, ipo siku ataliwa ama analiwa kimya kimya
2. Fimbo ya mbali ......( distance inapunguza upendo)
3. Caryn ni mwanamke anaekupa challenge kuliko Anna, na challenge ndo zinakujenga in life.
Nb. Ukiamua kuwa na Caryn usibadirike, ishi kama unavoishi maana ndicho anachokupendea
Wow! I like this

Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]
 
Familia ya mzee inakupenda kwasababu ya utashi na kazi zako kwao
Ukioa huko know that utakua a dog of a family kila utakachokifanya kitakua kwa asilimia 80% to protect that in law family
As ukiangalia ni familia ambayo imekua part of ur life daily
Na ufahamu wako kwa hiyo familia umebase sana PESA na biashara
Inabd ukae ufikirie je mazingira mengine tofauti na pesa/biashara unaweza kulink nao?? Je familia yako kwenu wanaweza kulink na familia ya mzee pamoja na careen?
Ukipata jibu then Go for Careen

Annie hadi sasa am sure hajaonyesha dalili za kubadilika (km zipo mchunguze) kama bado yuko loyal hana mtu na hana makando kando basi go for Annie

PS: As A Lady i vote for Annie
Caryn atakusumbua mbele(most of women wanaokua na pesa,cheo na akili ni wasumbufu lazima apate mtu wa kumu out smart) ila km unammudu careen then go for her i
THE MOST CONFUSING COMMENT

(nimeipenda kwakweli)

Lakini nikizingatia hapo kwenye "PS" basi bila shaka hii kura imeenda kwa Annie [emoji294][emoji294]

Kama nimekosea utanirekebisha kabla sijaiweka kwenye hesabu

Asante sana kwa kushiriki
 
If security is your first priority then stay with Anne,..If freedom( with its costs) I'd your first choice...go with Caryn.


Mambo ya sijui mmetoka mbali sio sababu...mapenz hayaendi kwa hisani na huruma, hamjaona nyie lolote laweza tokea. Angalia nan anafit zaid kwenye maisha yako yajayo tembea nae.
.

Hii nimeipenda...
 
Tumekosea sana kukubali ku vote ilihali jamaa haja confirm kama kamkula boss lady[emoji51][emoji51] ilitakiwa tugome kwanza hadi acomfirm ndio tuendelee
Ndo Maana binafsi nime "nyuti"
Naamini BM X6 Mwenyewe jibu analo.
 
Counted to Caryn
Yes, carryn atakufaa zaidi kuliko Annie kwasasa, issue ya carryn kuwa submissive utatengeneza wewe ila haitafika kwa kiwango Cha mwanamke mnyonge kwako, kikubwa chagua kuishi kizungu maana kwasasa Kuna vitu vya kurahisisha kazi mtakuwa mnasaidiana, Kuna mashine za kuosha vyombo, kufua, pressure cooker, maji yanakaa kwenye dispenser hakuna haja ya kuomba ni mwendo wa kizungu na maisha yanakwenda.

Annie muache mapema ili aondoe matumaini kwako, mwambie ulimchit hivyo unaona hatia maana kwa umbali itajirudia mara nyingi hivyo utamfanya asiumie sana, kuwa na Annie itakupa majuto maana itabidi uache kazi na connection zake Sasa jiulize utapenda hayo maisha?
 
Binafsi nimegoma kupiga Kura.

Chaguo utakalolifanya ndilo hilohilo nitakaloliunga mkono hiyo tarehe 01/06/2023.
Budah Boss ni kura ndio zitaamua, so kama utaunga mkono chaguo langu hiyo inamaanisha utakuwa upande wa Candidate aliyepata kura nyingi


Eniwei, Another Ballot wasted
 
Yes, carryn atakufaa zaidi kuliko Annie kwasasa, issue ya carryn kuwa submissive utatengeneza wewe ila haitafika kwa kiwango Cha mwanamke mnyonge kwako, kikubwa chagua kuishi kizungu maana kwasasa Kuna vitu vya kurahisisha kazi mtakuwa mnasaidiana, Kuna mashine za kuosha vyombo, kufua, pressure cooker, maji yanakaa kwenye dispenser hakuna haja ya kuomba ni mwendo wa kizungu na maisha yanakwenda.

Annie muache mapema ili aondoe matumaini kwako, mwambie ulimchit hivyo unaona hatia maana kwa umbali itajirudia mara nyingi hivyo utamfanya asiumie sana, kuwa na Annie itakupa majuto maana itabidi uache kazi na connection zake Sasa jiulize utapenda hayo maisha?
THE MOST PAINFUL COMMENT.

Hii imeniuma sana...

Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]

[emoji3514]
 
Back
Top Bottom