Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Akili kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paragraph ya mwisho nimeielewa sana, na sijui ulikuwa wapi, ungekuwa hata una like like kwenye Uzi pengine ningeshakutagi mapema sana

Eniwei! Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]
 
Nampa Annie kwa sababu umetoka naye mbali, lakini kwa harakaharaka inaonekana Ni mvumilivu kwenye Hali ngumu ngumu
Asante Asante sana

Vote counted to Annie
 
BM X6, najua unapenda sana BMW X6, ninayo moja ya siku nyingi kidogo, iko kwenye hali nzuri sana, namba C, mashine ya diesel.

I promise you, hadithi ikiisha ,ile chuma ni mali yako.
@TAJIRI MKUU WA MATAJIRI Mkuu Leo ndio Ile siku.

Eniwei kwanza piga kura, Kura yako ni muhimu, ukishamaliza kupiga kura usiondoke tafadhali, nataka tujadili ni namna gani naweza kupata lile Chuma, I mean Chuma Cha mjerumani si unaona nimeshaua Story

Kazi imebaki kwako kutimiza ahadi, nipo hapa nimekunja nne nakusubiri
 
Hilo lilikuwa ni jibu tu kwa jamaa

Hivi nishahesabu kura yako au bado hujapiga? Kama bando changamka bhana siku ndio zinayoyoma
Mm nakuonea huruma tu jamaa angu ,kuishi chini ya amri ya mwanamke(Caryn)dahh kibongobongo inataka roho yachuma sana.either uwe radhi kuishi kizungu kama wengi walivyoelezea kwa ufasaha humu ndani,all in all inategemea na hitaji la moyo wako,najua unatamani sanaa Caryen angekua na roho ya Anne.binafsi nampigia kura Anne,kwasababu mmetoka mbali na anasadifu maisha yawanaume wengi mahitaji yetu kutoka kwa mwanamke.japokua ningumu kuacha makampuni yaende hivi hivi.ushauri wangu be an alpha male brother,still inawezekana ukawa nao wote uwezo huo unao kabisa nasijajua unakwama wapi .hii ni africa brother,mambo ya kukaa na kademu kamoja for the rest of ur life unahatarisha usalama wako mwenyewe,na kusurrnder uhuru wako binafsi kwa mwanamkemmoja big No.kuna mwamba mmoja wakuitwa leadermoe japo kwasasa nimarehemu alipatwa na kigugumizi kama hiki cha kwako,lkn at the end alichagua kwenda nao wote na haikumdhuru kitu. Tena mwmba alikua nao mzungu mfiniland na mbongo kwa wakati mmoja,ikikupendeza tafuta story yake ujifunze mapito yake...au muone member wakuitwa@gilly atakusaidia pia.
 
siku carryn akijua background yako na Annie atavunjika sana moyo

kwa nature ya uanaume kama unahitaji peace of mind Annie anakufaa
 
Kwa Briefly uliyonipa kuhusu huyo jamaa, Nadhani kwa upande wake ilikuwa rahisi ku handle hao Wanawake wawili kwasababu hawakuwa karibu, Mmoja nje ya bara la Africa mwingine ndani ya Africa tena Tanzania! Hapo atakayeshindwa kuchezesha hilo game atakuwa mzembe sana

Kwangu kuna mtiti Mzee, angalau Annie makazi yake ingekuwa ni Mwanza hiyo ingekuwa nafuu kwangu, unajua hivi anavyokuja Dar sio kwamba anakuja na kurudi kazini! Hapana, ndio mazima hiyo

Halafu kumbuka Annie anapajua pale ofisini kwa Mzee ila hapa ninapokaa Sasa hivi ndio hapajui, lakini akifika Dar ni lazima afike hapa ninapoishi

Lakini ngoja tuone vile mambo yatakavyoenda
 
Hesabu kura yangu hyo kwa Anne mzee,nnakuombea mwisho mwema kama wasemavyo waungwana.ktk harakati zako mkuu.
 
Niko tofauti kidogo Nadhani ungejipanga kwanza katika nyanja nyingine za kimaisha, swala la mapenzi kwa sasa usilipe uzito sana.

Kamilisha kwanza mipango yako mingine ya kimaisha, jiweke safe side kwanza.
Sawa nimekuelewa, Sasa wakati najipanga na nyanja zingine za kimaisha na nafaa kumuweka akilini kati ya hao wawili, ili hapo badae nikiwa Niko sawa niweze kuendelea nae kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…