Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Samahani mkuu kama nimekukwaza, najua kura haziwezi Kuamua kiuhalisia lakini Binafsi kuna kitu nakiangalia humu kupitia hizi hizi kura

Eniwei, pamoja na kukwazika lakini umeweka wazi kura yako imeenda kwa nani

Vote counted to Annie
Safi kaka, kura zisiwe hatma ya maisha yako ya kesho, tuheshimu wanawake wanaotupambania kipindi tuko teh.. ikifika mwishoni utuambie nini ulikuwa unaangalia kupitia kura..
 
Sioni kama utawahi, kupiga kura mwisho date 31

Kama vipi vote hivyo hivyo kwa kuangalia Jina lililokuvutia, (ANNIE or CARYN) sasa tutafanyaje ilimradi ushiriki[emoji849]
Bila kusoma stori,
Sijui chochote kilichoandikwa
Namvotia wajina Anne
 
Hapana bro sijavote tena japo baada ya kusoma na kukuta ulikata utepe kwa Carryn nikawa dilema. Sema risk ya Carryn ni kubwa. Mapenzi ni risk. Be ready to face the consequencies. Anna kuwa mbali ni kikwazo tena kikubwa. Wanawake kukaa muda bila kusaliti ni changamoto. Leo nimekaa sehemu namsikia shemeji yangu amepigiwa simu ambayo sikuilewa elewa. Huyu ni mtu mwenye ndoa changa inaonekana dear x kamkumbuka. Excitement aliyopokea nayo mpaka njmeshtuka ndo hivo inabidi bro awe ameweka ulinzi wa kumtrace mtu wake. So kwa hapo Annie alikupenda ila umbali ni tatizo tena kubwa.
Kwa Carryn anakupenda tena sana lakini hapo kuna mkate wako wa kila siku. Ukiharibu A unaharibu na B. Kama inawezekana achana na Annie kabisa ndo uanze na Carryn. Huwa kwenye ulimwengu wa roho tunaona vyote. Pia machozi ya mtu ni sumu mbaya mno. Mchane kwa utulivu nimefall pengine. Epusha machozi yake kwa gharama kubwa. Yanaweza yakakurudi.
Kwa Carryn omba Mungu, kama ukiona unampenda na unaweza kuvumilia karaha zake oa kabisa. Ila jipime siku ya ubaya je utavumilia?. Psmbana ifike sehemu mzee ashindwe kukuondoa kwenye bussiness zake. Kila la heri bro. Siku mkihitaji mhasibu unikumbuke mshkaji wako huku. Ila kwa Wakristo tunasema Bwana akutangulie mbele.
Dah! Blaza sio rahisi hivyo, kama nikitaka kumuacha basi nimtafutie sababu ambayo kwake ataona ame-deserve huo muacho, kwasasa ni ngumu kuamua tena kwa namna anavyo sound kwenye simu dah

Ebu ngoja afike nione kama kuna chembe chembe za usaliti
(Hapo kwa Accountant umenifanya nimkumbuke mtu)

Eniwei: This vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]
 
Mkuu,
Mimi binafsi huwa napenda mwanamke wa kunipa kashikashi. Yaani mwanamke wa kunipa changamoto ndo huwa namfeel,

Mwanamke mzuri ni Yule anayekupa changamoto siku zote. Akili inakuwa hailali, Kila siku ni mawazo mapya,Ari mpya, hamasa ya utafutaji nk.

Sipendi wanawake wapole,ambae kila unachomwambia kwakwe ni Sawa Tu.

Zaidi ya yote, Sipendi kumuonea huruma mwanamke kwenye mahusiano, Ooh sijui umetoka nae mbali? Mbali wapi? Kwenye maisha Kuna njia lazima upitie, naamini ww kuwa na Annie ndio njia iliyokufikisha apo ulipo Leo na Carryn. Annie sio wa kumuamini Sana, maana watu wanaoaminika mara nyingi ndo huwa wanakuwa na matukio ya kushangaza.

To me, Carryn ni best choice.
Hii inaitwa Straight to the point, Haina kona kona kama ni Blue [emoji170] kama ni red [emoji3531]

Eniwei: Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]
 
Safi kaka, kura zisiwe hatma ya maisha yako ya kesho, tuheshimu wanawake wanaotupambania kipindi tuko teh.. ikifika mwishoni utuambie nini ulikuwa unaangalia kupitia kura..
Pamoja sana
 
Bila kusoma stori,
Sijui chochote kilichoandikwa
Namvotia wajina Anne
I knew, hii kura itabidi niiweke Pending kwanza

Eniwei! This vote will count for Annie but it hasn't been counted yet
 
Wajukuu, Wanangu na wazee wenzangu! Heshima kwenu nyote.

Sijisikii vizuri leo naumwa kidogo.

Niende kwenye mada...

1. Love is inversely proportional to distance.

Let love be "L" and distance be "D"

So L ≈ C/D where C is proportionality constant.

But C = a,b,c,d,e,f,t,w,r

Where a = age, b = beauty, c = characteristics, d = diseases, e = education (intelligence), f = family background, t = tribe, w = wealth.

Hence L = C/D

The more the distance the less the love

Ila C "result" ikiwa kubwa huongeza L kuwa kubwa.

Hii ni topic muhimu kwa vijana wanaotaka kuoa ama kuolewa hususani kwenye kuchambua hiyo "C"

2. Kwa waislamu, sisi wanaume tumeusiwa kuoa wanawake wawili, watatu hadi wanne, lakini 'tukishindwa' (kwa sababu mbalimbali' basi tuoe mmoja

Lakini pia tumeusiwa sisi kuwaoa kwa sababu za:-
(i) Uzuri wao
(ii) Ukwasi wao
(iii) Nasaba zao
(iv) Ucha Mungu wao.

Msisitizo ukawekwa kwenye ucha Mungu na kupuuza hayo matatu ya juu maana tutaongezewa...

Lakini atakaye chagua kuoa kwa sababu tatu za juu bila kuzingatia ucha Mungu 'huenda' akaangukia pabaya baada ya sababu hizo zilizomfanya aoe kuondoka.

Hapa napo panahitaji darasa lake.

3. "Hatma ya maisha yangu ipo mikonono mwa kijana wa Buguruni" ndiyo kichwa cha simulizi.

Hatma ya maisha YAKO ipo mikononi kwa kijana wa Buguruni!

Kijana wa Buguruni keshazingua 'big time'

Je, hatma ya maisha yako sasa ipo mikononi kwa 'Caryn?!'

Je, hatma ya maisha yako ipo Mikononi mwa Baba Caryn!?

Je, hatma ya maisha yako ipo mikononi mwa maamuzi yako ya kumchaguwa Anne ama Caryn ili uendeleze uhusiano wa mapenzi!!??

Bila shaka unapenda hatma hiyo iwe yenye furaha, amani, upendo na ukwasi.

Je ukwasi unapatikana kwenye Kampuni za Baba Caryn pekee?

Je, upendo upo kwa Caryn ama Annie, au wote??!!

Je, amani unaipata ukiwa kwa Annie ama kwa Caryn?!!

Je, furaha unaipata ukiwa na Caryn au Annie?!

Kura zetu hazitasaidia sana kwenye maamuzi yako juu ya Annie na Caryn, ingawaje inaleta burudani katika kuendeleza simulizi hususani katika kipindi hiki ambacho muendelezo umesimama...

Maamuzi sahihi unayo mwenyewe kwakuwa kuna mengi ambayo hujasimulia kuhusu hao akina Annie na Caryn.

Nakuwa miongoni wa waharibu kura kwenye hili.

Hii ni comment yangu ya kwanza humu, nichukue nafasi hii kukupa kongole kwa uandishi mzuri na kutumia muda wako mwingi kwenye kusimulia hii simulizi yenye mengi ya kujifunza.

#Pigania unacho kiamini.

JBourne59
 
I knew, hii kura itabidi niiweke Pending kwanza

Eniwei! This vote will count for Annie but it hasn't been counted yet
Kesho nitaisoma hii stori

Naweza badili maamuzi

Hii vote nimetumia kigezo cha mfanano wa majina
 
JBoure59
Sijui kwanini kura zote zinaharibikia kwenye Comments zenye ujumbe mzito na zenye mashiko

Yani unaanza kusoma comment ya mtu unakuta kaandika Nondo haswa lakini mwisho wa siku unakuta kura imeharibika ahhhhgg so irritating

Hii Comment nitairudia kuisoma kwa utulivu zaidi sababu imenikuta nafanya Majumuisho ya kura

Asante kwa comment

Eniwei: Kwa uzito wa Comment hii nitaihesabu kama ni kura kwa Candidates wote

This vote counted to Annie & Caryn as well [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294]
 
TEAM ANNIE kwani mko wapi? Mmelala jamani, Aisee kwa haya Matokeo ni huzuni kwakweli kwa Annie wangu, ngoja tu niyapost hvyo hvyo
 
Back
Top Bottom