Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mkuu umeongea vitu vingi vyenye point sana. Yaani umenifanya niwaze hata vile ambavyo sikuwaza. Nimesoma pia majibu ya BM kwako,hakika kupitia hii nimejua mengi. Kwa namna fulani uhalisia,hata vile vitu hakuviweka moja kwa moja kwenye episode,kutokana na kutokuwa na sababu za moja kwa moja kuwekwa,lakini kupitia hii mengine yamefunguka.

Mpaka hapa naweza sema mpaka sasa BM yuko 60 Caryn na 40 inacheza kwa Annie. Kuna sababu za umbali na mengine yasiyoonekana kwa wazi.
 
Blaza aliamua kunifokea hadi nikampa [emoji294][emoji294][emoji294] zake
 
ELECTION IS OVER

Mtanange naufunga jamani haina haja ya kusubiri hadi saa sita, mambo ni mengi nimechoka Kila saa kuingia humu

Kuna namna nimezihesabu kura, sijaweka usawa

Kuna waliopiga kura kwa ku mention tu jina la muhusika Mfano "Kura yangu Kwa Annie" aina ya kura hizo nimezi count once

Halafu kuna wale waliopiga kura lakini wameshusha na Nondo, aina ya kura hizo nimezi rate kwa kuzipa nyota, kuna kura nilizozipa nyota 2, 3 na 5

Ni Comments za watu wawili pekee ndio nimezipa nyota 5 [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294]

Bahati nzuri au mbaya hizo comments zote nilizozipa nyota 5 hazikuwa na upande so kura tano tano kwa Kila Mmoja, na kama unajiju comment yako haikuwa na upande lakini umeshusha materials basi ujue nimeihesabu kura kwa Candidates wote wawili

Matokeo nayapost soon
 
ELECTION RESULTS

ANNIE: Total Votes 79

CARYN: Total Votes 106

(Wakali wa mahesabu hapo ni asilimia ngapi kwa ngapi?)

Wapenzi na wadau wa Live story ya Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni wamempendekeza Caryn kama Mwanamke wa maisha yangu, Kwa matokeo hayo Binafsi nasema kuna haja ya kichwa Cha Uzi kibadilishwe na kuwa Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa Caryn

Asanteni wote kwa ushirikiano wenu [emoji1545]
 
Ndoa lini
 
aweee napinga matokeo
 
Session 2 iliendelea?

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Mh
 
Kilichobaki mkuu tumtafutie Annie sababu moja takatifu tuachane nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…