Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mkuu binafsi nainjoy Sana uandishi wako hauchoshi big up Sana unajua kupresent ingawa kuna wakulungwa wachache kama wanapanic hivi.

Pili details flan zinafundisha Sana,kama alivyoeleza Mzee khs njaa,tamaa na upuuzi,Safi Sana bonge la elimu.

Nafuatilia Kwa Makini Sana mkuu.....
Hii mbinu ya kutumia ID nyingine kuja jipigia promo ni ya kitoto sana...🤣🤣🤣. Unakuta unakuja jisifia ujinga kwa IDs nyingine...ni utoto tu na ulimbukeni. Sisi wakongwe tunafahamu.
 
Mkuu binafsi nainjoy Sana uandishi wako hauchoshi big up Sana unajua kupresent ingawa kuna wakulungwa wachache kama wanapanic hivi.

Pili details flan zinafundisha Sana,kama alivyoeleza Mzee khs njaa,tamaa na upuuzi,Safi Sana bonge la elimu.

Nafuatilia Kwa Makini Sana mkuu.....
Hii mbinu ya kutumia ID nyingine kuja jipigia promo ni ya kitoto sana...
 
Imegeuka riwaya, sasa si ungesema

Usuposema lawama za kuingiza stori zisizo na maana hazitaisha
 
Wakuu naomba mnisamehe sana, Chupa leo halijaamka na Chai, jana usiku nilivyomaliza kula nilipitiliza kulala moja kwa moja nikasema Story nitaimalizia leo maana nitakuwa tu home, Sasa Leo Asubuhi ratiba imechange nimeamshwa na simu kutoka kwa Boss natakiwa kwenda Zanzibar na Pesa ilishatangulizwa kwenye Account, Hapa najianda kwenda kupanda Boti ya 12:30 PM hivyo leo sitopata mazingira mazuri ya kuandika muendelezo, labda mpaka kesho jioni ndio nitakuwa nimerudi Dar
Ila wazee wa itaendelea huwa mnakuwaga na nini sijui, yaani lazima mleta story apate excuse hii au ile, mara simu imepasuka, mara nimepigiwa simu niende shamba, mara computer ninayotumia imeharibika, mara mtoto kaumwa ghafla mara nimepata safari ya ghafla mara hili mara lile, kiufupi mnakera sana.
 
Back
Top Bottom