Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Bado naitolea maks hii TRUE STORY. Yaani MUNGU akinijalia nikamate hela lazima nikutafute mdogoangu hii story inaweza kuwa tamthilia nzuri sana,kuliko hata za kikorea,ksbb Kwanza ni hali halisi,pili inaeleweka vizuri hata IKIKAA KWENYE TAMTHILIA INAWEZA KUTENGENEZA MZUNGUKO MZURI SANA,UTAKAOWATAMANISHA WATAZAMAJI KILA SIKU KUISUBIRI KWA HAMU.
Humu pia kama kuna kwenye ndoto ya tamthilia anza na hii,muone huyu BM x6
Ila mwenye ndoto hiyo kutengeneza mzunguko nzuri zaidi hapo kwenye mtihani wa mzee iwe mitihani miwili. Mtihani mwingine uwe wa mzee kuweka mitego ya kutaka huyu BM amuoea Caryn (pamoja na usimart wa mzee) kwenye tamthilia yetu ili kutengeneza mzunguko mkubwa na kumchanganya BM ni kumfanya BM aingizwe king na kwa Caryn. Pia Michel baada ya kusemwa sana kuhusu mhuni wake,tutamfanya aingie wivu,yeye mwenyewe aanze kumlia timing ya kasi BM.
Yoyote mwenye ndoto pia amuone BM,mimi nitakuwa director. Sio hizi tamthilia zenu wewe mwenyewe director,wewe mwenyewe mtunzi,wewe mwenyewe location,wewe mwenyewe nini nini?.
Kwa kweli BM kama hujui hii kitu umeileta kwa usahihi sana kama mafunzo kwa wengi,HASA NAMNA YA KUISHI KUTOKUWA NA PAPALA,KUWA NA SUBIRA,UKWELI ULIO WAZI KWA MWENZIO NA WANAOKUZUNGUKA NA UNACHOKIAMINI. KUISHI KIUHALISIA. Hongera,ningejua ung'eng'e ningechapapo hapo upande wa hongera. Lakini nisiwe nyuma hata hili CONGRATULATION
 
Dats true, ila kama mtu anatokea anasema anataka kuihamishia hii story kwenye tamthilia/movie basi itabidi nitulie haswa katika kuchora script

Na Uzuri haitacost bajeti kubwa sana ila pia iwe bajeti ya kueleweka na kuendana na mazingira, Mfano kwenye story Caryn anapust BMW X3 basi kwenye movie atakayeigiza uhusika wa Caryn anatakiwa apush ndinga hiyo hiyo kwasababu kiuhalisia ndio gari ambayo naijua vizuri kwahiyo hata kwenye kuchora script inakuwa rahisi kuielezea

Yani kwa mfano mimi ndio nasema niitolee movie hii Story basi nitapita mule mule kama Nairobi nitaenda Nairobi kweli maana kwenye story nilieleza hadi maisha ya Nairobi ambayo yalikuwa ya msoto

Nikisema msoto mjue ni msoto kweli kweli na sidhani kama kwenye hii story nilihadhithia yote,

Kwa aliyewahi kwenda kutafuta maisha Nairobi (Sio kwenda kuishi, kutafuta) atakuwa anapata picha, Nairobi sio kama Bongo kule ukichelewa kulipa rent/kodi basi usiku ukirudi kwa nyumba ujue kabisa utakutana na Kufuli mbili zimebebana Yani lako na la mwenye nyumba

Nishawahi kufungiwa nyumba kama mara 2, na kuna sehemu nilihamia nilibahatisha mwenye nyumba alikuwa na roho nzuri kiasi kwamba napitisha Hadi tarehe za kulipa Kodi, ikafika kipindi miezi ikabebana, yani badala ulipe Kodi ya mwezi huu wa pili unaanza kulipa ya mwezi wa 12 kwanza

Halafu tulikuwa tunaishi watu wawili, imagine elfu 5 kwa mwezi (Ksh 5,000) ilikuwa inatushinda watu wawili, hapo wote hatuna kazi ila tulivyopata kazi tukashauriana na jamaa kwamba tuhame kwasababu tukiendelea kukaa hapa itatucost kwasababu tunadaiwa kama miezi mitatu nyuma

Kweli tukahama pale usiku kimya kimya hakuna aliyetuona Uzuri tulikuwa hatuna vitu vingi tulihama na ndudhi (bodaboda[emoji134]) tukahamia nyumba ya mabati

Kingine kilichotuhamisha ni unafuu wa Kodi kule mwanzo tulikuwa tunalipa elfu 5 single room ila nyumba ya matofali fresh gorofani, tulipohamia Kodi ilikuwa elfu mbili mia nane (2,800) pamoja na stima ila nyumba ni ya mabati

Tumekaa kama wiki moja tu makazi mapya tukapoteza tena kazi, tukaona Sasa hapa tumeingia Cha kike, tumehamia sehemu mpya mwenye nyumba hatuna hata mazoea nae tukikosa kulipa Hela ya watu si tutafungiwa nyumba, Uzuri wa kule unajiamulia kulipa Kodi ya mwezi mmoja au 2 au 3

Tukaanza kujua kwanini tulihama kule tulikokuwa tunakaa, tena tumeondoka bila kuaga...Dah acheni nyie

Na hapo sijaelezea msoto wa kutokuwa na makazi maalum (homeless) nishalala sana kwenye makontena, Nairobi flemu zao nyingi za maduka ni makontena, so nishalala sana mule nikawa naombea watu wasije kukodisha ili niendelee kulala humo

Mwisho wa siku Flemu zikachukuliwa nikahamia kwenye Workshop ya kutengeneza furniture aisee mbu walinifaidi sana mule,

Kuna jamaa angu ni muendesha maroli mara nyingi trip zake ni Arusha to Nairobi alikuwa analeta mahindi, Sasa akija huyo jamaa ndio nilikuwa na uhakika wa kulala pazuri, maana gari yake ilikuwa na vitanda viwili ilikuwa ni Scania R420 Cabin kubwa yale yaliopanda hewani

So kama ni movie inabidi ianzie huko ili kuonesha magumu mtu aliyopitia hadi kufika kwenye ahueni ya maisha lakini kwenye ahueni pia kuna changamoto zake,

So unakuna mtu anadili na vichwa ngumu lakini anaplay smart na si kwamba ana akili sana hapana ni kwasababu tu ya background yake anajua alipotoka

All in All namshukuru sana Accountant yani sana sana maana najua yule Mwanamke ndio Mpango mzima sema tu ana miyeyusho yake
 
Huko tuta summarize, la sivyo itakuwa series ndefu, mpango mzima Starring BM,Annie, Accountant, Caryn, Michelle na Mzee…..
 
Hii tuiweke kwenye series movies Mzee itauza sana na itatoa fundisho sana Kwa jamii ya vijana na Changamoto za maisha Kwa ujumla
 
Anie na Accoutant walishaliwa kitambo sana, pengine na Mdhungu MD wa logistics company ameshaliwa ila bado hatujafika uko, tuliza mtori nyama zipo chini mkuu.
Daaa! We jamaa una kichwa kibovu😀😀😀

Nimecheka sana hapo kwa Managing Director
 
Dats true, ila kama mtu anatokea anasema anataka kuihamishia hii story kwenye tamthilia/movie basi itabidi nitulie haswa katika kuchora script

Na Uzuri haitacost bajeti kubwa sana ila pia iwe bajeti ya kueleweka na kuendana na mazingira, Mfano kwenye story Caryn anapust BMW X3 basi kwenye movie atakayeigiza uhusika wa Caryn anatakiwa apush ndinga hiyo hiyo kwasababu kiuhalisia ndio gari ambayo naijua vizuri kwahiyo hata kwenye kuchora script inakuwa rahisi kuielezea

Yani kwa mfano mimi ndio nasema niitolee movie hii Story basi nitapita mule mule kama Nairobi nitaenda Nairobi kweli maana kwenye story nilieleza hadi maisha ya Nairobi ambayo yalikuwa ya msoto

Nikisema msoto mjue ni msoto kweli kweli na sidhani kama kwenye hii story nilihadhithia yote,

Kwa aliyewahi kwenda kutafuta maisha Nairobi (Sio kwenda kuishi, kutafuta) atakuwa anapata picha, Nairobi sio kama Bongo kule ukichelewa kulipa rent/kodi basi usiku ukirudi kwa nyumba ujue kabisa utakutana na Kufuli mbili zimebebana Yani lako na la mwenye nyumba

Nishawahi kufungiwa nyumba kama mara 2, na kuna sehemu nilihamia nilibahatisha mwenye nyumba alikuwa na roho nzuri kiasi kwamba napitisha Hadi tarehe za kulipa Kodi, ikafika kipindi miezi ikabebana, yani badala ulipe Kodi ya mwezi huu wa pili unaanza kulipa ya mwezi wa 12 kwanza

Halafu tulikuwa tunaishi watu wawili, imagine elfu 5 kwa mwezi (Ksh 5,000) ilikuwa inatushinda watu wawili, hapo wote hatuna kazi ila tulivyopata kazi tukashauriana na jamaa kwamba tuhame kwasababu tukiendelea kukaa hapa itatucost kwasababu tunadaiwa kama miezi mitatu nyuma

Kweli tukahama pale usiku kimya kimya hakuna aliyetuona Uzuri tulikuwa hatuna vitu vingi tulihama na ndudhi (bodaboda[emoji134]) tukahamia nyumba ya mabati

Kingine kilichotuhamisha ni unafuu wa Kodi kule mwanzo tulikuwa tunalipa elfu 5 single room ila nyumba ya matofali fresh gorofani, tulipohamia Kodi ilikuwa elfu mbili mia nane (2,800) pamoja na stima ila nyumba ni ya mabati

Tumekaa kama wiki moja tu makazi mapya tukapoteza tena kazi, tukaona Sasa hapa tumeingia Cha kike, tumehamia sehemu mpya mwenye nyumba hatuna hata mazoea nae tukikosa kulipa Hela ya watu si tutafungiwa nyumba, Uzuri wa kule unajiamulia kulipa Kodi ya mwezi mmoja au 2 au 3

Tukaanza kujua kwanini tulihama kule tulikokuwa tunakaa, tena tumeondoka bila kuaga...Dah acheni nyie

Na hapo sijaelezea msoto wa kutokuwa na makazi maalum (homeless) nishalala sana kwenye makontena, Nairobi flemu zao nyingi za maduka ni makontena, so nishalala sana mule nikawa naombea watu wasije kukodisha ili niendelee kulala humo

Mwisho wa siku Flemu zikachukuliwa nikahamia kwenye Workshop ya kutengeneza furniture aisee mbu walinifaidi sana mule,

Kuna jamaa angu ni muendesha maroli mara nyingi trip zake ni Arusha to Nairobi alikuwa analeta mahindi, Sasa akija huyo jamaa ndio nilikuwa na uhakika wa kulala pazuri, maana gari yake ilikuwa na vitanda viwili ilikuwa ni Scania R420 Cabin kubwa yale yaliopanda hewani

So kama ni movie inabidi ianzie huko ili kuonesha magumu mtu aliyopitia hadi kufika kwenye ahueni ya maisha lakini kwenye ahueni pia kuna changamoto zake,

So unakuna mtu anadili na vichwa ngumu lakini anaplay smart na si kwamba ana akili sana hapana ni kwasababu tu ya background yake anajua alipotoka

All in All namshukuru sana Accountant yani sana sana maana najua yule Mwanamke ndio Mpango mzima sema tu ana miyeyusho yake
Duh ebwana eeh kweli msoto umeupitia
 
Kwa haya maelezo yako marefu nimefungua code, wewe Ni mchaga wa Rombo
 
BM salute to you nakukubali.sana baada ya kumaliza kutuhistorishia please toa kitabu cha hii history na itangaze hapa kabisa kwamba kitabu kimetokea i hope wengi tutanunua coz kina mafunzo katika maisha ya kila siku
 
Daah nilihis ni wakishua tu ila elimu ndo imekujenga sikutegemea kama umepitia maisha magum kweny utaftaji
 
Sana mwanangu. Ngoja tutulie,tutaiweka sawa hii kwenye movie. Weka akilini hili BM. Natamani iwe movie hatari. Ikiwezekana tutaongea vingi iwe na series kabisa,mfano ni kuurefusha tu sehemu kama za kuwasaka machaliii. Izoe matuzo kibao huko nje ya mipaka.
Watu wasihofu hapa unaweza ukaimalizia tu ukipenda,sisi movie tutaibadirisha maudhui kiaina.
Na kama hili litakaa sawa wahusika wengi watatoka humu humu. Tukijipanga tutakuwa tunachomoa mmoja mmoja humu kuhusika.
Kidogo upande wa akina Caryn tutahitaji wajitokeze wenye chura ya ukweli na awe kichwa kweli (joking....🤣🤣🤣😜😜...! Upande wa Anie tutamtumia Anie huyu huyu wetu..
 
Back
Top Bottom