Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ilipoishiaa[emoji1484]

Imefika Lunch time najiandaa kwenda kupiga Menu yule Mzee nikamuona anaingia Ofisini halafu ana hasiri amekunja sura, nikajisemea hapa kimeshanuka nikaanza ku recall matukio ili nijue ni wapi nimekosea hasa kule nyumbani kwake, kote nilicheza safe na mara ya mwisho kuongea na huyu Mzee ilikuwa ni Ile Jumamosi akinipa mabadiliko ya ratiba yake huku akinipatia option mbili za yeye kupata gari yake, na Mimi nilivyochagua kubaki na Gari hadi Jumatatu sikumpigia tena simu kumjulisha uamuzi niliouchukua....nikapata majibu kwamba inawezekana hapo ndipo nilipo haribu, alikuja kwenye desk langu na kuniambia "nipatie funguo ya Gari na ukimaliza kazi nitafute" hata hakunisalimia akatoka nje ya ofisi akaondoka....

Muendelezo [emoji1484]

Ilivyofika saa tisa alasiri nikawa nishafunga makashabrasha yangu, nikamcheki Mzee, akanambia nimkute hoteli flani, kweli nilivyofika kwenye Ile hoteli nikakuta ile Alphard imepark kwa nje nikampigia simu, akanielekeza nikachoma ndani nikamkuta Mahali amekaa anakunywa Cappuccino, akamuita muhudumu akanambia niagize mm nikaitisha Passion Juice, Mzee akaanza kwa kuniuliza maswali "Nyumbani unaishi nani?" Nikamwambia peke yangu Mzee "Nakumbuka uliwahi kunambia kwamba Wazazi wako pia wanaishi hapa mjini, Ukiachana na Wazazi wako una ndugu wengine wanaishi hapa Dar?" nikamjibu ndio wapo wengi tu

"Okay! unajua ni vigumu kuyafanya maisha magumu kuwa rahisi lakini ni rahisi kuyafanya maisha rahisi kuwa magumu, ww upo tofauti na vijana wengi wenye umri kama wa kwako, nakuambia haya kwasababu Mimi vijana nawajua vizuri na wafanyakazi wangu wengi ni vijana, inawezekana wewe unalijua hili lakini vijana wengi hawajui kwamba ikitokea mtu amekuamini kwa haraka ujue kashaandaa mazingira flani ya kupambana na matokeo hasi, Ile siku Wakati nakuacha nyumbani kwangu Ile nyumba ilikuwa na Pesa nyingi sana, baadhi ya pesa zilikuwa sehemu ya wazi kabisa ila kwa haraka niliyokuwa nayo nilisahau hata kuzihifadhi mahala sahihi, kabla ya kukupigia simu wewe na kukupa maagizo ya kuingia chumbani kwangu nikakumbuka kwamba sijaweka mazingira sawa hivyo nilimpigia mmoja wa vijana wangu ninaowatumia katika kazi zangu za mjini nikampa maagizo aje maeneo ya nyumbani kwangu alivyofika ndio nikakupigia wewe, kwahiyo maeneo yote uliyokuwa unazunguka na gari Mimi taarifa nilikuwa nazipata huku nikihakiki kwenye system, Kitu nilichokipenda kutoka kwako ni kwamba ulifocus na maelekezo niliyokupa kuanzia nyumbani kwangu yani hukutaka kugusa hata heleni ya mke wangu, unajua unaweza ukawa sio mdokozi lakini kama ungeanza kugusa hiki mara kile tayari ningeanza kukutilia shaka, kila mtu ana tamaa lakini wachache wanaweza kujicontrol, Ukiachana na tamaa kingine nilichokipenda kutoka kwako ni sio mtu wa kurahisisha mambo, Nilipokupa kazi ya kugawa chakula kwa wenye uhitaji ulifanya kwa moyo wote kama vile nakulipa pasipo usimamizi angekuwa mtu mwingine angerahisisha hata kwa kugawa kwa watu anaowajua yeye"

Sawa Mzee Nimekuelewa lakini kama sijakuelewa pia, Yani maelezo yote haya yanamaanisha kwamba hukuniamini? "Hapana kijana wangu nilikuamini sana na umezidi kuweka mizizi ya kuendelea kukuamini, Nilichokuwa nakifanya nikujitengenezea mazingira ya kutojilaumu badae kwa chochote ambacho kingetokea kwasababu sisi ni Binadamu tuna madhaifu lolote linaweza kufanyika, unajua hata Ugonjwa unapoanza ni rahisi kuutibu lakini si rahisi kuugundua. Lakini kadri unavyokua, inakuwa ni rahisi kuugundua lakini ni vigumu kuutibu." Kiukweli nilikuwa nishaingiza baridi sikutegemea maneno haya kutoka kwa Mzee kwa vile nilivyomuona Ofisini nilijua kuna mahali nimeharibu,

Kumbe saa Ile Mzee anaingia Ofisini Dakika kama mbili nyuma Mzee alitoka kupokea simu iliyomkasirisha sana, na hakuwa comfortable kunielezea ni nini kimetokea, alinambia tu "Leo nilikuwa najua kabisa siku yangu inaenda kuisha vibaya, acha niende nyumbani kupumzika ni refresh akili nijue nakabiliana vipi na hili jambo, Kila Kitu kikiwa sawa nitakutafuta tuongee mengi zaidi ikiwemo Biashara lakini kuna mtihani hadi ufanye na ufaulu ndio nitakuonesha ulimwengu wa kibiashara wenye mafanikio, kwasababu sio wote Wanaofanya Biashara wanafanikiwa, wengi wanafeli na wanafelishwa na mambo ambayo pengine wanayajua ila wanayapuuza, kila mafanikio yanajumuisha maelfu ya vitendo vya ujasiri"

Nikajisemea moyoni haya ndio mambo niliyokuwa nayataka ila sasa huu mtihani ni mtihani gani tena, Mzee kakaa ki CIA CIA nitatoboa kweli huo mtihani?

Hayo ni mambo niliyokuwa najiuliza kichwani Wakati Mzee ana clear bill pale hotelini, tukaagana mzee alinichukulia moja ya tax zilizokuwa zimepark nje ya Ile hoteli, yeye akaingia ndani ya Alphard akaondoka na Mimi nikashika njia ya kuelekea Tabata

Sasa huo mtihani ndio umesababisha kuanzisha huu Uzi, naona episode zinaenda kuwa 3 badala ya 2 kama nilivyopanga mwanzo hii nikutokana na pressure za baadhi ya memba humu imenibidi niipost hivyo hivyo bila kuikamilisha yote
[emoji1545][emoji1545]
 
Very good.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nyie vijana msiokua na vifua ndo mnataka tuwape madaraka serikalini,
Yaani ndani ya muda mfupi tuu umeanza kutoa siri za nyumbani kwangu na baadhi ya mambo yangu, vipi nikikuingiza kwenye mambo ya kibiashara utaweza kweli. Vijana badilikeni tunawapima kwa vitu vidogo Sana pia jitahidini kutunza siri za waliowaamini tafadhali sana
.kwahiyo biashara zenu ni haramu?
 
Asante japo umewa prove wrong wengi!
 
😰😰😰😰 huu uzi kila baada ya 30 minutes ntaufatilia
 
Sidhani kama utapona kesho nikiita mizimu ikulete maskani kwa nguvu maana nilikuamini sana kijana hadi kukukaribisha kuingia kwangu sasa umekuja jamvini unamwaga tu mchele na kuku ni wengi! kuna kitu ulichukua pale uani hujakisema hapa na hukujua nilikutegeshea na umejaa!

kuna maswali mengi uliuliza sikukujibu ila watakapokuleta utapata majibu kwa kujionea kwa macho. yako mengi bado huyajui kijana utayaona. tuliona unafaa kutumwa na hata ukibisha utashangaa umefika na utajiuliza umefikaje swali ni je kwa kifua chako kidogo utaweza kubeba? hutoweza kunikwepa na kukataa kutumwa kwa kushìka lile gari.

Siku ukimaliza kazi yetu tutakuosha kwa jasho na damu ya mzungu wa Ukraine tunakokinga! ila tutavichanganya na vile kutoka eneo fasi penye kuna vita pale Kongo!

tumekuingiza kwenye fungu la kafara!
 
Tokea nimenza harakati za utafutaji sijawahi kukanyaga kwa mganga na maisha yangu sio mabaya sana, sitarajii kuwepo siku nitaenda kwa mganga kwa sasa nipo njiani kuulekea utajiri, japo utajiri una mapana na marefu yake ila tujuwe tu upo uwezekano wa kuwa tajiri bila nguvu za giza.
mnasemaga basi🤔🤔🤔
 
Sayansi na Tekinolojia za mambo ya kichawi nazo huwa zina signals,amini usiamini.Huenda alipata signals fulani huko alikokuwepo kuwa dogo kapuyanga kama,mambo yangeenda swadakta pia angepata signals(machale).

Alafu kingine labda yawezekana kule home kwa huyo mzee mshua tajiri anakaa peke yake baadhi ya siku katika wiki,hudhani labda kuna viumbe huwa anafuga,sasa pengine jamaa wakati anaondoka akaacha mlango wazi viumbe(misukule) imepata upenyo wa kutoka.

Yote kwa yote hatujui wacha tusubirie atoke zanzibar aje amalizie hiyo story.
Maana dhahania zimekuwa nyingi.
Wabongo kwa kuwza ushirikiana...!😂😂
 
Tokea nimenza harakati za utafutaji sijawahi kukanyaga kwa mganga na maisha yangu sio mabaya sana, sitarajii kuwepo siku nitaenda kwa mganga kwa sasa nipo njiani kuulekea utajiri, japo utajiri una mapana na marefu yake ila tujuwe tu upo uwezekano wa kuwa tajiri bila nguvu za giza.
Kwani mada inahusu kwenda kwa mganga!?
 
Mkuu hiyo gari tangia ulivyopewa ..sijaona sehemu ukisema kama uliingia sheli kujaza mafuta zaidi ww ni kupark tu izi chai zingine ziwe zinaendana na uhalisia
Aaaa bana kuweka mafuta sheli ni very minor thing iawezekana lilikuwa full tank
 
“Ni ngumu kuyafanya maisha magumu kuwa rahisi ila ni rahisi kuyafanya maisha rahisi kuwa magumu”

“Ni rahisi kuutibu ugonjwa unapoanza ingawa ni ngumu kuugundua, ni ngumu kuutibu ugonjwa uliokwisha kua ingawa ni rahisi kuugundua”
 
Back
Top Bottom