shamzugi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 535
- 1,115
Mkuu una roho ya kipekee Sana, uvumilivu ulionao unapaswa hmuheshimiwe Sana. Hongera mkuuSlow down bro, Leo si ndio Pasaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una roho ya kipekee Sana, uvumilivu ulionao unapaswa hmuheshimiwe Sana. Hongera mkuuSlow down bro, Leo si ndio Pasaka?
Aisee na katika Episode ambayo nimeiandika haraka haraka ni hii, Kuna matukio mengi nahisi sijayaandika ila nitayajazia kwenye Episode ijayo baada ya hii ya leoNaona BM unatoka site sasa, script zishachezwa vizuri shusha nondo sasa.Arosto nyingi au ndio upo na Caren!?
Sawa ni ngonjera lakini nafikiri huwezi kunielewa namnaanisha nini. Anyway tubaki kama tulivyo itapendeza sana.Sijamaliza kuisoma ngonjera yako yote, ila kifupi huwezi kuwafananisha wasanii na mleta story humu JF. Wasanii unawalipa japo unawalipa sio kwa njia ya direct kama unayowaza wewe.
Hujajiuliza msaanii anategemea kuimba tu,lakini ana kipato kikubwa?. Unafikiri anakipata wapi hicho kipato kama sio wewe moja kwa moja kuhusika kumlipa?. Au akili yako unawaza anakuimbia wewe nyimbo bure,kipato alichonacho analipwa na MUNGU?
Aisee na katika Episode ambayo nimeiandika haraka haraka ni hii, Kuna matukio mengi nahisi sijayaandika ila nitayajazia kwenye Episode ijayo baada ya hii ya leo
Aiseee tunakoenda ni kutamuuuIlipoishia
Unajua mwanzoni nilijua Michelle anatania tu kumbe yupo serious, na suggestions yake ni kwamba Mimi nihamie kwake halafu Bwana ake achukue nafasi yangu
Michelle: "Kazi ya BM hata *****(Opportunist) anaweza akafanya"
Caryn: "Watu wanaotaka kazi wapo wengi sio lazima hadi awe BM, tafuta mwingine"
Michelle: "Sasa hayo sio mapendekezo yangu, ni Dad ndio amesema niongee na BM"
Caryn: "If so, BM has to make his choice..."
(Ooh sasa nimesha connect doti, kumbe hii ni Idea ya Mzee na pengine hata Michelle hajui kwanini ameambiwa na Mzee anitafute mimi)
Muda huo macho ya Caryn na Michelle yapo kwangu wanasubiria jibu kama nahama Ofisi au nabaki nilipokuwa, kabla sijajibu Caryn akasema
Caryn: "Choose wisely, Remember no one got your back like I do"
Muendelezo
(Episode 20, SEASON 2)
BM: "Binafsi naomba niendelee kufanya kazi hapa hapa"
Baada ya hiyo kauli yangu Caryn alitabasamu lakini kwa Michelle ilikuwa tofauti kwake, aliguna tu na kusema "Mapenzi yana run Dunia"
BM: "Nina sababu za msingi...."
Càryn akanikatisha kwa kusema "BM Wanaume huwa hawajielezeagi sana tena hasa mbele ya Mwanamke"
Sasa majadiliano hayakuendelea sana kwasababu wateja walizidi siku hiyo kuja kuchukua mizigo yao kwasababu walitangaziwa Ofisi ikifungwa siku hiyo ya Alhamisi basi itafunguliwa Jumatano ya wiki inayofuata so kuna baadhi ya wateja walihitaji kuonana na Caryn mwenyewe, Mimi na Michelle ilibidi tuondoke pale ofisini tumpishe Caryn aendelee na majukumu ya kiofisi, Sisi hao tukatoka nje
Michelle: "BM kumbe mbele ya Mwanamke unakuwaga mdhaifu kiasi hiki"
BM: "Kama ni hivyo basi hata kama ningechagua upande wako Caryn pia angekuwa na haki ya kuniambia maneno kama haya kwasababu hata ww pia ni Mwanamke"
Wakati huo tunaongea ndio tulikuwa tunashuka ngazi tunaelekea alikopaki gari, tukafika hadi kwenye gari kabla hajaondoka akampigia simu Opportunist katika maongezi yao walikubaliana jioni wakutane after office hours
Sasa wakati Michelle kaingia kwenye gari namuaga ili niondoke akaniambia niingie kwenye gari ni kama vile ana mazungumzo nyeti anataka tuzungumze, bila hiyana mimi nikaingia ndani ya Gari kumsikiliza, kwa kifupi ni kwamba nilimkubalia jambo lake lakini proposal yake ya kwanza niliikataa
Lakini hata hilo jambo nililomkubalia Michelle lilileta matokeo tofauti kabisa kwangu na kwake mwenyewe Michelle, matokeo ambayo hata sikuyafikiria kama yangekuwa vile yalivyotokea
Moja Ilimuharibia Michelle mwenyewe badala ya kutengeneza kama alivyokuwa akidhania
Mbili Ilinihalibia mimi kwa Caryn
Tatu Niliingia kwenye Bifu zito na Opportunist
All in All hii drama ilivyotokea ilini uplift kwa Mzee akidhani Mimi ndiye niliyekuwa master mind wa mchezo wote kumbe ni Michelle mwenyewe ndiye aliyekuwa Master plan, na nilikubali haraka hii Drama ni kwasababu ya Mzee, kwa kifupi Michelle alinirahisishia kazi bila yeye kujua
Ile siku imefika! Christmas hii hapa, tukala wote kwa Mzee, hii siku tulikubaliana kila mtu anaingia jikoni kupika halafu vyakula vyote vinaletwa mezani vinaliwa, ndicho tulichokuwa tunakipanga Ile siku kule ofisini,
Mimi nilichagua kupika Wali na Njegere, Michelle akasema atapika Kuku wa nazi na Pilau, Caryn yeye akachagua kupika Rosti ya maini na Samaki pamoja na Tambi, Dada wa kazi yeye alikuwa anatuandalia tu vitu
Mimi nilichagua vitu simple (Wali na Njegere) kwasababu hii challenge kama ukiboronga basi Outing ya usiku bills zote ni za kwako, Yani hata kama chumvi haijakolea vizuri hiyo imekula kwako,
Sasa Wakati nimechagua wali Njegere si nilijua natumia tu mafuta sikutaka ku complicate mambo, Wakati naandaliwa vitu na Dada, Caryn asiniletee Nazi halafu sio tu nazi nililetewa viungo kibao vingine sijawahi hata kuviona
Nikaona sasa hii ni mikakati ya kufelishana, nikaweka pembeni maviungo yote nikabakiza Nazi tu lakini nayo haikusaidia, Njegere na Nazi hadi kesho zinanishinda nimepeleka kitu mezani kimekatika, mapema tu nilimaliza kuandaa vyangu nikawa nasubiria kuku wa nazi kutoka kwa Michelle na Samaki wa kupaka kutoka MD Caryn
Kufupisha story ni kwamba Njegere zilinifanya niende kulipia bili ya watu wanne pale Serena Hotel, na huko Serena ndiko tulikofanikisha jambo letu mimi na Michelle, basi tuka have funny tukapiga mapicha then tukarudi nyumbani hii siku nililala kwa Mzee
Asubuhi yake nikiwa nataka kuondoka Caryn akanisubirisha, akaniambia kuna kitu anataka tuongee kabla sijaondoka
Caryn: "BM naweza kuja kuishi kwako kwa muda?"
Nikahisi kama vile sijamuelewa, nikamjibu "Why not" Sasa nisichokijua ni kwamba mwenzangu alikuwa serious na lile swali lake mimi nikalichukulia kama mzaha na kulijibu kimzaha zaidi, kwasababu baada ya hiyo request tukaongea mambo ya ofisini ambayo mimi ndio nilijua ndio sababu ya yeye kunisubirisha
Boxing day nikaenda zangu Yombo kumaalizia sikukuu huko na Sister pamoja na wale madogo, nilikaa kwa sister hadi usiku Wakati nataka kuondoka sister akaniuliza tena
Sister: "Unajua Bado Nina wasiwasi na maamuzi unayotaka kuyachukua kwa Hawa watoto"
BM: "Wasiwasi gani tena?"
Sister: "Kusomesha watoto wawili sio jambo jepesi, Ukiachana na mahitaji ya shule kuna mahitaji ya nyumbani pia, sasa wasiwasi wangu hili jambo lisije likakushinda ukaishia njia"
Kabla sijamjibu simu yangu ikaita na ni Caryn ndiye aliyekuwa akipiga nilivyopokea akaniambia kwamba yupo nyumbani kwangu, ilibidi nikatishe maongezi na Sister ili nielekee nyumbani, baada ya lisaa ivi ndio nikafika kwangu, X3 imepark nje ya nyumba ninayoishi na Caryn alikuwa ndani ya Gari
BM: "Madam uwe unapigaga simu"
Caryn: "Wewe siulisema hautoki leo"
BM: "Nilichange mind"
Basi nikafungua mlango tukaingia ndani, Sasa bhana kumbe Caryn ndio alikuwa amekuja hivyo, I mean amehamia mazima maana Wakati tupo ndani nikamuambia "Caryn badae Wakati unaondoka utanipa lift hadi Supermarket kesho sitaki kutoka kabisa"
Caryn: "nikiondoka nikienda wapi? kwani wewe tuliongea nini"
BM: "Tumeongea mambo mengi, au kukaa huku?"
Caryn: "Yeah"
BM: "Mm nilijua utani! kwani upo serious? sasa huku unaishije bila nguo"
Caryn: "Nimesahau kutoa bag kwenye gari, siumesema unataka kwenda Supermarket ukirudi utanitolea"
Nikachukua funguo ya Gari nikaenda Supermarket Wakati na drive nikaangalia sit za nyuma sikuona begi, unajua hadi muda huo siamini amini, nilivyofika supermarket kabla hata sijaenda kununua nilichotaka kununua nikaenda nyuma ya Gari nikafungua Buti...bwana wee sinikaona begi kweli!
Sasa pale Supermarket nilienda kununua maziwa na mkate tu lakini juu ya ugeni nikachukua mazaga mengine maana kwenye fridge kulikuwa kuna maji tu, nilinunua vitu vya kupika in the future na vya kupika siku hiyo japokuwa mimi nilikuwa nishakula kwa Sister kule
Nikamaliza kununua Kila kitu kinachohitajika wakati narudi nyumbani nikawa nawaza huu ujio wa Caryn kuja kuishi kwangu Mzee atakuwa anajua au hizi movements zimefanywa kimya kimya? nilikuwa najiuliza na niliishia kujiuliza mwenyewe maana nilihisi haitakuwa poa kama nitaanza kumuhoji na maswali ya namna hiyo kwa siku Ile Ile ya kwanza
Nilivyofika nyumbani nikamtolea lile begi ila nikawa sijajua nilipeleke chumba kipi, master au kile ambacho hakitumiki? nikamuuliza
BM: "Utalala huku au nikupishe chumbani kwangu?"
Caryn: "Me nitalala huku BM haina haja ya kunipisha chumbani kwako"
BM: "Sasa hiki chumba si ni kama stoo tu nikilinganisha na kile chumba chako kule kwa Mzee"
Caryn: "Acha zako bhana"
Begi nikaliingiza kule chumba kingine tofauti na changu, Geographia ya hii nyumba Iko hivi Chumba changu ambacho ndio master kinaangalia sebuleni halafu hiki chumba ambacho ndio atakuwa akitumia Caryn chenyewe kinaangaliana na chooni ambapo ukipita mlango wa choo na ukipita mlango wa chumba Cha Caryn ndio unaelekea Chumbani kwangu, halafu ukuta wa chumba Cha Caryn umepakata na sebule na ukuwa wa chooni umepakana na Jikoni
Nilivyomaliza kukiweka sawa kile chumba ambacho atakuwa akilala Caryn nikaelekea jikoni kurekebisha mambo, ndugu zangu mshawahi kupika ukiwa umeshiba? Yani unaona kama vile unapoteza muda, Msosi ukaiva nikala tu kumsindikiza mgeni
Ilivyofika mida ya kulala nikajua huyu lazima aniletee yale mapichapicha yake ya kuogopa kulala mwenyewe, nikaona mtu kaingia chumbani akafunga na mlango bila wasiwasi na Mimi nikaingia chumbani kwangu nikajua muda wowote nagongewa mlango, Kweli nikagongewa mlango lakini ilikuwa ni Asubuhi
Caryn: "Unalala sana BM, amka bhana mimi siwezi kukaa peke angu na wakati mtu upo ndani"
Nikaona haya maigizo yapo katika muendelezo, huyu mtu aliniambia hawezi kulala peke yake hadi tukalala wote Zanzibar lakini jana kalala peke yake humu, na sasa hivi tena ananiambia hawezi kukaa peke yake
BM: "Huyu ni the same person aliyeniambia kwamba hawezi kulala peke yake lakini jana ameweza!"
Caryn: "Nilikuambia siwezi kulala peke yangu ugenini ila kama sina jinsi naweza however hapa sio ugenini"
BM: "Okay, mimi ndio huyu hapa ulikuwa unasemaje?"
Caryn: "Kuna CRDB wakala wa karibu huku?"
BM: "Yeah Barabarani tu hapo"
Caryn: "Nifanyie favor moja basi, naomba kamuingizie Dad pesa kwa Account yake"
Akanipatia kiasi Cha pesa tena kilikuwa kwenye gari Wakati nipo kwa wakala akanipigia simu kuulizia Dawa ya meno nikamuambia ipo Bafuni chumbani kwangu, wakati nimemaliza kumuwekea Mzee pesa nikiwa narudi nyumbani nimeshatoka kwenye lami nimekamata Barabara ya vumbi kuelekea kwangu nikajiuliza mwenyewe nyumbani sasa hivi naenda kufanya nini na nikicheki Dashboard mshale wa wese umelala kwenye 1/1 nikapiga U-Turn halafu nikaweka kindege wazungu wanasema Airplane mode
Nilipiga misele hiyo siku hadi basi, mshale wa wese si ulikuwa kwenye 1/1 Hadi narudi nyumbani mshale ulikuwa katikati ya 0 na 1/2, nikajua kabisa nilioufanya ni utoto ngoja nikapewe vyangu sasa, nimefika nyumbani nikahisi nimekutana na Caryn mwingine maana nilivyofika akaniomba Dawa ya meno, kumbuka niliondoka saa nne asubuhi na nimerudi saa Tisa alasiri
BM: "Dawa si nilikuambia ipo Bafuni kwangu"
Caryn: "Kwahiyo ulitegemea mimi niingie kwako bila idhini yako?"
BM: "Sitaki kuamini kama ulikuwa unasubiria ruhusa yangu ndio uingie chumbani kwangu"
Caryn: "Niletee hiyo Dawa bwanä"
Nikamletea Dawa na wala hakuniuliza natoka wapi na kufanya nini, nilitegemea hayo maswali kwasababu muda wote huo nilikuwa na gari yake, basi maisha yakaendelea
Usiku wa kuamkia Mwaka mpya nilikuwa kwa kina Caryn, Mzee alirejea mjini tarehe 29, so ule mkesha wa mwaka mpya tulikuwa wote nyumbani kwake, Wakati tumebaki wenyewe wawili Mzee akaniuliza
Mzee: "Nimesikia Caryn ni jirani yako"
BM: "Ndio Mzee"
Mzee: "Unajua nimewaambia yeye na Michelle wakakae kwenye zile apartments kule masaki nahisi yeye hakupenda"
Hapa Caryn alipindisha maelezo kidogo, Mzee anajua sisi ni majirani tu kumbe ni zaidi ya majirani, ujirani wetu ni wa vyumba sio wa nyumba japokuwa hiyo ndio ilikuwa original plan ya Caryn yani achukue nyumba yake pale ninapoishi lakini naona alibadili plan ila kitu kilichokuwa kinaniumiza kichwa najua ipo siku moja Mzee atataka kwenda kwa Caryn kumtembelea kama sio Mzee basi hata Bi Mkubwa, je hiyo siku ikifika itakuaje?
Baada ya kuukaribisha Mwaka mpya kwa Mzee siku ya pili ya Mwaka mpya tukaenda kupata Lunch Johari Lotana lakini hii ilikuwa kiofisi zaidi, tulienda wafanyakazi wote wa *** Express Air Cargo, wote tulifika pale saa 1😛M japokuwa bufee ya pale huwa inaanza saa 12😛M na bufee inatolewa ifikapo saa 3😛M
Kwa pesa tuliyolipia pale ilikuwa inaturuhusu kula kuanzia Buffet inapofunguliwa hadi bufee inapofungwa, Yani unaruhusiwa kuongeza unavyotaka ilimradi tu usibebe, Sasa unajua ukishapiga menu ni lazima ushushie na Maji, Kuna staff mmoja aliitisha Maji kama vile aliyaweka, watu hawakumuelewa yule muhudumu ilibidi Meneja aitwe, Manager kufika akatuambia kwa Package tuliyolipia haina Maji bali ni juice pekee
Watu wakasema sio kesi tupatieni hata ya kuuza, zililetwa chupa za 500ml za Kilimanjaro chupa moja 5k, watu kwanini wasizirudishe (watu ni wachumi) Accountant akavimba nayo ya kwake, Caryn akatoa oda kwamba watu wachukue Maji yeye atalipia, na tulikuwa zaidi ya watu 20 kama sikosei
Ilivyofika saa 3pm bufee ilivyofungwa na sisi hatukuwa na la ziada kila mtu akashika njia yake, Mimi na Caryn njia ni moja, hii siku Annie alipiga simu vibaya mno halafu mimi ndiye niliyekuwa naendesha Gari, simu iliita sana hadi nilihisi kama kutakuwa na tatizo maana haikuwa kawaida kupiga simu vile na mimi sikutaka kuipokea mbele ya Caryn
Sasa Ile hali ya simu kuita mara kwa mara Caryn ikawa kama inam distract, akanambia "BM kama unaogopa ku lose concentration use hands-free please, the person will keep calling if you don't pick"
Nikamuitikia tu lakini moyoni nikajisemea nikiweka loudspeaker si ndio itakuwa worse zaidi hata hivyo Caryn hakujua ni nani ananipigia kwasababu simu ilikuwa upande wangu kwenye mlango wa dereva
Tulivyofika nyumbani nikasahau kumrudia Annie kwenye simu na nilipanga nikifika tu nimcheki, Caryn alifikia kulala akaamka jioni jioni kwenye saa moja kasoro hivi
Caryn: "BM, I'm starving"
BM: "Si umpigie Boda akuletee chips [emoji489]"
Caryn: "I don't have money for all these fast foods......and If we continue like this we're just gonna go broke"
BM: "Chips za elfu 2 zikutie umasikini kweli! na wakati Rotana umetumia zaidi ya laki 9 kwa mlo wa mchana tu"
Caryn: "My point is....we should be having home-cooked food going forward"
BM: "Hakuna mtu amepinga point yako, wewe kama unataka kupika, pika"
Caryn: "Kwahiyo BM hakuna siku unaweza nisaidia? tangu nimekuja ni mm tu ndio naingia jikoni"
Nikaona mambo yasiwe mengi nikaingia Kitchen kukorofisha mambo lakini nikiwa nimejam, hizi mambo za kupikishana out of mood sitakagi, Annie mwenyewe hajawahi kunipikisha hivi labda hadi niamue mwenyewe nadhani hata yeye alinote kitu kwamba sijapenda ila sasa Caryn alivyo huwa hajali ilimradi japo lake liende, nikaweka msosi kwenye zuria tukaanza kula, no story, katikati ya ligi akaanzisha story kwa njia ya kuni-compliment
Caryn: "This is an excellent culinary endeavor, like you're way better than me in the kitchen"
BM: "Kama ni hivyo msingepoteza laki nne zangu kasoro Serena"
Caryn: "Aah we nae! laki nne ndio unalia hadi Leo"
Tulivyomaliza kula Nikatoka nje ili niongee na Annie, nikampigia Ukiachana na malalamiko ya kutokupokea simu yake akanipa taarifa ya kwamba katikati ya mfungo wa kwaresma atakuja Dar na kula Pasaka then After Pasaka anarudi Mwanza, so alikuwa excited kupokea hiyo taarifa ofisini kwao ndio maana akanibless na zile repeated calls zake akitaka kunipa hiyo good news bila kujua kwamba kwangu ni Bad news
Nikarudi Ndani nikiwaza Ile taarifa aliyonipa Annie unajua siku hazigandi, kesho kutwa tu hapa kwaresma inaanza ,Sasa Caryn alivyoniona ghafla nimekuwa na mawazo akanambia
Caryn: "BM Unajua hapa ni kwako, haina haja ya kujibana unaweza kuongea na simu mahala popote"
BM: "Kwanini unasema hivyo?"
Caryn: "Nakuona simu zako sio za uhuru, ukitaka kupokea ni lazima utoke nje"
BM: "Halafu huyu niliyetoka kuongea nae huwezi amini ni mwenye nyumba"
Caryn: "Kodi imeisha au?"
BM: "Hapana, siunajua hita ya Bafuni kwangu haifanyi kazi so nilikuwa nampa taarifa"
Caryn: "Ooh ila kama ni kodi sema....si ulisema umelipa ya 6 months? nitakupa pesa uongeze miezi mingine sita"
Hivyo niwe nimelipia kodi ya Mwaka, So nikichukua hiyo pesa ya Caryn na yeye anakuwa na haki zote za nyumba hii kama nilizokuwa nazo Mimi, Yani kama ni kwenye Kampuni kanunua shares za 50% Kwa maana hiyo Càryn ndio amefika yani sio wa leo sio wa kesho
Itaendelea
Pasaka imefika kiutani utani kweli yani [emoji28][emoji28]Finally maana tangu Mwaka jana nilikuwa nikishusha episode halafu watu wakiulizia muendelezo ulikuwa una waambia "Muendelezo hadi Pasaka"[emoji23]
Hivi ni kwamba wanaume huko dar hamna genye au inakuwaje? mbona kama sikuelewi kabisa.Ilipoishia

Huu mshangao na mm nimo [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ni kwamba wanaume huko dar hamna genye au inakuwaje? mbona kama sikuelewi kabisa.
Noma sana umetimiza ahadi mkuuIlipoishia

HakikaBinadamu tupo tofauti, utofauti wako ndio ubora wako na kwa mwenzako, so inabidi umuelewe mwenzako