Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MATOKEO YALIPOFIKIA KWA LEO
(Votes still being counted)
Kura Pacha Moja 1, Yani Voter mmoja kura yake imehesabiwa kwa Candidates wote wawili (Hii ni kwasababu maalumu, kutokana na Comment ya mpiga kura....Comment No. 3273)
Kura zilizoharibika ni 5
Annie Votes 18
Caryn Votes 23
Zoezi Bado linaendelea
Ahahah kipi kilikutafnya usiyaamini macho yako?ulivyosema comment no 3227 nilidhani itakua ni ile yenye maelezo mengi ie 3270 kwasbb mtoa comment alibase pande zote mbili, niliporudi nyuma kuisoma coment no 3227 sijaamini macho yangu[emoji38]
Ur right coz watoto wa kishua wanazinguaSo na wewe ni Team Annie sio?
Duh! Aisee Annie fanya urudi bhanaMwanamke akishakuwa mtu wa vi principles kimbia mbio haswa....tena mbio haswa ile cartoon ya haki elimu ikasomee....Annie ni mwanamke bna...tna fanya mpango uache kaz yao...kambi popote
Mawifi tupo tunamsubiri kwa hamu zoteAysee, na imebaki wiki moja tu na siku 2 mtoto atinge town
Ningumu mkuu.Mkuu huwezi kuishi nyumba moja na msichana bila kumgusa?
Mbona hili linawezekana tu?
Mapenzi ni hisia
NI ngumu kwa asiyejielewa.Ningumu mkuu.
Kama kuna ukweli flani hivi.MAMA YAKE ACCOUNTANT ANATAKA AKUACHIE KAMPUNI WEWE YEYE ANATAKA KUPUMZIKA [emoji2]" HUU UZI UMEJAA MAISHA YA BONGO MOVIE SANA
HUU UZI UNAWAFAA WANAO PENDA MAISHA YA KITONGA MSEREREKO/ PIA MZURI KWA WEEKEND KUPOTEZEA TIME
Alright, Vote imeenda kwa Caryn moja kwa mojaCaryn anajua wewe uko na mtu. Na Carln anakupenda sana,toka kitambo. Mengi ameyaonyesha toka kitambo mapenzi yake kwako. Na ndio maana akakuchezeshea ili usiwe upande wa Acauntant.
Sasa kwa mawazo yangu acha akupambanie kivyake nae. Endelea kukaza kama mwanzo. Tena zidisha ugumu. Najua pamoja na mzee kumzuia kuanzisha uhusiano na wewe lakini yule binti kajifia kwako na mapenzi daima yana nguvu kuliko chochote. Hivyo atajitahidi sana kujizuia ikiwa ni pamoja na kukumbuka ushauri wa mzee. Lakini mwisho wa siku atashindwa ataamua tu yeye mwenyewe kuwa wazi mpaka kwa mzee kumwambia jinsi gani anakufeel.
Potelea kokote ngoja tubet kwa Caryn mdogoangu. Huyu ana mambo mengi ya kutusogeza mbele.
Nimesoma pia comments za wengi,wamenukuu usemi wa mzee kwa Caryn,kwamba mapenzi yakiyumba hata mambo mengine kikazi yanavurugika,anakuwa amekupoteza mtu muhimu. Kwa akili za Caryn ana hofu na hilo pia,lakini kwa ile lugha tu kama kuna lolote nakosea niambie. Hapo tayari ameanza kuunda namna ya kujibadirisha kitabia. Naamini hata mapenzi yakiharibika haiwezi kwenda mbali mpaka kukuvurugia kikazi,wakati huo tayari unakuwa na mizizi kwenye kampuni Ikiwezekana akifungua.
Mbali na hivyo tayari na sisi tutakuwa tuna back up,either tutakuwa tumefungua ofisi yetu kificho,au tuna mtaji mwingine. Isitoshe tayari tuna mtaji mkubwa jamaa yetu yuko China. Tukifungua ofisi yetu jamaa China atakuwa anafanya na kazi yetu pia. Twende na Caryn.