🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Unaomba maiti damu, Yeye mwenyewe anahitaji Summarization, kaishia kusoma Episodes 2 tu
Iliniwia vigumu sana ku vote!! Ila kwa maisha yalivyo go for Caryn though nahisi mtakuja kuachana huko mbele,mzalishe fasta fasta if u’ll make it to a marriage life😁😁Licking Wounds ivi ushapiga kura? kama Bado kuja, kama tayari subiri matokeo
Heri yeye amesoma hata[emoji23]Unaomba maiti damu, Yeye mwenyewe anahitaji Summarization, kaishia kusoma Episodes 2 tu
Kumbe hadi wewe hujasoma[emoji23]Lol mi hata sielewi naona tu Annie mara Cryn hii story sijui nilipitwa wapi navopenda story miee....
Ngoja namsubiria mkuu Advicer anipe samaree kwanzaaa!!
Hahaha mbona ni kama maamuzi yako yameshajulikana mpaka hapaAah, ww hutakiwi kubalance mzani, chagua mmoja
Mchague hata Caryn basi[emoji53]
Nadhani unaweza ukatukuta hapa hapa tulipoishia, Muendelezo Bado sana. Cos hadi niishi kwanza ndio niandike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Naenda nayo Ado adoo ntawakuta tuuuu...
uwe unanitag kuu ntaenda nayo mbele nyuma ivoivoooo ntaielewa tuu
Dah! Maswala ya utabiri yametoka wapi tena jameni[emoji17], swala lilikuwa ni ku vote tu hayo mengine niachie mimiIliniwia vigumu sana ku vote!! Ila kwa maisha yalivyo go for Caryn though nahisi mtakuja kuachana huko mbele,mzalishe fasta fasta if u’ll make it to a marriage life[emoji16][emoji16]
This is just my opinion! All the best bro BM X6
Sioni kama utawahi, kupiga kura mwisho date 31Heri yeye amesoma hata[emoji23]
Nikipata muda nitasoma mdogo mdogo hadi mwisho halafu ntavote.
Sent using Jamii Forums mobile app