Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Nimekuelewa sana, ila hawa unaowaita Pure African Women ni snakes pia huwa hatari sana, she can pretend muda wote wa uchumba then 5 weeks after marrying her anarudi default, unaanza kuona rangi ambazo hujawi kuziona

Eniwei! Vote counted to Annie [emoji294][emoji294]
 
Hivi dunia ingekua na ushirikiano kama huu uliomo kwenye huu uzi mngekupungukiwa nini mbweha nyinyi[emoji28]
Ushirikiano muhimu mkuu, bado ww kuonesha ushirikiano wako kushiriki katika zoezi hili
 
I go for Anie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Caryn will be the winner hilo halina ubishi nimekaa pale[emoji28]
Honestly kwa nilipofika mwanamke mpole mpole hapana.

Naona watu wanamjudge Caryn kulingana na attitude aliyoionesha akiwa kama Boss, Alipaswa kuwa vile sababu hawakuwa kwenye mahusiano. Na alikuwa sahihi kabisa.
Mlitaka awe anajirahisisha kwa mshikaji? Big no. . .
 
Caryn will be the winner hilo halina ubishi nimekaa pale[emoji28]
Kumbuka Kuna zile kura nimeziwekea nyota 2[emoji294][emoji294] nyingine nyota 3[emoji294][emoji294][emoji294] so msije kushangaa Annie akaja kupindua Meza
 
Nakuona Team Caryn kindaki ndaki
 
Watu wana fear the unknown
 
Ila BM uje moyo wako wote upo kwa Carryn ni vile tu unajikaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…