Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Kwa hyo Mkuu wewe unakubaliana na mr Hossam au unampinga kwa asilimia mia[emoji3][emoji3]
Sijajua huyo amesema nini. Mimi nlikuwa natoa maoni kuwa hawa vijana siku hizi wanapaka wanja, poda, lipstic wameshaharibika. Wanawake wanazidi kuwa wengi
 
Uko sahihi. Si unaona kijana wetu feki anavyofurahia hadi kulipiwa pango. Siyo muda na ch.pi atamfulia huyo dada.

Generally, hii ni simulizi ya uongo uongo wa kijinga na inahamasisha kulelewa sana. Mara oohh Bata Mwanza mara Jeep mara sijui ujinga upi.

Mimi huwa nikikosa cha kusoma ndiyo nasoma hili liujinga. Hapa nimemaliza kule intelligence sina cha kusoma so nafanya vurugu humu kwa huyu mtu na kijana mwenzie wa buguruni na hatma yao.

Ona anavyojisahau uongo, demu wake yuko Mwanza, huyu kijana alikwenda Mwanza ila ajabu akakosa dakika mbili tu kumuona na kujinyoosha. Kadharika, eti Zenji alale room moja na binti halafu linakuja hapa kusema bila bila. Eti tena binti kahamia kwake kitambo and nothing is happening. Anatengeneza tension ili pindi kelele zikizidi aanze kusema halipwi kama vipi tujiunge whatsapp group kwa certain fee.

Wengi walikuja humu na hayo yalifanyika na yanafanyika hata sasa, awe muwazi tu siyo mara msala mara a day to remember upuuzi tu.
Mods tuondoleeni hii takataka inaspam uzi wetu.... Kila mtu areport hii Kenge.
 
Duuh nimefungua nakutana na micomment kibao nikajua leo BM kashusha episodes hata tatu hivyo Watu wamefurahi wanampongeza, kumbe ni mpumbavu mmoja anajitukanisha utadhani ameibiwa mume, nigga get a life
Dah, hata mimi nilitoka nikajua kikao kitakuwa kimeisha muda ule nilio logout Jf, kumbe nyuma kikao kiliendelea, anyway napata msosi nikimaliza muendelezo utakuwa mezani
 
Ilipoishia

Baada ya Mzee kumaliza kunielezea kilichokuwa kinaendelea nyuma ya Pazia bila Mimi kujua Mzee akaniuliza swali

Mzee: "Nakumbuka ushawahi kuniambia kama una mchumba, na hiki ndio kipindi kizuri Cha kuishi nae ili mjuane vizuri kitabia lakini badala yake unaishi na Caryn, Kwani wewe na Caryn mna mpango gani?"

Hili swali ni muendelezo wa yale maswali ya Mzee ambayo anakuuliza ili kujua akili yako inapoishia na uwezo wako wa kufikiria, ila safari hii hajaniachia gepu la kumjibu, Wakati nataka kumjibu akaniambia kitu ambacho hadi kesho nakitafakari lakini nakosa majibu

Mzee: "Unajua...ngoja nikuambie kitu kijana wangu, kwenye huu ulimwengu ukitambua wenye manufaa maishani mwako usiwape umuhimu, hawatakuumiza*. Wenye umuhimu maishani mwako usiwafanye wenye manufaa, Utaumia"

Muendelezo

(Episode 25, SEASON 2)

Mzee alijua kabisa sijamuelewa akanifafanulia kwa uchache, akaniambia kwamba Mwenye manufaa ni yule anayetumiwa kwa muda kama gari, Gari sio muhimu lina manufaa unatumia kwa muda then unalipark, Watu wengi maishani tuna manufaa tuna tumiwa kwa muda, wachache ndio wana umuhimu

Mzee: "Ngoja nikupe mfano mmoja ambao Utanielewa zaidi....unakumbuka kuna kipindi uliacha kazi pasipo mimi kufahamu"

BM: "Ndio, nakumbuka"

Mzee: "Kabla hujaacha kazi nilikuweka kwenye kundi la watu wangu muhimu, na niliumia sana nilivyosikia umeacha kazi, mbaya zaidi hata hukuni taarifu, kile kitendo kilinifanya nikupunguze kwenye list ya watu wenye umuhimu kwangu"

Mzee anadai kuacha kazi kwangu haikuwa tatizo ila ni namna nilivyoacha kazi ndio ilimtatiza, na ndio maana yeye kama yeye (Mzee) hakujisumbua kunitaka mimi nirudi kazini

Kwa Bahati mbaya Mzee hakujua ni nini kilikuwa nyuma ya Pazia hadi kupelekea mimi kuacha kazi, na sikutaka kumuelezea ilinibidi nizipokee lawama

Hata hakukaa sana by 12😛M Mzee alisepa, Mimi nikabaki zangu mjengoni, akili ilivyotulia mchana mchana hivi nikamalizia kuandaa Muendelezo wa story hii Hatma ya maisha ya ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni na nikaipost, Muda ule wakati napost muendelezo humu ndio nilikuwa njiani naelekea kwa Michelle ambako Caryn nae alikuwa huko

Speaking of Kijana wa Buguruni, Mzee pia alimuulizia, ila sikupata bahati ya kumuelezea sana kwa uchache wa muda aliokuwa nao, ila kwa kifupi Kijana wa Buguruni amezingua Big time, yani pakubwa mno

Tuachane na Kijana hiyo ni story ya siku nyingine, basi mimi nikafika kwa Michelle nikamkuta na mdogo wake, kwa muda ule tulipiga story za kawaida sikutaka kumuambia Caryn kilichojiri, badae usiku tulivyorudi nyumbani, kwanza nilikuwa off mood wakati tupo sitting room Caryn akaniuliza

Caryn: "Hey, mbona sikuelewi?"

BM: "Hunielewi nini?"

Caryn: "Nakuona tu upo upo, what's the matter?"

BM: "I'm just tired"

Caryn: "You don't look tired either, you look sad and troubled"

BM: "Mimi niko sawa mbona"

Caryn: "I'm judging from the look on your face"

Nikawa nawaza namna ya kumuelezea Caryn, sikujua hata naanzia wapi ila nikajikuta tu namuambia

BM: "Caryn Mzee amejua kama unaishi hapa na kwa namna alivyoongea hakupenda kabisa"

Caryn: "So we umeamuaje?"

BM: "Kuamua nini?"

Caryn: "I mean, natakiwa kuondoka?"

BM: "Hilo sasa ni juu yako lakini mimi sijakufukuza"

Caryn: "BM hapa ni kwako nataka kujua msimamo wako, kuhusu Baba hilo niachie Mimi

BM: "Msimamo wangu wa mwanzo kuukaribisha hapa na wa sasa hauna tofauti, all in all ni kwamba Mzee hana tatizo wewe kukaa hapa, alichokasirika ni kwamba hujampa taarifa lakini mwisho wa siku mimi ndio nimeivaa kesi hadi nafikia hatua ya kumdanganya"

Caryn: "You know, Friendship is all about having each other's backs, sometimes we tell the most ridiculous lies to save our friends from trouble"

BM: "Just know if things goes south i have a lot to lose"

...Wiki moja badae, siku chache kabla ya sikukuu ya Eid, Safari ya Mchina kuelekea China ilifika, hakwenda mwenyewe alienda na Mzee, niliwasindikiza hadi Airport, Mchina hakuamini, baadhi ya vitu vyake alinipa vingine aliuza, kama Ile Tv alioiweka Bondi nilimpa pesa akaenda kuikomboa akainipa, jamaa ndio kama hivyo sasa hivi unavyosoma hii story Mchina yupo China deal lake lilitiki[emoji3514] na kaanza kufanya kazi Lakini Bado hajakabidhiwa Ofisi rasmi.

Chakusikitisha ni kwamba jamaa alivyoondoka tu, siku chache badae nikapata majanga, hadi nikatamani Mimi ndio ningekuwa nimesafiri pengine ningepishana na lile tatizo

Ilikuwa hivi, nilifuata mizigo kama kawaida visiwani Zanzibar nikiwa na bwana Opportunist, tumeenda tukageuza fresh, Wakati nimeufikisha mzigo kwa wenyewe (kampuni flani) maana ulikuwa sio mzigo wa kwenda ofisini kwetu

Wakati tunakabidhiana tukagundua kuna box halipo, tukahakiki tena lile box, halipo! tukirudi kwenye parking list batch namba flani tunaona kwamba mzigo ulipakiwa na mimi niliutiki kwamba nimepokea Box namba xxx, lakini kwenye makabidhiano pale halionekani, hio inamaanisha kwamba mzigo umepotelea mikononi mwangu, kuangalia kwenye document aina ya mzigo wenyewe ni Computer za gari kubwa na Starter

Nilitoka pale nikaanza kuufuatilia mzigo nikarudi Bandarini hola! nikaenda hadi Zanzibar napo ni bila bila, namuuliza Opportunist nae haelewi kitu, nikarudi kule kwenye Ile Kampuni jamaa wanachotaka wao ni mzigo wao, mbaya zaidi wanadai walishampigia mteja wa huo mzigo na kumjulisha kuwa mzigo wake umefika

Nilirudi ofisini, nikaenda kwa Caryn nikamuelezea msala uliotokea, Sasa Caryn nilivyomuambia nimepoteza Spares za watu natakiwa kulipa akachukulia simple sijui alijua ni Bolt [emoji374] ndio imepotea, maana aliniambia "Si uwalipe mambo yaishe"

Nikamuambia spares zilizopotea thamani yake ni milioni 10, kusikia 10m akaweka simu chini kwanza "Wow! wow! ebu rewind hii story ni kama nilikuwa sija pay attention"

Nikamuelewesha ilivyokuwa nilivyomaliza akaniambia nimuite Opportunist, jamaa akaja Caryn akamchukua maelezo mwisho wa siku Caryn akasema hakuna namna nyingine zaidi ya kuulipa mzigo wa watu, lakini Cha kushangaza sasa Opportunist akakataa kuingizwa kwenye hilo deni, na cha kushangaza zaidi Caryn hakutaka kuingilia kati hilo swala, sana sana alisema tu Mimi (BM) nihakikishe hiyo pesa ya wenyewe inalipwa kwasababu mimi ndiye niliyekuwa na dhamana na mizigo ya watu

Kila mtu alijua Ile issue pale ofisini, wakaanza kunichangia, Accountant akaniita akanambia

Accountant: "Pole, hukuniambia lakini najua kilichokusibu"

Sikuamini Accountant alinirushia milioni 1 akaniambia nikikaa sawa nimrudishie laki 5, nilimpigia simu Annie nae akanirushia kifupi kila mtu wangu wa karibu alinichangia wengine walinikopesha ili mradi tu ni solve Ile issue, hadi inafika usiku tupo nyumbani nilikuwa nimekisanya kiasi kadhaa,

Muda huo Caryn hakunipa hata shilingi kumi, akaniuliza nimefikisha bei gani, nikamuambia kiasi nilichokuwa nacho.

BM: "Kweli nimeamini kwenye matatizo ndio utamjua rafiki wa kweli"

Caryn: "Dah na wewe kumbe ni miongoni mwa watu wanaotumia matatizo yao kama kigezo cha kupima upendo kwa watu wao wakaribu"

BM: "Hivi ni kwanini naumiza kichwa mwenyewe kwenye hili swala, Opportunist anatakiwa kuwajibika lakini naona umemnyamazia"

Caryn: "Sasa unataka Mimi nifanyaje? wewe unajua utaratibu upoje unataka kunilaumu bure, Opportunist yeye ni kama anakusindikiza tu kwenda Zanzibar lakini Kila Kitu kipo chini yako, so kama unaona Opportunist ndio anakosa katika hili wewe ndio unatakiwa kumuwajibisha"

Majibu yamekaa kisiasa sikuridhika nayo lakini kwa nje nilioneshwa kuridhishwa, kwa Wakati huo Caryn alikuwa hana pesa kabisa katika kipindi ambacho Caryn alifulia ni hiki, sijawahi kumuona akiishiwa hivi lakini pamoja na kuishiwa Bado akanipa milioni moja alichukua kutoka kwa Mama yake, hii pesa aliinipa kesho yake ambayo ni A day to remember

ANOTHER DAY TO REMEMBER

Siku ilianza vizuri tu, baada ya kujiandaa tulielekea ofisini, tumefika ofisini badae kidogo Caryn aliniambia kashawekewa pesa na Mama yake akanipatia bila ya kupoteza muda nikaelekea kule kwenye Ile Kampuni niliyopoteza mzigo wao.

Tukamalizana vizuri tu wakati narudi nikiwa najua mambo nishayaweka sawa kilichobaki upande wangu ni kuwalipa walionikopa ambapo kwangu halikuwa swala la stress, Stress kubwa ilikuwa ni kwa wale jamaa maana kwa namna walivyo react utadhani ndio mara ya kwanza kufanya nao kazi

Sasa nilivyofika ofisini nikaelekea kwa Caryn kumpatia feedback hata sikutaka kukaa lakini Caryn akaniambia nikae, baada ya kumaliza kumueleza ya upande wangu akaniambia

Caryn: "Kwa kukutakia mema wewe pamoja na Kampuni BM itabidi uache kazi kwa muda tuangalie hali itakavyokuwa"

BM: "Sijakuelewa, hali gani hiyo unazungumzia? kwani kuna shida gani tena?

Caryn: "Kichwa changu hakipo sawa BM Kwasababu ya jambo hili hili, naomba niache tutaongea badae nyumbani"

Aysee nilitoka mule ndani nikatafuta sehemu nikakaa kama lisaa lizima nikitafakari ni kitu gani hiki kinanitokea, nilihisi Dunia inazunguka Opposite side, Work done is equal to zero, Yani pamoja na kulipambania hili swala na kazi yenyewe nimekosa vile vile

Nilijikuta nimekuja humu na kuandika ANOTHER DAY TO REMEMBER niliondoka ofisini nakumbuka hii ndio Ile siku Prezida Kagame alikuja Bongo maana nilistuck kwenye foreni hadi nikatamani nipae nijikute home

Badae jioni Caryn alivyorudi ndio akanichana, anadai wakati anaenda kukabidhiwa Ofisi aliambiwa na Mzee katika wateja ambao hatakiwi kuwapoteza basi ni pamoja na Ile Kampuni ambayo mimi nimepoteza mzigo wao.

To be honesty Ile Kampuni ndio inatupa tani za kutosha kiasi kwamba hata tusipokuwa na hawa wateja individuals tutaendelea ku survive kama kawaida

Sasa bhana kumbe mzigo niliopoteza ulitakiwa kuja mapema, kama wiki moja nyuma lakini kule China sijui walijikoroga wapi katika ku priorities mizigo inayotakiwa kuanza kusafirishwa,

Hii Kampuni inatutumia tu sisi kusafirisha mizigo yao na tukishawafikishia Bongo na wao ndio wanai deliver kwa wateja wao, kusema ukweli sioni kazi kubwa wanayoifañya wao naona tu wamesimama kama ma-broker, kwasababu huyu mtu anayeagiza bidhaa kupitia hii Kampuni ana gharamika parefu kuliko yule ambaye ana supplier China halafu anakuja kwetu direct kwaajili ya usafirishaji tu

Sasa kilichotokea mzigo ulichelewa kuja ikabidi na wao (Kampuni) ianze kumpiga sound mteja wao kwasababu walishamu update kwamba mzigo utafika siku fulani,

According to that Kampuni huyo mteja kwao ni muhimu sana, mizigo yake mingi huwa ni vyuma kama ma crankshaft, na mnajua mavyuma yanavyokuwa mazito, mzigo unavyokuwa mzito ndivyo unavyozidi kupiga hela

Siku hazigandi mzigo ukatua Bongo, lakini kwasababu mzigo ulikuwa na kimavi tangu upo china na wenyewe haujapotea tangu huko ulipotoka ukaja kupotelea mikononi mwangu, mtiti ukaanzia hapa,

Ile Kampuni haikunipa tu lawama ya mzigo kupotea! wakanipa na lawama za mzigo kucheleweshwa utadhani Mimi ndio nipo China kwamba nina uwezo wa kupanga mzigo gani utangulie na upi ufuatie

Mwisho wa siku Kampuni ikataka mtu mwingine wa kutoa mizigo yao, nisiwe mimi tena au kama haiwezekani watafute Kampuni nyingine ya kufanya nao kazi

Caryn: "If we lose those guys (Kampuni) it will take a miracle to get them back here"

BM: "Kwa maana hiyo mimi hapa ndio nimefutwa kazi"

Caryn: "Hapana, bado sijafanya maamuzi, after Monday (Mei mosi) natakiwa niwe nishajua kama nabaki na wewe (BM) au client (Kampuni)...sijui nafanyaje, labda nikuulize If you were me maamuzi yako yangekuwa ni yapi BM?"

Itaendelea
 
Shukrani sana mkuu nabishana hapa Kuhusu Madrid na Man City, Tukishampiga Man City nitapita hapa kamanda wangu
 
Tupe nyingine
 
Ongea na Mzee/Caryn uende China kisha jamaa wa china arudi bongo( mbadilishane nafasi)

Au ikishindikana nenda China hata kwa kujitolea(bila mshahara) mambo yatakaa sawa mbele kwa mbele,
maana inaonesha kwasasa kampuni imekuwa kama zigo la misumari hata ujitahidi vipi halibebeki.
 
Umejua kutufurahisha.

Yaani sisi wote tumeenda nje ya betting yetu mkuu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Kikubwa tusaidie tu na ka episode walau kamoja hivi ka kujua maamuzi ya Caryn ni yapi baada ya Mei mosi kama hautojali.
 
Hiyo Episode si itakuwa na mistari miwili tu mkuu, ila kazini sipo
 
Back
Top Bottom