Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo challenge inawezekana hata mkaenda restaurant kama Kfc au Pizza hut sio lazima hotelini
Aiseeh huku utapakaziwa kila jina kwamba "jongoo hapandi mtungi"Wanawake wa mikoani hawana Nongwa na vishimo vyao sio? if so Itabidi nihamie Mkoani
Idd je?. Mfungo karibia unafikia tamatiEpisode nyingine mpaka Sabasaba
Baada ya hapo itafuatia episode nyingine siku ya nane nane
Malizie kabisa kenge nyie....![emoji28][emoji28][emoji28]Stori ndio imeishia hapa, Haina muendelezo. Pambaneni na hali zenu.
Labda itakuwepo mbele ya safari, huwezi juaBM X6 kongole kwa kutupunguzia arosto, ila katika episode hii baada ya kuona caryn amehamia mjengoni akili yangu ikahamia kwenye "KULA TUNDA KIMASIHARA", Hivyo nimesoma haraka haraka mkuku mkuku kidogo nijikwae, nikitaraji kukutana na hiyo scene lakini nimetoka kappa!
Nasemajeee, kukosekana kwa hiyo scene arosto ndio imezidi. [emoji2817]
KwambaLabda itakuwepo mbele ya safari, huwezi jua
Time fliesAhahah, halafu hiyo Sabasaba huu Uzi ndio utakuwa umefikisha Mwaka
Episode 01 SEASON 1 posted 6/7/2022
Labdaa atatufikiriaIdd je?. Mfungo karibia unafikia tamati
Ahahah, halafu hiyo Sabasaba huu Uzi ndio utakuwa umefikisha Mwaka
Episode 01 SEASON 1 posted 6/7/2022
Sahau maana nnavyoona anakula maisha tuBmx ulianza kuleta habari hii kwa kutuom a tukupe ushauri hivyo basi maliza story yote haraka kusudi tuone na tutafakari namna ya kukuoa ushauri
Masimulizi ni true story hivyo inamlazimu BM X6 muda wa kukusanya matokeo, kuandaa hadithi, kuihariri na kuturushiaLazima aambiwe ukweli bhana ili ajue, mbona wasanii huwa tunawadai nyimbo Sisi mashabiki? Unadhani huwa tunawalipa kutupa huduma ya muziki?
La huwa hatuwalipi lakini mwisho wa siku huwa tunawadai na wanajitetea kwetu kwa kutupa kile tukitakacho.
Mfano mzuri ni Alikiba. Alikiba aliwahi kuwa kimya Kwa kipindi kirefu kiasi hadi mashabiki wakawaka na hatimae akaja na mangoma ya kila aina na moja ya ngoma ya kwanza kuachia ilikuwa inaitwa 'Mwana Dare es Salaam' kisha zingine zilifuata. Unadhani mashabi tungekaa kimya angesanuka? La hasha asingesanuka mwishowe pengine angepotea.
Ukiwa msanii wa Sanaa yoyote na ukiwa chumbani kwako hujafahamika mathalani, wewe hudaiwi na mtu. Lakini ukatoka nje kwenye hadhira nayo hadhira ikakukubali, basi lazima udaiwe tu. Hii ndio maana halisi ya huyu msanii wetu bwana BM.
Bwana BM tayari yupo nje na hadhira inamtazama, ameifanyia uraibu mkubwa hadhira hiyo na hainabudi kumdai kazi yake aliyoianzisha.
Vuta taswira Hayati Mh.Mkapa angefariki bila kumalizia hadithi ya Maisha yake aliyoisimulia kitabuni unadhani tungemuelewa? La hasha asiingeeleweka ila kwavile aliimaliza basi hamna deni.
Hivyo basi huyu bwana BM inampasa kuituliza hadhira hii kwa uraibu mkubwa iliyonao.
Atusimulie amalize. Aweke vipande hata vinne ili akiondoka hata wiki mbili kusiwe na shida, lakini eti tu kipande kimoja halafu anatokomea karibu majuma mawili aaa siyo sawa kabisa.
MmmmhMasimulizi ni true story hivyo inamlazimu BM X6 muda wa kukusanya matokeo, kuandaa hadithi, kuihariri na kuturushia