Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hapa inajulikana mzee si anaishi na machuchunde ndani kwake mimi natabiri tu
 
Wakuu naomba mnisamehe sana, Chupa leo halijaamka na Chai, jana usiku nilivyomaliza kula nilipitiliza kulala moja kwa moja nikasema Story nitaimalizia leo maana nitakuwa tu home

Sasa Leo Asubuhi ratiba imechange nimeamshwa na simu kutoka kwa Boss natakiwa kwenda Zanzibar na Pesa ilishatangulizwa kwenye Account, Hapa najianda kwenda kupanda Boti ya 12:30 PM hivyo leo sitopata mazingira mazuri ya kuandika muendelezo, labda mpaka kesho jioni ndio nitakuwa nimerudi Dar
 
Duh
 
Huyo Mzee amejuaje yote hayo wakati ndio kwanza kafika ofisini Kwa jamaa na Hawa kuonana Wala kuwasiliana weekend nzima
 
Umeanza sigara zako

Mmhh hii story itakuwa chai hii
 
Sawa, mimi nimejenga kibanda hapa
 
Huyo Mzee amejuaje yote hayo wakati ndio kwanza kafika ofisini Kwa jamaa na Hawa kuonana Wala kuwasiliana weekend nzima
Sayansi na Tekinolojia za mambo ya kichawi nazo huwa zina signals,amini usiamini.Huenda alipata signals fulani huko alikokuwepo kuwa dogo kapuyanga kama,mambo yangeenda swadakta pia angepata signals(machale).

Alafu kingine labda yawezekana kule home kwa huyo mzee mshua tajiri anakaa peke yake baadhi ya siku katika wiki,hudhani labda kuna viumbe huwa anafuga,sasa pengine jamaa wakati anaondoka akaacha mlango wazi viumbe(misukule) imepata upenyo wa kutoka.

Yote kwa yote hatujui wacha tusubirie atoke zanzibar aje amalizie hiyo story.
Maana dhahania zimekuwa nyingi.
 
Ndio maana mimi huwa naangalia mwishoni Kwanza Kama stori imeandikwa itaendelea nikiona hivo huwa sisomi[emoji57][emoji57]

Ila hii nimesoma sijui kwanini[emoji2][emoji31]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…