Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

BM salute to you nakukubali.sana baada ya kumaliza kutuhistorishia please toa kitabu cha hii history na itangaze hapa kabisa kwamba kitabu kimetokea i hope wengi tutanunua coz kina mafunzo katika maisha ya kila siku
Acheni kumjaza uongo
Uwezo huo wa kununua vitabu hakuna msije kumpa hasara
 
Huyo mrembo anakuelewa ila we una delay sana .
 
Hajui hii ni Isidingo the need
 
We BM huna shukran,ungemuoa huyo accountant ,maana ndo Mungu kamtumia akutoe mavumbin,..huyo Annie cjui Carren wangekujulia wap ,km siyo huyo accountant kukuita kazin,ukaanza kushika pesa ukamuona hafai.looh kuwa na fadhila kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…