Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hii mbinu ya kutumia ID nyingine kuja jipigia promo ni ya kitoto sana...🤣🤣🤣. Unakuta unakuja jisifia ujinga kwa IDs nyingine...ni utoto tu na ulimbukeni. Sisi wakongwe tunafahamu.
 
Hii mbinu ya kutumia ID nyingine kuja jipigia promo ni ya kitoto sana...
 
Imegeuka riwaya, sasa si ungesema

Usuposema lawama za kuingiza stori zisizo na maana hazitaisha
 
Ila wazee wa itaendelea huwa mnakuwaga na nini sijui, yaani lazima mleta story apate excuse hii au ile, mara simu imepasuka, mara nimepigiwa simu niende shamba, mara computer ninayotumia imeharibika, mara mtoto kaumwa ghafla mara nimepata safari ya ghafla mara hili mara lile, kiufupi mnakera sana.
 
Muda utaongea ngoja tuwe na subira Episode 1&2 naona zilikuwa pure ila hizi zinazoendelea kama .....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…