Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhWakuu naomba mnisamehe sana, Chupa leo halijaamka na Chai, jana usiku nilivyomaliza kula nilipitiliza kulala moja kwa moja nikasema Story nitaimalizia leo maana nitakuwa tu home, Sasa Leo Asubuhi ratiba imechange nimeamshwa na simu kutoka kwa Boss natakiwa kwenda Zanzibar na Pesa ilishatangulizwa kwenye Account, Hapa najianda kwenda kupanda Boti ya 12:30 PM hivyo leo sitopata mazingira mazuri ya kuandika muendelezo, labda mpaka kesho jioni ndio nitakuwa nimerudi Dar
[emoji16][emoji16][emoji16]Chupa limeamka na chai
Huyo Mzee amejuaje yote hayo wakati ndio kwanza kafika ofisini Kwa jamaa na Hawa kuonana Wala kuwasiliana weekend nzimaIlitakiwa utoe chakula cha huyo jamaa tu(mzee),sasa wewe ukapuyanga kuongezea na cha kununua kwa Mama lishe hilo ndio kosa mkuu.
Na alitaka kuwaibia nyota zenu na inavyoonekana unayo nyota kali ya kazi na biashara.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Umeanza sigara zakoWakuu naomba mnisamehe sana, Chupa leo halijaamka na Chai, jana usiku nilivyomaliza kula nilipitiliza kulala moja kwa moja nikasema Story nitaimalizia leo maana nitakuwa tu home, Sasa Leo Asubuhi ratiba imechange nimeamshwa na simu kutoka kwa Boss natakiwa kwenda Zanzibar na Pesa ilishatangulizwa kwenye Account, Hapa najianda kwenda kupanda Boti ya 12:30 PM hivyo leo sitopata mazingira mazuri ya kuandika muendelezo, labda mpaka kesho jioni ndio nitakuwa nimerudi Dar
Sawa, mimi nimejenga kibanda hapaWakuu naomba mnisamehe sana, Chupa leo halijaamka na Chai, jana usiku nilivyomaliza kula nilipitiliza kulala moja kwa moja nikasema Story nitaimalizia leo maana nitakuwa tu home, Sasa Leo Asubuhi ratiba imechange nimeamshwa na simu kutoka kwa Boss natakiwa kwenda Zanzibar na Pesa ilishatangulizwa kwenye Account, Hapa najianda kwenda kupanda Boti ya 12:30 PM hivyo leo sitopata mazingira mazuri ya kuandika muendelezo, labda mpaka kesho jioni ndio nitakuwa nimerudi Dar
Sayansi na Tekinolojia za mambo ya kichawi nazo huwa zina signals,amini usiamini.Huenda alipata signals fulani huko alikokuwepo kuwa dogo kapuyanga kama,mambo yangeenda swadakta pia angepata signals(machale).Huyo Mzee amejuaje yote hayo wakati ndio kwanza kafika ofisini Kwa jamaa na Hawa kuonana Wala kuwasiliana weekend nzima
whats aiseeeeeeeer[emoji15]