Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

aisee broo umetisha[emoji109]
 
[emoji1430][emoji1430][emoji1430]

Upo deep sana Bro, Yani Dah hata sijui naijibu vipi hii comment maana ni BEST of the BEST

Kaka umemaliza kila kitu, kwa jinsi nilivyoisoma hii comment hadi namaliza sijaona upande ulioegemea lakini kuna Paragraph moja imeonesha wewe ni Team Annie

Eniwei! Popote utakapoipeleka kura yako basi mimi nitai triple count kwa Candidate husika, Yani kura yako moja nitaihesabu mara tatu kwa utakae mchagua maana umeua na ukazika nakuzika[emoji1430]

[emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294]
 
Kiongozi umeongea point apo,pia kuna mke maanake ni msaidizi yaani anatakiwa awe chini yako,kwa hiyo apo kashajua achague nani.
 
Bro you are very brave n bright... but in African life, the end justifies the means... Acha huyu dogo atafute hela.. apambane to maximum hatujafikia levels za kufanya mapenz kua priority, Ila maisha cz haya mapenz ya kihind kwa sis wasaka tonge ni useless 2.. as long as atatumia mda mref kutoboa na huku wapo mategemez kibao. Huyu Bm ni smart but still has long way to go as a man but short way ni kukubali kuwa mjinga 2 atoboe cz kuna certanity kwenye hurstling pia..
 
Asante sana bro, nimependa kitu kimoja kutoka kwako. Umempa blaza Maua yake halafu ukatoa mtazamo wako...Salute bro

Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]

Updates

Hii I'd kura yake nilishaihesabu comments za nyuma
 
Nilipotea kwenye uzi wangu pendwa for some time nikarudi nikakuta comments nyingi sana nikawa nazisoma moja baada ya nyingine leo ndo nimemaliza

Caryn has been my favourite since uzi unaanza nampa maua yake she is a full package

All the best bro
 
Nilipotea kwenye uzi wangu pendwa for some time nikarudi nikakuta comments nyingi sana nikawa nazisoma moja baada ya nyingine leo ndo nimemaliza

Caryn has been my favourite since uzi unaanza nampa maua yake she is a full package

All the best bro
Katika I'Ds nilizokuwa nazisubiri, hii ni mojawapo

Asante sana kwa kushiriki na hii kura ndio tunafunga nayo siku ya leo

Vote counted to Caryn
 
Nimetamani kukupa likes 100 kwa uchambuzi huu....yaani nimesoma mpaka nimejisikia hali fulani haielezeki. Kongole kwa uchambuzi mkuu hope BM atapata kitu hapa
 
KURA ZILIZOHESABIWA HADI WAKATI HUU
(Votes still being counted)


DAY 1
Annie: Votes 7
Caryn: Votes 12

DAY 2
Annie: Votes 18
Caryn: Votes 23

DAY 3
Annie: Votes 25
Caryn: Votes 27

DAY 4
Annie: Votes 31
Caryn: Vote 40

DAY 5
Annie: Votes 35
Caryn: Votes 45

DAY 6
Annie: Votes 40
Caryn: Votes 50

TOTAL VOTES
Annie: Votes 40
Caryn: Votes 50

Imebaki siku moja tufunge zoezi na sio siku mbili tena, ratiba zimeingiliana hapa kati, coz sitakuwa na muda wa kushinda humu tena

NB: Comments zote nilizoziwekea nyota zenyewe kura zake zitahesabiwa kitofauti
 
Mimi namchagua Annie .
Ngoja namimi nitoe ushauri wangu . Carryn ni mwanamke ambaye atakubadilisha maisha yako huenda ukapiga hatua kifedha na ukawa mtu wa high class na sio wa kawaida Tena. Lakini Carryn Hana sifa za kuwa Mama Bora na mke Bora Kwa familia Yako. Carryn ni mwanamke ambaye uvumilivu wa kulea watoto Hana na mwisho wa siku atakuforce mzae mtoto mmoja tu , anaonekana anapenda uzungu mwingi.

Carryn hawezi kuishi kwenye umaskini she is born in rich a family, kwahivyo utaishi maisha ya kuhakikisha mda wote you have enough money in your pocket jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani.

Carryn linapokuja swala la pesa mapenz hayapo so usije ukategemea kuwa na mahusiano nae kutakufanya unufaike na pesa zake no. Utakapohitaj pesa ya Carryn utatoa maelezo ya kutosha na atahitaji aone matokeo ya pesa alokupa imefanya nini, Carryn sio wale wanawake unaweza mwambia naomba laki Tano Kuna ishu niisolve akakupatia hawezi Fanya hivyo.

Ukiwa na Carryn ukaribu wako na ndugu na marafiki utappungua Kwa sababu hautakua na msaada kwao Tena kwani Carryn atahitaji maelezo madhubuti kuwasaidia ndugu zako na rafiki zako na wengine wataogopa hata kufika kwako.

Annie ni Pure African woman. Anaeheshim na kumsikiliza mwanaume bila kujieleza kwingi.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Woiiii, Maua yako Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…