Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Bonus ni hii TU que Kuna ingine
 
Braza hujasimama bado. Baki na Anna. Ukienda kwa mtoto wa bosi una vingi vya kupoteza. Nishikize ndani humo kwanza mpaka uwe hakuna namna ya kukureplace ndo uanzishe mahusiano na Carryn. Vinginevyo utachemka vibaya.
Sawa, nimekuelewa lakini mm nikichagua nimechagua, Yani nitakayemchagua Sasa hivi basi huyo ndio atakuwa chaguo langu la maisha. Sitaki kufanya maamuzi nusu nusu Vinginevyo labda Mungu awe hajabariki hilo chaguo

Halafu hii I'd nahisi kama ni mara ya pili kuvote au ni mimi ndio nachanganya? Or you just wrote a comment to advise me and not a vote?

Double vote hairuhusiwi jamani

Eniwei! Nitahakiki badae
 
Huu Uzi ni mtamu, kinachotafutwa ni business ideas,,
 
Yesterday your comment was most interesting ila hii ya leo [emoji1430][emoji1430][emoji1430]

Sadly ni kwamba haikuhesabiwa kama kura lakini ya leo tusipompa Annie itakuwa ni kujitafutia laana


Vote counted to Annie [emoji294][emoji294][emoji294]
 
Hapana bro sijavote tena japo baada ya kusoma na kukuta ulikata utepe kwa Carryn nikawa dilema. Sema risk ya Carryn ni kubwa. Mapenzi ni risk. Be ready to face the consequencies. Anna kuwa mbali ni kikwazo tena kikubwa. Wanawake kukaa muda bila kusaliti ni changamoto. Leo nimekaa sehemu namsikia shemeji yangu amepigiwa simu ambayo sikuilewa elewa. Huyu ni mtu mwenye ndoa changa inaonekana dear x kamkumbuka. Excitement aliyopokea nayo mpaka njmeshtuka ndo hivo inabidi bro awe ameweka ulinzi wa kumtrace mtu wake. So kwa hapo Annie alikupenda ila umbali ni tatizo tena kubwa.
Kwa Carryn anakupenda tena sana lakini hapo kuna mkate wako wa kila siku. Ukiharibu A unaharibu na B. Kama inawezekana achana na Annie kabisa ndo uanze na Carryn. Huwa kwenye ulimwengu wa roho tunaona vyote. Pia machozi ya mtu ni sumu mbaya mno. Mchane kwa utulivu nimefall pengine. Epusha machozi yake kwa gharama kubwa. Yanaweza yakakurudi.
Kwa Carryn omba Mungu, kama ukiona unampenda na unaweza kuvumilia karaha zake oa kabisa. Ila jipime siku ya ubaya je utavumilia?. Psmbana ifike sehemu mzee ashindwe kukuondoa kwenye bussiness zake. Kila la heri bro. Siku mkihitaji mhasibu unikumbuke mshkaji wako huku. Ila kwa Wakristo tunasema Bwana akutangulie mbele.
 
Nimependa ulivyomalizia

Kama kuna tabia zangu ambazo huzipendi niambie nipo tayari kuziacha"
 
Watu mna akili sana ,best comment
 
kamwendo Sijaona vote yako
Mkuu,
Mimi binafsi huwa napenda mwanamke wa kunipa kashikashi. Yaani mwanamke wa kunipa changamoto ndo huwa namfeel,

Mwanamke mzuri ni Yule anayekupa changamoto siku zote. Akili inakuwa hailali, Kila siku ni mawazo mapya,Ari mpya, hamasa ya utafutaji nk.

Sipendi wanawake wapole,ambae kila unachomwambia kwakwe ni Sawa Tu.

Zaidi ya yote, Sipendi kumuonea huruma mwanamke kwenye mahusiano, Ooh sijui umetoka nae mbali? Mbali wapi? Kwenye maisha Kuna njia lazima upitie, naamini ww kuwa na Annie ndio njia iliyokufikisha apo ulipo Leo na Carryn. Annie sio wa kumuamini Sana, maana watu wanaoaminika mara nyingi ndo huwa wanakuwa na matukio ya kushangaza.

To me, Carryn ni best choice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…