Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi Annie alivyokusapot kipindi kile alionesha mapenzi ya moyoni kwako sidhani kama itafaa kumuacha labda labda labda yeye mwenyewe abadilike Bm baki na Annie japo sijaona baya lolote kwa boss Caryn.Jamani punguzeni hisia katika kupiga kura maana mnazidi kunipa Wakati mgumu
Eniwei, Vote counted to Annie
Wewe konyo sana🤣🤣🤣Akubali kupelekwa vile Familia inataka....akiambiwa kaa nyumbani anakaa njoo kazini huyooo anaenda [emoji3][emoji3]
Namshauri atumie akili sana hapa la sivyo atarudi na uzi mpya hatima ya maisha yangu ipo mikononi mwa careen[emoji2]
Wote hawana baya Warembo wangu, lakini naona Annie anabebwa na huruma za wadau huku Caryn kura pekee ndio zinambeba japo mchakato Bado unaendeleaKwa jinsi Annie alivyokusapot kipindi kile alionesha mapenzi ya moyoni kwako sidhani kama itafaa kumuacha labda labda labda yeye mwenyewe abadilike Bm baki na Annie japo sijaona baya lolote kwa boss Caryn.
I am going with AnnieZoezi la kupiga kura linaendelea Annie Vs Caryn
Zoezi litachukua muda mrefu kidogo ili kuwapa watu wengi nafasi ya kushiriki
Zoezi litafungwa tarehe 31 na matokeo nitayaweka hapa hapa
Tarehe 1 mwezi wa 6 nitakuja na Summary muhimu ambayo itagusa mwanzo wa Story hadi hapa nilipofikia
Baada ya hapo mtanikosa JF kwa muda kidogo kwasababu ya Ugeni mzito
Matokeo hadi sasa yanasoma[emoji1484]
Annie 7
Caryn 11
Lakini BM X6 acha nikuchane kiume.Zoezi la kupiga kura linaendelea Annie Vs Caryn
Zoezi litachukua muda mrefu kidogo ili kuwapa watu wengi nafasi ya kushiriki
Zoezi litafungwa tarehe 31 na matokeo nitayaweka hapa hapa
Tarehe 1 mwezi wa 6 nitakuja na Summary muhimu ambayo itagusa mwanzo wa Story hadi hapa nilipofikia
Baada ya hapo mtanikosa JF kwa muda kidogo kwasababu ya Ugeni mzito
Matokeo hadi sasa yanasoma[emoji1484]
Annie 7
Caryn 11
Satan huwagombanisha😂😂Annie naye huko alipo yupo njia panda. Kati yako au yeye kuna mmoja atachomoa battery kabla ya mwenzie. Halafu lawama atampelekea mwingine kama sababu. Kwo hapo kila mtu anamvizia mwenzie bila kujua.
Caryn nae mtapendana mwanzoni. Mkija kukorofishana itakuwa kama mafahari wawili wakaao zizi moja. Tabia ya mtu ni kama ngozi. mapenzi ya mwanzo huwa matamu na huficha vingi.
Ridhki yako ipo kwa accountant.
Hesabu kura yangu imeharibika.
Hahaha tusi lako limenipa pointWewe konyo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume sometimes mnazinguaga Sanaa.Zoezi la kupiga kura linaendelea Annie Vs Caryn
Zoezi litachukua muda mrefu kidogo ili kuwapa watu wengi nafasi ya kushiriki
Zoezi litafungwa tarehe 31 na matokeo nitayaweka hapa hapa
Tarehe 1 mwezi wa 6 nitakuja na Summary muhimu ambayo itagusa mwanzo wa Story hadi hapa nilipofikia
Baada ya hapo mtanikosa JF kwa muda kidogo kwasababu ya Ugeni mzito
Matokeo hadi sasa yanasoma[emoji1484]
Annie 7
Caryn 11
Blaza kuna situation inaweza kukuface na usijue maamuzi sahihi ya kufanyaLakini BM X6 acha nikuchane kiume.
Qewe ni mwanaume huwezi kufanya maamuzi ya mpenzi wako kupitia utashi wa watu, ndg au hata marafiki.
Vinginevyo hapa umeamua kuchangamaha genge, vinginevyo nitakuvua ngao[emoji23][emoji23]
Dah! Spoiled BallotAnnie naye huko alipo yupo njia panda. Kati yako au yeye kuna mmoja atachomoa battery kabla ya mwenzie. Halafu lawama atampelekea mwingine kama sababu. Kwo hapo kila mtu anamvizia mwenzie bila kujua.
Caryn nae mtapendana mwanzoni. Mkija kukorofishana itakuwa kama mafahari wawili wakaao zizi moja. Tabia ya mtu ni kama ngozi. mapenzi ya mwanzo huwa matamu na huficha vingi.
Ridhki yako ipo kwa accountant.
Hesabu kura yangu imeharibika.
Blazee! umenifokea sana, ila ni sawa tuWanaume sometimes mnazinguaga Sanaa.
Umeanza na Annie tangu zamani, Leo hii kisa mjinga m1,1 unataka kumtosa.
Nakuambia, hakuna mapenzi kwako kwa Caryn ni nyege tu na vile kukaa pamoja na zaidi ndiyo mtu unayeshinda naye muda mrefu.
Watu humu watamtaka Caryn cox wengi wanapenda mserereko watataka kisa ni mtoto wa kishua,lakini kumbuka kama uliachana na accountant huwezi muweka mbali Caryn?
Mwisho kabisa, mwanaume siku zote yupo juu hapendi kuwa chini
Mwanamke unayetakiwa kuwa naye ni yule ambaye atakuwa loyal kwako
Aniie yupo royal sana kwako.
Caryn mtashindwana tu.
Dada angu unampambania sana Annie, na kama akifanikiwa kurudi Headquarter nita mention jina lako kwake hata kama hakujuiHahaha tusi lako limenipa point
Katika vitu sipendi ktk mahusiano ni kuwa option ikitokea mwanaume yupo kwenye nafasi ya kuchagua kati ya mimi au mwingine bora aende tu kwa mwingine..sipendi kuwa option
Huyu BM anaonekana anaijua kazi yupo na experience ya kutosha kiasi kwamba anaweza kuwa ana kampuni yake na ikafanya vizuri tu...ila sasa kama hajajifunza kwa hili basi tena
Hz kazi za watu hutufundisha kuwa no matter how good you are you can be replaced anytime
Halafu seems wanawake wanakupeleka puta enhe maana mara ya kwanza accountant na mamake walikufanya uache kazi, this time Caryn..... heee we mwamba hebu jitafakari upya
Team Annie wote wanasindikiza kura zao na maneno ya hisia mno, hadi inanikosesha amaniI'm going with Annie, huyu ndiye mwanamke wako, trust
Carry anakupenda wewe kutokana na ushawishi wa Mzee wake vile anakupamba mbele za binti zake, lakini Annie anakupenda kwa dhati ya moyo wake bila ushawishi wa wawazazi! Hivyo Bm simama na Annie hata iweje
Bro usiseme huruma kijana wanaume wanakimbiwa na kukashifiwa wakiwa broke ni wanawake wachache sana huvumilia katika 10 yupo mmoja.Wote hawana baya Warembo wangu, lakini naona Annie anabebwa na huruma za wadau huku Caryn kura pekee ndio zinambeba japo mchakato Bado unaendelea
Eniwei, nita Consider maoni yako