Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ndugu zangu mpo humu? I hope wote ni wazima. Nimepita kuwasalimia kwa jina la Jamhuri

Leo bhana nina hamu ya kuonana na member yeyote wa humu, Around saa 11 jioni nitakuwa Serena Hotel kama Kuna member yeyote atakuwa maeneo hayo tushtuane tupige story mbili tatu
 
acha kututisha bwana, yani nimekurupuka nkajua tayari kumbe wapi...BM bwana tunahitaji kujua utaleta lini mwendelezo,hizo salam zinaleta njaa....
 
Caryn atakuwepo?
 
acha kututisha bwana, yani nimekurupuka nkajua tayari kumbe wapi...BM bwana tunahitaji kujua utaleta lini mwendelezo,hizo salam zinaleta njaa....
Kabla huu mwezi haujaisha nataka nianze kuandika, kama mambo yataenda vile yalivyopangwa
 
Kabla huu mwezi haujaisha nataka nianze kuandika, kama mambo yataenda vile yalivyopangwa
daah! Japo milango ya kanisa na msikiti siijui, lakini mungu akutie wepesi, utuondelee hii arosto mkuu...
 
Dawa ya usingizi ni kulala. Kama kwa wahindi ni kila siku, jitahidi kwa Michelle nako uwe na ratiba ya kutokwenda kila siku.
Inatia moyo kuwa Tz ina shughuli za kumbana MTz mpaka hana muda wa kulala, tunayasikia ughaibuni tu. Natumaini maslahi yanaridhisha. Kila la Kheri!
 
Maslahi ni mapana, I mean si haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…